Kulingana na ITV CCM wameikomboa Halmashauri ya Tarime kwa kupata viti 18 vya madiwani na kuna vurugu kubwa huko. Vipo viti 30 tu............Ubunge na uraisi bado kutangazwa.........
Waheshimiwa wa JF-matokeo ya kituo kidogo cha Sopa-Mwaswale,bariadi ya mashariki ni kama yafuatavyo:
Urais:Chadema=59 CCM= 7 APP =1
Ubunge:UDP = 46 CUF = 10 CCM =11
Udiwani:CHADEMA=54 CCM=8 UDP 5...
Jamani mi nahisi ishu ya kuchelewesha utangazaji wa matokeo kuna kitu behind it,hasa ikizingatiwa kuwa hilo linaonekana kujitokeza kwenye yale majimbo yenye utata mtupu.Hizo hesabu hata kama ni...
Lt. Gen. Adulhaman Shimbo huku akiwa amekunja uso alituambiwa tukubali matokeo. Sasa namuomba atoke tena awakumbushe CCM waliokubaliana na kauli yake 100%.
Shimbo where are you !!! CCM denies...
CHADEMA mpaka Sasa wanaongoza kwa Majimbo,, na sijui hayo yaliyo baki kwani CHADEMA ilisimamisha asilimia 45 tu ya majimbo yote Tanzania,, lakini ninaimani kuwa Watanzania now wamekubali...
Katibu ya kampeni Kinana alituahidi mdahalo wa JK baada ya uchaguzi Je utafanyika?Atazungumzia nini?Kutangaza matokeo ya uchaguziiii?Kuomba msamaha kwa Watanzania kwa alikotufikisha?Kubatilisha...
Tume iliahidi kuwa matokeo ya kura za Urais nayo yatatangazwa majimboni kabla ya kujumlishwa rasmi na tume na kutangazwa rasmi. Kwamba sasa wanataka wasimamizi wa majimbo wasitangaze hadi wapeleke...
Kwa kweli si jambo la kufurahisha, kazi imefanyika kwa AMANI harafu hawa jamaa wanataka kuanzisha fujo. Nina maswali machache hapa wana JF tujiulize.
1- Nini maana yake kila kituo kubandika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.