Jamani wakuu kuna yoyote mwenye taarifa ya dada yetu huyu? I love this lady na hoja zake alizo kuwa akizitoa humu JF. Mara ya mwisho nili sikia ana nafasi nzuri tu ya kushinda ila tokea kura...
Wakuu....
Nimepiga kura kwa amani sana... sasa napata wasiwasi sana kusikia z'bar wanagoma kusaini, Arusha wanagoma ku-sign na pia nimesikia matokeo ya urais yasitangazwe hadi yajumulishwe...
HONGERA SANA Mhe. V. K. Nyerere
Takwimu za matokeo ya Musoma Mjini zimedhihirisha udhaifu wa kauli ya JK kuwa CCM haiibi kura...!
Mwaka 2005 Mathayo alishinda ubunge kwa kura takribani 21elf...
Wananchi wamechoka kusubiri matokeo na sasa wanaanza kutumia nguvu kuingia ndani ya chumba walikojifungia maafisa uchaguzi.
Matokeo ya majimbo mawili yanasubiliwa toka jengo moja chini ya...
Kuna habari nimezipata muda si mrefu kutoka Mwanza zikieleza kuwa matokeo ya Nyamagana yamegeuzwa na kwamba sasa msimamizi wa uchaguzi ana mpango wa kumtangaza Masha kama mshindi wa uchaguzi jimbo...
Mgombea wa ubunge wa CCM amegoma kusaini matokeo baada ya kubwagwa na mgombea ubunge wa CHADEMA, mwl. N. Yamsebo. CHADEMA tayari wanaimba nyimbo za shangwe na polisi wamesema hakuna hata mtu...
Habari za kuaminika kutoka kwa dada yake na Rau Masha ni kwamba yuko hoi Bugado Hospital, na wanachadema wanadai matokeo yatagazwe, hapotoshi ofisi za jiji Mwanza.
Akijibu swali la muulizaji mmoja siku ya mdahalo,Dr Slaa alisema kamwe vyama vya upinzani haviwezi kusababisha vurugu katika nchi hii na badala yake ni CCM na vyombo vyake ndiyo inaweza kuwa...
Wana jamii,
This election is very emotional... people's hopes are pegged on this election. Hofu kubwa ni uchakachuaji wa matokeo. I know there is something we can do about that. Lakini sidhani...
Sunday, 31 October 2010 18:38
The Citizen Online
Police in Same district are holding a Chama Cha Mapinduzi (CCM) cadre for reportedly campaigning at a polling station.
The CCM member, Issa...
:israel:Habari zilizotufikia ni kwamba Joseph Mbilinyi aka Sugu hivi sasa ameshinda ubunge katika jimbo la mbeya mjini kupitia chama cha CHADEMA. Sugu ambaye ni mhasisi wa mziki wa Bongo Flava...
Dah nimeona hii itakuwa ni record kwenye JF natumai server linarindimisha matukio yote haya lipo Gado kuhimili mahitaji ya wazalendo hawa
Currently Active Users
There are currently 15069 users...
Wakati wana CHADEMA wanashangilia ushindi wa mbunge mpya Vincent Kiboko Nyerere kwenye viwanja vya wazi, mwananchi mwenye mavazi ya CCM alikatisha uwanjani na kujaribu kuharibu sherehe. Amepigwa...
"wataalamu wa utafiti nchini tanzania" Synovet na REDET, fanyieni utafiti hili suala la wananchi waliojiandikisha kutojitokeza kupiga kura. Imeonekena kuwa karibia waliopiga kura nchi nzima ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.