Wilaya ya mbulu ambako ndio yuko waziri marmo mpaka sasa kati ya kata 32 tayari chadema wana kata 19 mfukoni na ndio tunasubiri huko kwingine!
Upande wa hanang ambako ndio yuko waziri nagu...
Hali inayoeendelea hivi sasa kwa kuchelewesha kwa matokeo ya uchaguzi inaonyesha wazi ya kua ccm haikujiaandaa kushindwa.Kampeni zao zilikua usanii nalizikua zikienda kwa mazoea.Hawakuweza kusoma...
Wanachelewesha buuuure....
Wanaota ndoto za mchana kuwa uchakachuaji wao utaweza kuokoa janga walilolipata...
Nchi imeshakombolewa na rais wetu ni Dr Slaa....
Kupitia matangazo ya moja kwa moja toka BBC inaonesha sehemu nyingi kuna ugumu wa kutoa au kutangaza matokeo rasmi achilia mbali yale ya awali. Hivyo watu wamekusanyika wakifikiri kuna njama...
Jamani eeeh matokeo ya uraisi vipi? Mbona hakuna anayeyazungumzia? Maana kila mtu kajikita kwenye ubunge...kwa nini ya uraisi hayazungumziwi wala kutolewa?
Jana usiku nilisikis channel ten ikionyesha ushindi wa dewj singida mjini,ila nimefurahishwa kwa chadema kupata asilimia karibu 30!% huu ni mwamko mkubwa kwa wanasingida kuacha ushamba wa kutafuta...
Wazanzibari anzeni kusherehekea ushindi wa M.Seif: M.Seif apata 50.06%
Dr.Shein:47.30
Asalamu alaykum haya ndio matokeo tulioyapata kutoka kwa tume ya uchaguzi:
JIMBO KUTOKA PEMBA
JIMBO LA OLE...
Kwa jinsi NEC wanavyozidi kuchelewesha matokeo naanza kupata picha ya uchakachauaji wa matokeo.
As a result tunaweza shuhudia uchaguzi ambao utaibua kesi nyingi sana za kupinga matokeo.
Nahisi...
Chondechonde viongozi wa ccm tumieni busara kupokea matokeo ya uchaguzi ili kuepusha vurugu zisizo za lazima. kwa nini hamuamini kwamba wananchi wamewachoka. kubalini matokeo nchi ipite kipindi...
Wadau mkubali mkatae Zitti alikuwa mwenzetu ila kwa sasa sio mwenzetu, zitto hakumpigia debe Slaa naq nilishaongea huko nyuma kuhusu Siri ya zitto kuwa kimya naona sasa wadau mmeamini. jamaa mimi...
wasimamizi wa jimbo la ubungo walalamika kwenye ITV hawajalipwa posho mtafaruku mkubwa walibebwa kwenye Gari la Taka WaMENGOME MATOKEO MAMBO SI SHWARI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.