Comments za Mjengwa hizi hapa
IRINGA MJINI IMEPOROMOKEA CHADEMA!
Taarifa hizi ni za kuthibitisha. Mch. Peter Msigwa ( CHADEMA) ameibuka mshindi akimwacha...
Despite CCM touting a five million strong membership electoral ironclad, the untold truth was most of those CCM zealots had either unofficially decamped to the opposition or were too disgruntled...
Monday, 01 November 2010 11:44
Kwirinus Mapunda, Tunduma MTU mmoja anayesadikiwa kuwa ni Mwanachama wa Chama cha CUF Mussa Bakari (27) amefariki gafla usiku wa kuamkia Novemba 1 mwaka huu...
Nashangaa sana...yaan sielewi kabisaaaaaaa!! khaaa...sijui kama wewe umegundua hili...kila nnapokutana na mtu nnaejua kabisa huyu ni ccm damu...nikimuuliza vipi matokeo..utasikia aaah..mi...
Matoke rasmi ni kwamba CCM wameshinda madiwani wengi bukoba mjini (KATA 10) na hivyo kuunda baraza la kata wakati CUF na CHADEMA wamepata kata 2 kila mmoja.
Matokeo ya ubunge mpaka saa nane...
Chama cha CUF kinaongoza Lindi mjini mgombea wa CUF ni melemavu wa ngozi na wa CCM ni Abdulazizi amabaye ni mkuu wa mkoa wa Lindi pia, matokeo ya udiwani CUF kata 5 CCM kata 8, bado kata 5
Tume ya taifa ya uchakuzi kule Singida mjini yametangwa punde...
MOHAMED GULAM DEWJI 21,169
Mgombea ubunge wa CHADEMA 3457
Yaani yaelekea mikoa yenye maedneleo duni inakumbatia CCM ( Temeke...
Monday, 01 November 2010 11:30 0diggsdigg
Burhani Yakub, Tanga
MSIMAMIZI wa uchaguzi wa jimbo la Korogwe mjini Christina Midello amemtangaza Yussuph Abdallah Nassir wa CCM kuwa mbunge...
Kweli ule usemi sauti ya watu ni sauti ya Mungu unaanza kushika hatamu jinsi muda unavyo zidi kuyoyoma... Chadema yapeta Kasulu kiti cha ubunge.... ngojea nicheki yanayojiri Kibondo.
Yule mnajimu aliyetishia nchi nzima kwamba uchaguzi utaahirishwa na kwamba kuna mgombea atakufa anahitaji kukamatwa mara moja kwa tuhuma za uchochezi na kutishia watu.
Alichokifanya ni mauaji ya...
Dar-ubungo wabebwa kwenye magari ya takataka wasimamizi wa uchanguzi posho hazijatoka wasimamizi wa jimbo la ubungo walalamika kwenye ITV hawajalipwa posho mtafaruku mkubwa walibebwa kwenye Gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.