Atakayechakachua matokeo na kuharibu uchaguzi wa wananchi atakumbana na kichapo cha Yehova. kwa taarifa tu ni kwamba tangu mwaka wa jana Watanzania tumeendelea kuomba mbele za Mungu, tena kwa...
Waku nimepigiwa simu na mdau wa karibu Mheshimiwa Mbowe na Ndesamburo wameingia Arusha kuweka sawa hali ya mambo baada Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha kuwaambia Lema amewekwa sawa na Mzee wa...
Hali ni tete Sumbawanga Mjini. Waziri Mkubwa atia Timu Kunusuru Chama. Matokeo yanasuburiwa kwa hamu. Mabomu yaanza kutumika kuwasambaratisha wafuasi wa upinzani.
Wenye data zaidi leteni.
Tetesinilizopata toka mwanza zinasema kwamba hata kule kwa shibuda mambo mswanu kwa chadema.... Nasikia shibuda anaendelea kuwapumulia watani wake wa jadi ccm kisogoni......... Helo helo...
tafadhali Makambo na viongozi wa CCM msituharibia amani yetu na uchumi wetu kwa uchu wa madaraka ya Dr. Batlilda Buriani na Lowasa kwani sasa leo nimeshuhudia Lowasa anaingia katika ofisi za...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo mpaka sasa kimeshapata madiwani 9 kati ya 14. Viti 5 bado havijatangazwa lakini inategemewa kuchukua vingi zaidi kati ya hivyo vitano.
Kwa hali inavyoonyesha, sasa ni dhahili kutakuwa na umwagaji damu kama matakwa ya wananchi hayatafuatwa. Je ni JK au ni Dr. Slaa ambaye yuko tayari kuingia ikulu kwa kumwaga Damu? Tafakari
Mdau wa Tabora amenipasha kuwa Sitta anaelekea kushinda kwa Kishindo Urambo mashariki, Prof. Kapuya hali yake mbaya huko Kaliua ana mchuano mkali na CHADEMA, Rage anaelekea kushinda kwa kishindo...
Wanajamvi, Wananchi sehemu mbalimabli wamegundua dawa ya uchakachuaji!-KUCHOMA MOTO MASANDUKU YA KURA zilizokwisha-hesabiwa ili kuzuia kurudiwa kuhesabu kura na hatimaye kuchakachua!
Kule...
kwa mujibu wa taarifa ya star tV sasa hivi, manispaa ya kigoma ujiji mabomu ya machozi yamepigwa, (na possibly risasi za moto) kuwatawanya wafuasi wa chadema waliokuwa wanashinikiza matokeo...
Kuna tetesi kwamba wasimamizi wa uchaguzi majimboni wamepewa
amri ya kutotangaza matokeo pale ambapo vyama vya upinzani vimeshinda mpaka kwa kibali cha serikali. Kama kuna anayejua iwapo tetesi...
Tume ya taifa ya uchaguzi sasa wamedhihirisha kabisa kuwa wamepania kunusuru wabunge wa CCM walioangukia pua. wanachofanya sasa hivi ni kutoa matokeo kidogokidogo kwenye ngazi za udiwani na kusema...
wananchi wa kata ya malinyi wamemchagua ndg said tira kuwa diwani wao, kura zilizo mpa ushindi diwani mteule tira zimetoa taswira na ishara kuwa mgombea ubunge wa chadema prof. Mlambiti anayo...
Kwa miaka tumeambiwa wao ndio waasisi wa demokrasia nchini na ya kuwa wao ndio walinzi wa demokrasia hiyo. Leo hii Taifa letu linaenda kupitia kipindi cha majaribu na tusipoangalia tunaweza kupita...
Jamani wana JF kuna habari kuwa eti wale vigogo wawili Rostam Aziz na Basili Mramba wameshwindwa kufurukuta kwenye majimbo yao hizi habari jamani ni kweli??
Kwa nini majimbo ambayo CCM wanashinda yanatangazwa mara moja na yale ambayo wameshindwa hayatangazwi? kuna nini? ina maana hadi muda huu hakuna hata jimbo moja limetangazwa kuwa wameshindwa baada...
Kuanzia jana jioni tuliona faraja baada ya kuanza kutoka matokeo ya Urais, ubunge na udiwani toka vituo mbalimbali.Kulingana na sheria tuliyosoma ya uchaguzi uchaguzi inaeleza wazi kuwa" kura zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.