Wakuu nimekuwa nikifuatilia namna ambavyo matokeo yanaripotiwa japo si official CCM inaonekana kuweza kutetea kiti cha urais. Kwa nini,Zanzibar inachuana na CUF zaidi kwani CHADEMA haionekani...
Yaani natazama international News kote naona sioni sehemu ambayo inautaja uchaguzi huu wa Tanzania ,upo wa Brazil,Upo wa Somali au wamesahau kama nasi leo WaTz wanachagua Raisi ,basi wafuate...
Kumbe kweli CHADEMA walifanya utafiti kabla ya kumweka DR Slaa kugomea Urais
maana haya matokeo ya awali yanatisha saaaaaaaaana duuuuh nimeamini, huyu jamaa kiboko, JK aliwaonya Wana CCM mapema...
Jana nilikuwa katika vituo kadhaa. Mfano mtu amekuwa anapiga kura kituo cha Mwalimu Nyerere (kata ya Ndugumbi) tangu mwaka 2005. mwaka huu anaambiwa jina lako halipo! anakosa haki yake ya kupiga...
Habari ndio hiyo. KATA 8 matokeo yametangazwa 4 CCM - 4 Upinzani
1. Kata ya Ijugayondo ilikotua Elcopter ya Slaa - CHADEMA (ilikuwa CCM)
2. Kata Kibeta kwa Lwakatare - CHADEMA (ilikuwa CUF)
3...
Katika hali isiyo ya kawaida, vyombo vingi vya habari huko Zenji vimekuwa bubu ktk kufuatilia na kutangaza matokeo ya awali. Tofauti na vyombo km TBC ambayo inaendelea kufuatilia kila tukio...
The table below displays data from ten key polls in the run-up to the 2010 general election. You can follow the link to track the average results and select each poll to view the data in more...
Heshima yangu kwa Mh Slaa sasa hivi ndio imetoweka kabisa. Sidhani kama baada ya maelezo na uthibitisho wangu hapa, kuna mtanzania yeyote yule atamuamini, hasa katika kumpa kura na kushika nafasi...
Mimi niko hapa Kata ya Kimandolu anakotoka Meya wa manispaa ya Arusha ndugu Laurent Hedi. Tayari matokeo yametoka na ameshindwa vibaya na Ndugu Estomih malla wa CHADEMA.
Katika kata hii ya...
Ki utaratibu, Rais anayemaliza muda wake ameishaona kuwa kuna uwezekano wa kushindwa. Je ameishafunga vilago ili kama Dr. Slaa akishinda ampishe? Maana wengine wataniuliza eti, je akishinda? Hilo...
Wanabodi nikifuatilia hii tsunami ya ushindi wa Chadema kwa Bara na CUF Zanzibar. Najaribu kuimagine headlines za magazeti ya kesho espc.magazeti ya Mtanzania, Uhuru,Habari Leo etc.
Wana JF,
Tarifa nilizo zipata muda si zaidi ya 10mins kutoka Arusha Kuna maeneo ya mji huo umeme umekatwa na wako giza tororo, Wakati kura zahesabikana umeme umekatika kwa 10mins na kurudi
...
habari Wana JF,
Natumai wengine kwa sasa wanasherehekea na wengine wapo hospitalini kwa mchakato ulivyowashtua, biafsi naomba kusaidiwa matokeo ya vijana zaidi wawe chama chochote simaind... kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.