wakati napita pita mitaani mida ya saa 1:30 kuangalia matokeo ya kura iringa,katika kila lituo iringa kilikuwa na taa..,except kimoja ambacho kipo located karibu na ofc ya RC iringa
ilikuwa...
nimeongea na mtu wangu wa ukweli kaniambia chadema kahama imefanya vizuri mno!!! kata zote. unakuta chadema 200, ccm 20 au 15, huo ndio uwiano. hureeee!!!
moyo umeshtushwa, swali hili ni kubwa na la kweli. kama kura ni siri, vp waandike tena namba? kwa mantiki hyo kila kura inajulikana nani kampigia nani?
Hata hvyo kwa nini? je kuna uhusiano...
Habari za uhakika kutoka Karagwe zinadai CCM wamenyolewa manyoya kwa maji baridi na hawakuondoka na kitu kata ya Ndama. Jimbo hili ni kubwa kwa hiyo sherehe hazijaanza ila council huenda imeanguka...
Baba ktk jina la yesu tunaomba zoezi la kuhesabu kura liwe la haki ktk jina la yesu tunakomesha kila uchakachuaji wa kila aina ktk jina la yesu kila atakae jaribu kuchakachua akaparalaizi ktk jina...
Urais
CCM: 382
Chadema: 342
Udiwani: sijapata kamili ila mgombea wa chadema amemzidi wa CCM kwa kura 61
Kijiji cha nshuma naambia slaa kamzidi JK kwa kura 8, na kwenye udiwani wa CCM amemzidi...
Najua watu wengine wanapata presha kweli maana kwanza matokeo yanaonekana hayaji kwa haraka sana na pili matokeo yanaonekana kuwa karibu sana. Jamani kuna vituo zaidi ya 50,000!! Hii ina maana we...
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
YAH: KUAHIRISHA BAADHI YA CHAGUZI MBALIMBALI
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuwatangazia wananchi...
Wakala wa CCM ataka kumpigia kampeni Masha kwa ujanja ujanja ktk kituo cha Rugumbizi hapa Nyamagana wakati watu wakiwa kwenye foleni.Wananchi wakahamaki,umati ukapiga kelele..askari...
Wana JF mnaichukulia vp kauli ya Mkapa aliyoitoa juzi kuwa "kwa vyovyote vile Uongozi wa Tanzania lazima utokane na CCM"
Kisha akaongeza "mimi sipingi Serikali ya umoja wa Kitaifa, ila nataka...
Mwaka 1961 wakati Tanzania inapata uhuru nilikuwa sijazaliwa, hivyo nilikuwa sijuhi nini maana ya kutafuta uhuru na transition ya kutoka utawala mmoja kwenda mwingine nilikuwa sijuhi ikoje...
Kwa matokeo haya hapa JF toka Mbeya, Arusha, Mwanza, nk., lazima hofu kubwa imetanda upande mmoja na kusababisha waelekee AIRPORT.
Au ndo kusema watatumia HELKOPTA?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.