Sunday, 31 October 2010 18:21 Mwananchi Online
Imeandikwa na Kibada Kibada, Mpanda
KAMANDA wa polisi Isunto Mwantage amesema watu nane wanashikiliwa na polisi kwa mahojiano zaidi...
Sunday, 31 October 2010 19:21 0diggsdigg
Zephania Ubwani, Arusha
MSIMAMIZI Mwandamizi wa kituo cha Shule ya msingi Sombetini mkoani Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi, baada ya...
Habari zilizotufikia zinasema kwamba kuna mama mmoja amekamatwa na shahada feki nyingi na kwa sasa anashikiliwa kituo cha polisi Urafiki. Tutaendelea kuwapa taarifa yanayotokea.
Suala la uchakachuaji wa matokeo ambalo limeanza kujitokeza shinyanga lisifumbiwe macho hata kidogo. Siamini kama huyo mmoja aliyekamatwa ndiye mchakachuaji pekee katika Tanzania nzima yenye...
Ndugu wanajamvi... nimepita maeneo ya mwananyamala karibu na hospitali.. ile njia unayopita kama unataka kutokea kinondoni biafra NIMEKUTA MAGARI YA JESHI ZAIDI YA 10... Nashindwa kuelewa kwa...
Inawezekanaje Mgombea urais wa Nchi moja kupiga kura kwenye Nchi Nyingine? (joke)
Najiuliza hivi Shain hakujua azma yake kuwa siku moja atakuwa mgombea urais wa Zanzibar? kama hakuandikishwa...
..................habari nilizozipata za ndani kabisa ya CCM ni kuwa........... CCM wamejiandaa.............yaani kuna kushindwa au kushinda........sikutegemea kabisa bwana huyu MZITO SANA NDANI...
Kama kuna mtu amemharibia JK ni Mkapa.
Kumuita Lipumba kokoto? CUF unawaita kokoto kabla kura hazijapigwa Zenji? Mtaniambia kama huyo Shein atashinda. Nitakula maneno yangu.
Tena nashukuru...
Sunday, 31 October 2010
Two residents of Mbugani A ward in Nyamagana constituency, Mwanza region were shocked to find themselves listed as dead in the list of voters while they are still alive...
Jamani,
Hivi humu JF hakuna walioko Musoma watujuze. Dakika 10 zilizopita nimepata message kuwa wana-CHADEMA huko jimbo la MUSOMA MJINI wameshaanza kumwagiko mtaani kwa cherekochereko...
Binafsi nimeona kwamba vituo vingi vya TV vimekuwa vikitangaza kwa upendeleo, kiasi cha kuifanyia kampeni CCM.
Je, mnadhani vituo hivi vimekuwa vikiipendelea CCM kwenye matangazo yake?
EE MUNGU WA HURUMA IINUUE NCHI YETU ULIYOTUPA ILI ITUTUNZE NA TUKIFA TUZIKWE HUMO HATUNA NCHI NYINGINE BASI TUNAKUOMBA UWAFISHE KIFO KIBAYA KWA YEYOTE ATAKAYE FISADI UCHAGUZI HUU aidha KWA...
Wanageita wengi leo tulifurika katika vituo vya kupigia kura, hatimaye ile zawadi yetu tuliyomwahidi raiis wetu mtarajiwa imetimia, mimi na familia yangu----FirstLady1 na wadogo zetu tumepiga...
Live from ITV Mbatia ameonekana akilalamikia kuzuiwa kupiga kura baada ya jina lake kukosekana kwenye orodha ya wapiga kura.
Hili linaonekana ni tatizo kubwa sana maana wanaonekana wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.