kwa kweli hali ni tete kwa ccm si bara wala visiwani watu wameichoka ombi langu kwao pls kubalini yaishe heshimuni maamuzi ya watanzania at once naamini safari mtaiba lakini mtashindwa kwani gepu...
Matokeo ya Kata ya Mwakibete Mbeya Mjini: URAIS: CHADEMA 3,564 CCM 950 Ps: Diwani ameshatangazwa na Chadema...
BFYA HAPA Matokeo ya Kata ya... | Facebook
inatangaza muda huu kwamba fomu za kutoka kajimboni hazijafika ZEC kutokana na mawakala wa vyama kugoma kusign.chama gani kimegoma haijasemwa.ila katika kituo cha bwawani waligomea kusign.
Kwa upande wa Ubunge kwa majimbo ya Mbozi Mashariki na Magharibi Chadema wanaongoza kwa kura za Ubunge pamoja na udiwani......nitaweka idadi kadri nitakavyozipata
Prof wa Udsm amesema katika mahojiano na TBC saa 3:40 kama wananchi wako makini waipeleke tume mahakamani kupinga kunyimwa haki yao ya kupiga kura. Wazuie matokeo kwani yamewanyima haki yao ya...
Jamani jamaa angu ambae yuko huko Kwa mzee SUGU, Mpinzani wake kalazwa PRESURE imeteremka bila speeed Govarnor, mwenye habari kamili jamani amwage hapa.....
Kama kakukosea msamehe,natubu kwa niaba yake,naomba kesho ukakuratafadhari...!!mfumo wa utawala umezeeka so inabidi ubadilishwe.kesho usifanye kosa utakalokumbuka na kujutia miaka 5.mpe slaa kura...
Wanabodi, niko mahali nafuatilia matangazo ya moja kwa moja ya uchaguzi kupitia tv zetu ambazo zote ziko live, Mgombea wa CCM jimbo la Monduli, Edward Lowassa ameendeleza kampeni za uchaguzi...
Kasoro nyingi zajitokeza siku ya uchaguzi
Sunday, 31 October 2010 17:09
Waandishi Wetu
PAMOJA na amani kutawala katika maeneo mengi nchini wakati wa kupiga kura, kasoro nyingi...
SOURCE: Uchaguzi Tanzania ......VERIFIED report
Katika jimbo la uchaguzi Tarime kuna nyongeza ya wapiga kura ambayo imetolewa na msimamizi wa uchaguzi wa jimbo.Kati ya maelekezo yaliyomo kwenye...
Napendekeza litengenezwe jedwali ambalo litaunganisha matokeo yote ya majimbo na vituo vyake na idadi ya vyama. Kila matokeo yanapokuja yaingizwe humo. Wanaotuma matokeo waelezwe ni items zipi...
Nilifuatilia hotuba ya Mzee Mwinyi jana, ana busara sana! japo watu walikuwa wanamshangilia lakini nafikiri wengi hawakumuelewa, aidha walitekwa na kadamnasi au ni mtindo tu. ukipata fursa...
Vituko katika kampeni za CCM na JK, vimehusisha uchochezi wa sms ambapo wamiliki wa simu walipata messages za uchochezi bila ridhaa yao. Pia CCM na timu ya JK walijikita katika kampeni za udini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.