Djibouti nchi ndogo yenye kambi za kijeshi tena kubwa za mataifa yote makubwa duniani imetwaa uongozi wa AU. Je, hii si is ishara tosha kuwa hawa jamaa bado wanatutawala?
Ndugu zangu uchaguzi wa Mwenyekiti wa AU unafanyika siku ya Jumamosi na wagombea wa kiti hicho wanatoka nchi za Kenya, Madagascar na Djibouti. Mgombea kutoka Kenya ni Mhe. Raila Amol;o Odinga...
Mfumo wa wengi wape kupitia sanduku la kura ni mfumo wa hovyo samahani kwa kusema hivi.
Mfano wa Tanzania wananchi wengi wa Tanzania ni wajinga wajinga huwezi tegemea kundi kubwa la watu wajinga...
Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali Rais Samia ameonekana akitumia ndege mpya ya Rais yenye usajili 5H-ONE aina ya Gulfstream G700, kwa mujibu wa Data ndege hii imeanza kutumika mwezi February...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo huko Singida, Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA, Deogratius Mahinyila amesema kuwa vijana wa CHADEMA watahakikisha Uchaguzi wa mwaka huu haufanyiki
Mahinyila amesema kuwa...
Wadau,anayedanganya kwamba CCM itaendelea kushinda uchaguzi kwa kura na siyo mtutu wa bunduki ni yule ambaye huwa anasinzia sinzia kama kuku wa kideri,akizinduka hupayuka payuka hivyo.
Kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Mwamba wa kaskazini na kijana jasiri kuwahi kutokea kusini Mwa jangwa la Sahara Mheshimiwa Paul Makonda ameunguruma na kuitikisa Dunia mpaka viunga vya Washington DC...
Samia kashidwa swala la Rushwa, Haki na umasikini
Rushwa: Imeongezeka. Mikataba ya sirisiri na rushwa kila mahali
Haki: Hakuna tume huru ambayo haimtegemei raisi. wizi wa kura kwa kutumia Polisi...
Tangu kuteuliwa kwake kama Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameendelea kuonesha uadilifu, uthabiti na umahiri wa hali ya juu katika usimamizi wa uchumi wa Tanzania. Licha ya juhudi za...
Kiukweli CCM ni lazima ianze kusaka Wapambanaji wapya wa kupambana na Chadema ya Tundu Antipas Lisu
Narudia tena CCM ni lazima itafute Vijana Makini tena Waliosoma Shule vizuri na wazalendo wa...
Wakuu,
Kama lengo ni kuwatoa wananchi kutoka kutumia kuni na wahamie kwenye nishati safi, picha ya Samia inafanya nini kwenye mitungi hiyo?
Picha ya Samia ipo kwenye mitungi sababu yeye ndio...
ndugu zangu ndio tumefikia huku, kumdhalilisha Rais wetu namna hii? Picha ya Rais ni tunu kubwa sana inapaswa kuheshimiwa, iweje iwekwe kwenye mitungi ya gesi? Lengo ni nini hasa?
Kuna mbinu kali sana za kumkalisha mama wa kizimkazi hapo July 2025, anaweza akatokea akisema kwa sasa naona nipumzike,
Hii ni nguvu inayotoka ndani ya chama kuhakikisha hawatawaliwi Tena na...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akiwa ni mgeni rasmi kwenye mkutano Mkuu Maalum Chama Cha Mapinduzi Jimbo...
Baada ya kuona Wananchi wengi wanaielewa hoja ya Lissu na Chadema kuwa bila kufanya Marekebisho ya Katiba na Sheria za Uchaguzi hakutakuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka huu, CCM wamechanganyikiwa kiasi...
Wanachama 2370 waliokua ACT Wazalendo wakiongozwa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kiwani kwa miaka 20, Hija Hassan Hija, wamekabidhi kadi za ACT na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM) huku akiweka...
Wakuu,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innnocent Bashungwa amelitaka Jeshi la Magereza kusimamia kikamilifu mpango wa kuwapa ujuzi na mafunzo ya ufundi stadi Wafungwa wanapokuwa Gerezani na...
Mara baada ya kuchukua madaraka kutoka kwa Kabila mtoto, Tsishekedi alikuwa na mahaba makubwa kwa Kenya, akaitelekeza Tanzania.
Tanzania ni moja kati ya "watu wa kazi" Walioidhibiti amani ya...