Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa March 06, 2025 amegawa mitungi ya gesi kwa zaidi ya wanawake 3000 ili kuunga mkono jitihada za Mheshimiwa Rais za matumizi...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Ruvuma ndugu Oddo Mwisho amewataka viongozi wa chama hicho ngazi ya kata,tawi mpaka shina kuacha tabia za kuanzisha migogoro katika jamii ambayo...
Mkuu wa mkoa wa Pwani Alhaj Abubakari Kunenge amezitaka Wakala wa barabara Tanzania TANROADS na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini TARURA, kushughulikia barabara ambazo waliahidiwa Wananchi...
Kunenge alitoa agizo hilo katika mkutano wa Bodi ya Barabara ya Mkoa wa Pwani uliofanyika Kibaha, ukiwahusisha wadau wa maendeleo na wataalamu wa sekta hiyo.
Alisisitiza umuhimu wa kuwa na mpango...
Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh.Kassim Majali ametoa shilingi 4,000,000 kwa wanafunzi wa shule ya Msingi Nachingwea Girls iliyopo wilayani Nachingwea.
Majaliwa ametoa fedha hizo...
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Lindi kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Maimuna Pathan, amegawa Mitungi ya Gesi kwa Wanawake wa Wilaya ya Liwale kwa kuunga mkono juhudi za Rais Dkt Samia Suluhu Hassan...
Katika maonyesho ya wazi ya udhaifu wa ndani, CHADEMA imejidhihirisha katika mchezo wa kukamata misaada ya kigeni, jambo linalofichua kutokuwepo kwa mipango madhubuti ya kujipanga mbele ya...
Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete, amewahamasisha wanawake kote nchini kujitokeza kugombea nafasi za udiwani na ubunge, huku akiwataka kuwaunga mkono wanawake wenzao kwa kura nyingi...
Kwa sasa tumefika pagumu wote tunajiuliza nini tatizo kwenye uchaguzi wetu. wapo wanaodai kuwa uchaguzi ulifanyika kwa haki na wapinzani kushinda miaka ya 2010 hadi 2015 kupitia sheria hizi hizi...
Viti Maalumu vimekua ni nafasi za wachache kujimilikisha Mali tu.
Hata kama ni Mtaji wa Biashara, miaka mitano haitoshi??
Vijana wako mtaani ,Moja haikai Wala Mbili !!.
Hata wa Makundi maalumu...
Wadau za leo, Kama kichwa cha habari kinavyoelezea na kuuliza wewe Mtanzania kutokana na changamoto unazopitia au kuziona katika jamii yako leo, Je, katika kipindi hiki kuelekea katika Uchaguzi wa...
Changamoto ya watoto hasa wa kike kutomaliza shule mbunge wa Rorya Jafari Chege akamalisha madarasa kunusuru hali iliyopo kwa sasa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Mwenyekiti wa chama cha CUF, Prof Lipumba bhana alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi Tv ameeleza kuwa hakutaka kabisa kuendelea na suala la uenyekiti wa CUF Taifa baada ya kuongoza kwa miaka 25...
Nimekuja Tena kama mwananchi wa kawaida kuipongeza CCM kwa makubwa iliyoyafanya nchi ila ni mda wao wapumzike WAKAE pembeni wajipange upya
Waruhusu uhuru wa demokrasia, vijana wasitekwe na...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda leo Jumatatu ya Machi 03, 2025 akiwa ameambatana na Waziri wa ardhi Deogratius John Ndejembi kutembelea mabanda kwenye maonyesho ya wiki ya mwanamke Jijini...
Muasisi wa Chadema mh Mtei ameupongeza Uongozi mpya wa Chadema Chini ya Tundu Lisu na John Heche
Mtei amesema hayo Wakati wa mazungumzo yake na makamu Mwenyekiti wa Chadema mh John Heche na...
Wakuu
Mamia ya Wananchi wa kijiji cha Kiloleni-Busega wamejitokeza Kumlaki Mhe. Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa, John Heche akiwa njiani kuelekea Lamadi huko Simiyu kwenye Mapokezi baada ya...
Tangu Chama cha Demokrasia na Maendeleo kilipotangaza kauli mbiu yake ya No reforms No Election ikimaanisha hakuna mabadililiko hakuna uchaguzi, kumekuwa na maoni tofauti ya utekekelezaji wa kauli...
Wanawake mkoani Katavi wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi Mkuu ikiwa ni moja ya kutimiza haki yao ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa ili kuleta usawa...
WAJUMBE wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Dodoma mjini wamewataka wataalamu wanaosimamia mradi wa Hosteli ya Shule ya Sekondari Mbalawala mkoani humo kuhakikisha bweni hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.