Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

  • Redirect
Wakuu wa nchi za Afrika wanarejea Addis Ababa kumchagua Mwenyekiti wa Kamisheni. Kura yetu tulikubaliana ni kwa RAO Oli ukifika WHO Africa Regional office wampigie Prof. Asanteni
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAARIFA MUHIMU KUHUSU UENDELEZAJI WA ENEO MAALUM LA KIUCHUMI LA BAGAMOYO (BAGAMOYO SPECIAL ECONOMIC ZONE-BSEZ) Dodoma, Ijumaa, 14 Februari 2025 1. Serikali ipo...
1 Reactions
Replies
Views
Habari za kuikaribisha wikiendi....na poleni na majukumu ya kutwa nzima na wiki nzima. Kichwa cha uzi ni usemi uliovuma sana miaka hiyoo niko jeshini...na waliotamka usemi huo walikuwa na maana...
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakuu, leo ntwara tangu asubuhi kila huduma imefungwa watu wapo kimakundi makundi wanasikiliza bunge hasa bajeti ya wizara ya nishati na madini,ni magari ya ffu tu ndio yapo barabarani nayo...
6 Reactions
263 Replies
27K Views
Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—. .
35 Reactions
252 Replies
22K Views
Kuhusu bandari mimi siungi mkono ubinafsishaji wake hata kidogo! Ibinafsishwe ili sisi tufanye nini? Kwani uendeshaji wake unagharimu nini ambacho hatukimudu kama nchi? Mbona ATCL inapewa ndege...
8 Reactions
48 Replies
2K Views
  • Redirect
Wasalaam. Ccm wamemuweke kikongwe wassira kwenye umakamo mwenyekiti makusudi ili awatoe chadema kwenye hoja ya msingi ya kudai tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, hivyo nawashauri wampuuzi huyo...
2 Reactions
Replies
Views
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira, ni mbinu ya kimkakati ya chama hicho ili kuzuia mijadala kuhusu Katiba Mpya. Akizungumza...
5 Reactions
20 Replies
877 Views
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema haoni sababu ya kumhofia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche iwapo atagombea nafasi ya Ubunge...
2 Reactions
18 Replies
731 Views
  • Redirect
14 February 2025 Bungeni, Dodoma Tanzania Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Mussa Azzan Zungu leo asubuhi katika kikao cha bunge linaloendelea mjini Dodoma...
4 Reactions
Replies
Views
Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kuita uchaguzi wa aina hii ni wa 'HURU NA HAKI'. Dunia nzima inaishangaa Tanzania, mbaya zaidi ni pale inapojinasibu huko duniani kote kwamba ni nchi...
16 Reactions
46 Replies
1K Views
Wakazi wa Ikungi, Singida, wanapinga kauli "Hakuna marekebisho, hakuna uchaguzi" kwa sababu eneo hilo ni nyumbani kwa mwanasiasa Tundu Lissu, ambaye ni mkosoaji mkubwa wa serikali. Hivyo...
0 Reactions
4 Replies
324 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi, Wakili Dickson Matata amesema kuwa viongozi wa nchi ya Tanzania wamekuwa na changamoto ya kutoheshimu sheria na katiba...
0 Reactions
1 Replies
298 Views
Kuendekeza njaa na maslahi binafsi kwa wana CCM kumekifanya chama hicho kuwa kwenye wakati mgumu sana kupingana na hoja ya CHADEMA na Lissu kuwa No Reform No Election. Utafiti wangu umeonesha...
12 Reactions
16 Replies
1K Views
Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema...
68 Reactions
876 Replies
59K Views
  • Redirect
https://x.com/i/status/1890289089011704250
0 Reactions
Replies
Views
Mkoa wa Tabora unapatikana katikati ya Tanzania, unapakana na mikoa ya Shinyanga, Singida, Kigoma, Katavi, na Mbeya. Mkoa wa huu una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 76,151, na ni miongoni mwa...
0 Reactions
1 Replies
311 Views
Habari za jioni ndugu na marafiki, Poleni sana kwa wote mnao endelea kuathirika na ajali zinazo endelea kutokea barabarani. Hili jambo limelilazimu kukaa chini namimi nitoe mapendekezo yangu ili...
12 Reactions
75 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…