Ubaya ubwela! Ndivyo unavyoweza kusema. Ukiwatendea watu ubaya kwa kudhulumu haki zao za msingi au kuwaumiza kifizikia (physically) ipo siku nawe utapata msukomsuko kama huo hapa duniani hadi...
Wakuu
Baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu leo Februari 14, 2023, wabunge watajadili maelezo ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kuhusu nyongeza ya bajeti na Muhtasari wa Tamko la Sera ya Fedha...
Akizungumza mwishoni mwa wiki, kamishna wa Miradi ya PPP bwana David Kafulila amesema kampuni ya COVEC ya China inapanga kutumia zaidi ya Trilioni 2.7 ($1bln) kwaajili ya kujenga Barabara 10 za...
Msatahiki Meya wa Manispaa ya Mpanda, Hidary Summry, ametimiza ahadi yake kwa kuwapatia baiskeli 20 Makatibu wa Jumuiya na Makatibu wa Matawi katika manispaa hiyo.
Kupata nyuzi za kimkoa...
1. Nape Nnauye - Hajawahi kuwa msaada kwa watu wake wala Taifa letu. Hajawahi kuwa na mchango wa maana toka awe Mbunge. Tunataka watu wapya waje. Apishe.
2. January Makamba - Huyu yeye aliona...
Kwamba tume ya uchaguzi Tanzania @TumeUchaguziTZ imepoteza sifa za kusimamia uchaguzi huru na haki kutokana na mapungufu ya kikatiba yanayompa mamlaka Rais kuteua viongozi na watendaji wa tume...
Ulitahadharishwa kutokea mapema juu ya uchaguzi huu wa serikali za mitaa na kasoro zake tokea uandikishaji kama waziri mwenye dhamana ukadharau.
Ukashauriwa hiki na kile pia ukapuuza hadi...
Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu anaonesha umakini mkubwa sana kwenye Uongozi
Kwa mara ya kwanza Nchini Chama Cha siasa kimepata mabadiliko ya kweli ya Uongozi
Mabadiliko haya ya...
Wakuu,
Kunazidi kuchangamka!
===
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAVICHA) taifa, John Pambalu amewashauri wanachama wa chama hicho...
Kwanza naomba kuanza kwa kukupongeza kwa mikakati yenu ikiwemo kuzungumza na Viongozi wa Dini ili kuunga mkono kazi nyeti mnayoifanya ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu. Watu hawa ni...
Uchawa wa wasanii wetu umezidi sana! Samia saluti zako umejuwa kutenga anga lako kwenye kila sekta
===========
Wasanii maarufu wa Tanzania, Ay, Made na Chege, wamesema Kundi lao la Watu wa tatu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi Addis Ababa nchini Ethiopia kuanzia tarehe 15 - 16 Februari, 2025 kushiriki Mkutano wa...
https://youtu.be/NRRV25wKN9U?si=Z82mG6EFcURTQFPr
➡Hii combination ya Tundu Lissu na John Heche sio mchezo. Ni wote wanajua kujenga hoja
➡Maelfu ya umati huu Sirari - Tarime leo wakimsikiliza...
Kwanza poleni na majukumu, pia poleni na misiba ya wazee wetu, misiba ambayo inahisiwa ama kuhusishwa moja kwa moja na Covid19. Ama hakika ugonjwa huu upo hivyo tuendelee kuchukua tahadhari zote...
Wadau, amani iwe kwenu.
Nawapa pole ndugu wa Ben Saanane hususan Baba yake mpendwa, Focus Saanane na mdogo wake Erasto Saanane ambao kwa zaidi ya wiki sasa wanahangaika kumtafuta mpendwa wao...
Shujaa Magufuli 2020 akiwa Ikungi alikiri mbele ya Wazee wa Lisu kwamba alitamani sana kufanya kazi na kijana Wao lakini alikataa
Leo Tundu Lisu alikuwa anapangikia maneno kama wale Wanasiasa...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara Chacha Heche amesema katika chama hicho hakuna vibaka wala sio kweli chama hicho kilikuwa kinachukua vijana kutoka Tarime na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza dhamira yake ya kuendeleza na kuimarisha ushirikiano wa ndani na kimataifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Tanzania tumeshasema tumechoka kuburuzwa na kundi dogo ndani ya nchi linalojiona lina hatimiliki ya nchi , tabia hizi za kuvunja katiba ya chama hususani mchakato wa uteuzi wa wagombea urais wa...