Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni.
Hotuba hiyo itafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, waandishi wote wa...
Wakuu,
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Majaji wa Mahakama ya Rufani, Wenyeviti wa Bodi na kumpangia...
Anaandika Mwanasheria Garatwa Francis
Awali ya yote nitumie nafasi hii kumpongeza mtaalam wa Idara ya IT - Makao Makuu ya CHADEMA Taifa, kijana mwenzetu Remigius Selestine kwa ujasiri wake wa...
Watu wasiopenda mabadiliko na hasa kutoka CCM wameanza kuamka usingizini na wengine kuingiwa na hofu ya hatma yao baada ya hotuba ya mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. Wengine wanalalamika kama...
Kwa sasa kilio kikubwa cha vijana ni ajira ukosefu wa ajira ni bomu linalosubiri kulipuka.
Bahati mbaya hakuna mwanasiasa yoyote Tanzania mwenye majibu namna gani atapunguza ukosefu wa ajira kwa...
Hiki Chama ama kweli kimenivutia.
Hiki chama kweli kimeshakuwa na sasa kinaonesha ni chama kinastahili kuwaongoza Watanzania.
Walianza kwa kuwaonyesha Watanzania namna gani Uchaguzi huru na haki...
Nani kawahi kumsikia Lissu au Heche kuzungumzia maswala ya jamii?
Wao kutwa kuzungumzia uchaguzi, kubishana na Wasira.
Lkn kuhusu nini watafanya katika sera za elimu, afya, miundo mbinu sijawahi...
Dhana ya uchawa inazidi kushika kasi.
Ila ajabu ipo tu miongoni mwa Watanganyika. Sikuwahi kusikia Mzanzibari chawa.
Karibuni kwa mjadala bila mihemko.
Katika hotuba ya leo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, alizungumza kwa nguvu kuhusu hali ya umaskini na haki ya wananchi kuamua hatma yao. Alikazia kwamba, kama miongoni mwa...
Kuna jambo linafanyika katika mikutano ya CHADEMA ambalo kama CHADEMA haitolifanyia kazi litageuka msumari wa kisiasa kwa chama hicho.
Ninatambua kuwa CHADEMA siku hizi imekuwa ikiweka viongozi...
Msimamo ndio huo kwamba kila Mtu ashinde mechi zake Kati ya SADC na EAC
Ikumbukwe Tanzania ni mwanachama wa SADC na EAC na tunamuunga Mkono Raila Odinga
Source Citizen TV
Mlale unono 😀
Binafsi naamini kampeni zinapaswa kuanzwa mapema kwa jambo lolote lile kama nia ni kushinda.
CCM wameshateua mgombea Urais tayari japo sijui kama sheria ya uchaguzi inawaruhusu kafanya hivyo...
Wale Mliotaka Kuwekeza Kwenye Hati Fungani (Bond) Hii Hapa Samia Infrastructure Bond Kianzio Tsh 500,000 Tu
Kwa kuanza, unaweza kuwekeza kuanzia TZS 500,000 kwenye Samia Infrastructure Bond kwa...
Wananchi wa Kanda ya Ziwa na Kanda ya Kaskazini mwa Tanzania wameeleza kukerwa na mitungi ya gesi yenye picha ya Rais Samia Suluhu Hassan, wakisema inashawishiwa na rushwa katika mchakato wa...
Bungeni hakunaga Mbunge yoyote anayezungumzia Growth ya Uchumi Wetu katika uhalisia wake
Kwenye vyama vya siasa Ndio Kabisa wale vinara Wawili wa Uchumi nchini Prof Lipumba na Zitto Kabwe...
Maandalizi yanaendelea kwa ajili ya mapokezi na utambulisho wa mgombea pekee wa urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, yatakayofanyika Februari 15, 2025...
Hivi karibuni Tarehe 19 January, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi CCM alisema kwamba amekuwa akipata...
Mfano ni south Africa, Kila biashara kubwa, mashamba makubwa, yanamilikiwa na wahindi na wageni na wazungu, huku wazawa wenyewe wa south Africa wakibaki kuwa manamba , yaani vijakazi na kufanya...