Ni hivi punde tu Mwakilishi wa EU akiwa antoa tathmini yake ya awali emesema uko Lindi kuna irregularities kiasi eti mmoja wa wanafamilia anawapigia wengine katika familia yake.
Unless...
A total of 663 reports have been received on Uchaguzi Tanzania with 90% verified by TACCEO. The verification process involved actual phone calls to citizens amplifying the specific concerns for...
kwa vile tunauhakika wa wewe kuapata ushindi ulio wazi, binafsi na huenda wanachama wengine tungekushauri, katika baraza lako la kihistoria la mawaziri jalibu kuwaweka baadhi ya makamanda...
Makarani wa kuchapa matokeo ya jumla yakiwa yameshakusanywa wamechukuliwa na kupelekwa makao makuu ya Mkoa.
Taarifa hii imetoka kwa Mtanzania mwenzetu akiwa Manyara ambapo ameniambia kuwa hawa...
Ripoti hizi si za kupuuza hasa ikitoka kwa shuhuda 31/10/2010
0 Comment(s)
Nimekuwa nikifuatilia machapisho ya bloga, Albert Paul na licha ya kuwa blogu yake haina umaarufu zilizonao blogu...
Uchaguzi haujaahirishwa na tayari nipo kituoni kwa ajili ya kupiga kura. Kama utabiri huu wa kimajini umekwama, ule uchafu mwingine wa JK kushinda kwa kishindo upo kweli? Sheikh Yahya kajifiche...
Nimeshatoka kuvote for slaa,ktk kata ya sinza: Nimestaajabu kuona mawakala hawausishwi kukagua kadi ya mpiga kura na daftari la wapiga kura,kiana wametengwa. Ni rahisi kwa mtu ambae hayupo ktk...
Vijana wengi walioandikishwa mwaka huu katika kituo cha Batist kata ya Kichangani Morogoro mjini majina yao hayakuonekana na baadhi yao wameambiwa warudu tu ni bahati mbaya! inakuwaje kwa taarifa...
Wana JF,
Baada ya kupata taarifa juu ya suala husika Timu ya Uratibu imepitia vituo vyote na kuhakikisha tunakuwa na MAWAKALA WAAMINIFU. Napenda kuwajulisha na kuwaondoa hofu kuwa mpaka saa 5...
Hizi kampeni za siku ya uchaguzi, zimeendelea kwa JK kupiga kampeni live, baada ya Lowassa kupiga kampeni kule Channel Ten, JK Mwenyewe amekipigia debe CCM live on Star TV, bado yuko hewani live!
Moyo wangu umeshtushwa ghafla baada ya kuulizwa swali hili! hvi kuna madhara yoyote kama wale wakikukunjia?
Na ni kwanini wanatoa karatasi zikiwa zimekunjwa? Je kuna uwezekano wowote wa kura...
Kwa mara ya kwanza nimejikuta naingiwa na uzalendo wa hali ya juu wa kufanya Campaign ya masafa marefu (kwa simu) kuhamasisha ndugu, rafiki, na jamaa zangu huko Tanzania kwenda kupiga Kura...
Ninasikitika kwa kutokuweza kutumia haki yangu ya kuchagua viongozi wangu leo. Nilijiandikisha kupiga kura, nilihakiki jina langu kwenye tovuti ya NEC, bahati mbaya nimepata safari ya ghafla ya...
Watanzania waliowengi wameonnyesha hali ya kukomaa kisiasa na kuelewa elimu ya uraia. kwa kipindi chote cha kampeni watanzania wamwkua watulivu huku wakisikiliza sera za wagombea wa nafasi...
Jamani hakuna uchaguzi ulio makini kama wa leo.nec walijiandaa vizuri utaratibu wa kupiga kura nimeukubali hata asiyejua kusoma na kuandika atapiga kura yake maana vijana wa kuelekeza wanajua kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.