Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

wana jamvi naomba kama kuna mtu mwingine anaweza ku access blog za watanzania, for about three days Blog Nyingi zimekuwa hazinguki sijui kwa sababu Je inawezekana blog za Kibongo zimepigwa Pini?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu, Uchaguzi unaisha leo saa 12. Ninawaomba baada ya hapo tupeane habari za uchaguzi kwa amani bila matusi wala jazba. Tujiepushe na zile habari za kuzua na kuwadanganya wana JF. Kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo asubuhi nilifika kituo cha kupigia kura Mokorora shuleni saa 6:05 AM na kuwa mtu wa pili kufika hapo kituoni. Nilishangazwa na Land Rover 110 za F.F.U zenye askari waliovalia kivita...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimepata habari mida hii kutoka Tarime kutoka kwa jamaa yangu mmoja kwamba huenda kukatokea vurugu pale kushinda zile za mwaka juzi wakati wa uchaguzi mdogo. Anasema makada wa CCM wanataka...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakati ndo natoka kupiga kura nafika tu home nikafungulia choice fm ambayo bbc idhaa ya kiswahili wanaitumia kurusha matangazo maalum ya uchaguzi wa tanzania, nikasikia wanatangaza kuwa leo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
31/10/2010 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema italazimika kurejea uchaguzi katika wadi nne za Mji Magharibi kutokana na hitilafu zilizotokea katika karatasi za kupigia kura. Akizungumza na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu kama kuna suala lolote lisilo la kawaida au linavuruga haki ya mtu kupiga kura kwa uhuru na kwa siri basi tunaweza kutuma kwenda LHRC ili wasaidie kufuatilia. Maelekezo tuliyopewa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtu huyo mwenye kadi hii amehangaika kutafuta kituo chake cha kupigia kura bila mafanikio ameangalia mpaka kwenye website ya nec bila mafanikio, je watu kama hawa wapo wangapi na nec wanaagenda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Early in the morning, well - around 0830hrs, I'm on a queue, waiting for victory, yes, a 3-0 victory, (diwani, mbunge + rais) The chat with fellow citizens gives me hope, that a new era is coming...
0 Reactions
0 Replies
744 Views
WEKA HOJA AMBAYO IPO VERY CURRENT FOR THIS TIME TUPE HABARI ZA VITUO UPANDE WAKO HALI IKOJE MAMBO YA YAHAYA ATUTAKI KUSIKIA ATUSAIDII SA HIVI 2AMASISHE WATU IYO HOJA YA YAHAYA WANA JF HAITUSAIDII...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu, kumekuwa na posts nyingi kuhusu mwenendo wa Upigaji kura. Hii inasababisha tunashindwa kufuatilia matukio vizuri. MODS wamesaidia kidogo katika hili. Ukiingia katika Forum ya UCHAGUZI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesikia tetesi kuwa inawezekana kwa mtu kupiga kura ya urais mahali popote hata pale ambapo hajaiandikisha, je swala hilo lina ukweli kiasi gani? Wenye taarifa sahihi mtujulishe jamani
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani mbona JK hakuwashukuru riziwani na miraji jana pale Janngwani? Alimshukuru mke wake tu. Au aliogopa usemi wa BMW (baba, mama, watoto)? Halafu alikumbushia siasa za majitaka kwa kusema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wandugu jana iringa ilitawaliwa na maandamano makubwa ya chadema, mji mzima ulijaa furaha huku watu wakiimba mafisa hatuwataki na kuwaacha wafuasi wa ccm hoi.picha kutoka francis godwin.blogspot.com
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna habari zinaingia sasa hivi kuwa mji wa Mbeya umekatiwa umeme/umeme umekatika. Hata kama ni hali ya kawaida (kama tunavyojua) lakini yaweza kusababisha manung'uni yenye kuhusisha hilo na...
1 Reactions
24 Replies
251K Views
Wakuu, Najua ufungaji wa JK mmeuona kirahisi na huko Mbeya hamkufanikiwa kujua kwa ukaribu kilichojiri kwa video au picha. Hizi ni baadhi ya picha nilizozinasa nawakilisha Gari la Polisi la...
0 Reactions
95 Replies
15K Views
Wana JF, kuna yoyote mwenye taarifa kuhusu mkutano wa CCM viwanja vya Jangwani? Tunaomba taarifa
0 Reactions
220 Replies
18K Views
Tarehe kama ya leo, 31-10-2007, miaka mitatu iliyopita gazeti la Raia Mwema lilianzishwa, miaka mitatu ya gazeti hili limechangia kwa kiasi kikubwa katika mchakato wa mageuzi ya kisiasa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu waheshimiwa,Wakati nikijipanga kupiga kura yangu siku ya tar 31, nimekuwa nikiangalia hali ya hewa ili mtu asijesingizia hali ya hewa ilikuwa mbaya na hakujua. Mpaka sasa inaonekana kuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom