Rais JK... nilipokusikiliza asubuhi ya jana redio Clouds nilipata tabu sana kufuatilia maongezi yako hasa kutokana na sauti ya uchovu na kigugumizi kishichokwisha... kusema ukweli si kwa nia mbaya...
CCM inakiuka miongozo ya katiba yake, ikiwa ni pamoja na mwongozo wa Azimio la Arusha na Siasa ya TANU juu ya Ujamaa na Kujitegemea, kama ifuatavyo:
MISAADA NA MIKOPO
VITAHATARISHA UHURU WETU...
Itahesabika kuwa imeharibika ikiwa karatasi ya kura iliyohesabiwa itatobolewa na office punch?
ikiwa ni la nadhani kwa wale wanye uwezo wa kupata kitoboleo karatasi itawazuia wachakuaji...
Haya ni maneno ya Benjamin Wiliam Mkapa, ambaye aliendesha kampeni za vitisho zilizowakatisha Wananchi tamaa ya kutokea mabadiliko ya uongozi.
Kwa sehemu kubwa sasa katitika kampeni ambazo...
MAELEKEZO YA KUOIGA KURA YA RAIS. Ukipewa karatasi, ANGALIA PALIPOANDIKWA DR. SLAA AU ALAMA YA VIDOLE VIWILI, TIA TIKI HAPO. UTAKUWA UMECHAGUA RAIS MAKINI. TUMA KWA WATU 20
Jamani jambo jema ni kuwa, muda huu nimetoka kuongea na Mwalimu wangu wa shule ya msingi ambaye ni msimamizi wa uchaguzi. Anasema tayari wapo kituoni wakiandaa mazingira ya upigaji kura na...
Wakuu Mama Dr Batilda amefunga kampeni zake uwanja wa NMC kwa viroja vya aina yake.Kabla ya mkutano kuanza kuliwa na maandamano makubwa ya magari,pikipiki,baiskeli na waenda kwa miguu...
Wakuu leo tumeshuhudia kampeni zikifungwa rasmi Tanzania nzima.
Wakati akifunga kampeni hizo wilayani Hai,mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh. Freeman Mbowe alitoa wito kuwa Tanzania ilikuwepo...
Wakuu... Kesho tunapiga kura kuchagua rais, wabunge na madiwa... regardless of results, nchi itaendelea kuwepo na nadhani tukisie kidogo baadi ya matukio muhimu
Mimi ntaanza na hali ya fedha, kwa...
Nimeongea na ndugu toka Mbeya anasema watu waliojitokeza kumpokea ni wengi sana!
Kibaya zaidi hana Camera jamani mlio jirani hebu tuwekeeni angalau picha tu!
NN
Kuna Watu wamekuwa wanajaribu kuufananisha Uchaguzi wa 2010 na ule wa mwaka 1995, wamekuwa wakijaribu kulinganisha Umaarufu alionao nao Dr. Slaa na Umaarufu aliokuwa nao Augustino Lyatonga Mrema...
Mungu uliye umba mbingu na nchi, uliyeumba Tanzania na watu wake; kesho watanzania wanapiga kura kuwachagua viongozi wao. Wapenda amani twakusihi uchaguzi uwe wa amani na haki. Kila mgombea avune...
Napatwa kigugumizi cha akili. Kwa masaa haya machache yaliyobakia, jk ana lipi jipya? Najiuliza hao walalahoi wenzangu wanaomshabikia amewapa nini? Nafika ukomo wa kufikiri katika hili. Inakuwaje...
Ndugu nilitaka kuwajuza kuwa jana jioni CCM waliitisha waendesha pikipiki na vijana wavuta bangi wa Tabata Kimanga na kuwagawia Tsh. 5,000 na T-shirt kwa kila mmoja. Kadili ya watu 150...
Salaam wanabodi.<br />
Leo usiku kutakuwepo kipindi maalum cha kuombea uchaguzi mkuu uwe wa amani na utulivu.<br />
<br />
Kipindi hicho kimesharushwa na ITV na Star TV jioni ya leo. Usiku huu...
The Election Support Project 2010
The United Nations in Tanzania is helping to prepare for free, fair and credible Parliamentary and Presidential elections in 2010.
Why? This support is in...
Kama JK atapita basi mjue ya kwamba kuna mpango madhubuti wa kuhakikisha kuwa wabunge wote wa CCM wanamchagua LOWASSA kuwa spika wa bunge(mtakuja kunikumbuka jamani).Huo ndo uozo wa CCM wao ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.