Katika mdahalo wa jana JK aliulizwa swali moja zuri sana: kwamba ktk kipindi chake hiki cha miaka mitano kilichopita, anataka Watanzania wamkumbuke (legacy) kwa kitu gani?
Muungwana alitulia...
Jamaa ABDULAZIZ ABOOD anashngaza sana huku moro. Yeye anasaidia watu kwenda kuzika kwa kutumia basi lake maalum la Abood. cha ajabu wagonjwa hawapatii msaada wa gari kupelekwa hospitali. ni...
Kutakuwa na kipindi maalumu cha Dk Slaa katika ITV leo siku ya mwisho wa kampeni kuanzia saa 9.30 hadi saa 10.30 jioni. Katika kipindi hiki Dk Slaa atafanya majumuisho ya kampeni zake na kuwaomba...
Kesho tutapiga kura. Watanzania watapimwa tena kama ni werevu au wajinga kwa kiwango gani:
1. Ukimchagua Kikwete: ama wewe ni mjinga/juha usiyejua kitu au una maslahi yasiyo halali unataka...
Leo majira ya saa 4 asubuhi nikiluwa kwenye kituo cha daladala cha Ilala Boma nikingojea basi kwenda Mwenge.
Kwa takriban dakika 15 nilipokuwa nasubiri usafiri, yalipita madaladala si...
Jana Kibonde alianza kwa salam ya "Asalam Alleikum" (kama kawaida yake) ok.
Embu tu-assume ladba ule ungekua ni mdahalo wa Dr Slaa,, na muuliza swali angeishia kutoa salamu ya upande mmoja wa...
Ni Swali aliloulizwa kuhusu Sura ya Serikali yake ijayo iwapo atapewa ridhaa ya kuliongoza taifa kwa awamu nyingine, na je waTZ watarajie nini kipya katika utekelezaji wa malengo ya millenia...
....Hivi mbona jana JK hakuhojiwa na Rose MWAKITWANGE kama ilivyokuwa imepangwa ....maana yule dada ASHA MTWANGI aliyemuhoji ni moja ya waajiriwa wa IKULU chini ya kurugenzi ya habari...
Nilisikitishwa na kitendo cha Lipumba kumponda Dr. Slaa kwa kisingizio cha kujibu swali kwamba anamwuunga nani kati ya Dr. Slaa na Bw.Kikwete ambao ndio wanaoonekana kuwa washindani wa kweli. Kwa...
Mgombea ubunge kwa tiketi ya TLP jimbo la Nkenge anaombwa kujitoa kwa kuwa jina lake limewekewa bendera ya UDP badala ya TLP. Hivi ninavyoleta habari vikao vinaendelea kumshawishi ajitoe. Mgombea...
Wana JF.
Jana niliandika thread inayohusiana na habari ya Lowassa lakini naona moderator aliipiga chini.
Kwa mnaokumbuka vizuri, Lowassa alikuwa kiongozi shupavu katika kazi yake ya Uwaziri...
Ndugu
Ndiyo sasa tuko kwenye masaa 24 ya mwisho kabla ya kuhitimisha kazi yetu ya kuleta mabadiliko makubwa katika nchi yetu na kuifuta CCM katika historia ya Tanzania. Unaweza kuwa shujaa wa...
Sikiliza fatwa za uislamu juu ya kupiga kura kupitia redio Imani FM ya Morogoro.Kila eneo linaweza kuwa na masafa yake.Sheikh Muhammed Issa yuko hewani.
Ukikosa sasa inarudiwa rudiwa leo.
Eee mwenyezi Mungu, wewe ni mwingi wa Rehema. Tunakushukuru sana kwa kuiweka nchi yetu ya TZ katika hali ya utulivu kwa kipindi choote hiki cha uchuguzi na haswa kampeni.
Mungu sasa tunaingia...
kutokana na mwenendo wa kiasasa unavyoelekea kuna kila dalili ya wizi wa kura kutokea, na kwa kipindi hichi kifupi habari za njama hizo ya wizi zimekuwa zikilipotiwa humu (JF), kwanza na baadae...
Mtikisiko Uchaguzi Mkuu
CCM yadaiwa kuandaa mipango ya kuvuruga uchaguzi
na Mwandishi wetu
WAKATI zikiwa zimesalia siku mbili kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu Jumapili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.