Wandugu yamebaki masaa Kabla ya Kuifikia siku ya uchaguzi, ni saa sita na dakika moja usiku wa leo kama Mwenyezi Mungu akipenda tutakuwa tumeifikia hiyo siku!
Bado ninashaulu ya kujua kama ni...
CAG aagiza tuhuma dhidi ya Dk Kawambwa kuvaliwa njuga
Saturday, 30 October 2010 (Mwananchi)
MKAGUZI na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, amemwagiza Mkaguzi Mkazi wa...
Hey guys,the only and great thinkers,
Kwa mara ya kwanza nimetokwa machozi ya uchungu na furaha,vyote kwa pamoja niliposoma post ya Dr Slaa aloituma hapa hivi punde.
1.Nimekuwa na uchungu kwa...
JK kweli anajua kula na vipofu, na amedhihirisha hilo kwenye Q&A session ya jana ( Huku wakiuita ni mdahalo).
Anasema siri ya ajira nchi hii ni Kuleta wawekezaji? Cha ajabu ukitembelea website...
Waliotangaza kura feki Tunduma wapata dhamana
Saturday, 30 October 2010 Mwananchi
Stephano Simbeye, Mbozi
VIONGOZI wawili wa Chadema, kata ya Tunduma, wanaokabiliwa na kesi ya kutoa taarifa...
Waulizwa maswali wamepangwa, wengine hawaruhusiwi kuuliza. Mambo yameanza. Kabla hajaanza kujibu, kwanza anacheka.
Suzan Mungi-Style ya kampeni, unawanadi wabunge baadhi ya wananchi wanalalamika...
Maandalizi ya mkutano kabambe kesho yamekamilika ...nimepita pale jangwani usiku huu...nimekuta mkesha wa walinzi..unaendelea ..,na kuna dalili ya wenye imani mbali mbali kuwa pale kwenye vikundi...
Nimepata taarifa toka songea wanasema pamoja na ahadi za jk alizotoa za meli,hosp za rufaa na bla bla nyingi,umati ulimuita tena dr.slaa leo songea haijawahi tokea.kama kuna mwana jf there pse photos!
never on earth kwamba turnout ya voters ni 100%, leo kiravu anatueleza wanaongeza 10% ya papers to cater 4 shortages, hii inaingia akilini, Mjoma mpoki anasema uchaguzi uliopita turnout ilikuwa...
Kwa wale tu waliokua na mda wa kumsikiliza mkuu wa nchi anaemaliza mda wake, yaani ex-president. Je umeguswa vipi na unampa maksi ngapi?
Update: Nawashukuru wote ambao mko objective, unapotoa...
Katika khali inayothibitisha ya kuwa fani ya uandishi wa khabari imeingiliwa na kuvamiwa na mamluki wenye nia mbaya ya kushusha hadhi ya vyombo hivyo machoni pa jamii, gazeti la Mtanzania la leo...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imevishauri vyombo vya dola kutowabughudhi wananchi watakaokaa mita 100 kwenye maeneo ya vituo vya kupigia kura baada ya kumaliza kupiga kura.
Ushauri huo ylitolewa...
The cave is the world
The fetters are the imagination
The shadows of ourselves are the passive states which we know by introspection.
The learned in the cave are those who possess empirical...
Leo jioni channel Ten na CCM wamezindua matangazo ya kumnadi JK huku wakichakachua aliyoyasema Dr. Slaa katika kampeni zake.
Jk anaonekana mikutano yake ya mijini mahudhurio watu wamejaa na huku...
Jamani JF, Viongozi wa dini hasa Wakristo wamenunuliwa leo kwa pesa chafu na JK na wameandaa magazeti kwa ajili ya kumpigia kampeni na kumsafisha JK siku ya tarehe 30.10.2010. Miongoni mwao yapo...
Watanzania wenzangu. Nimegundua kuwa wengi wetu tunapiga kura kwa huruma kwa sababu tumekuzwa na kuelelewa kwa kuhurumiana. Kila mmoja wetu amegundua hasa baada ya mdahalo wa jana kuwa rais wetu...
Leo, wakati anajibu maswali kutoka kwa wawakilishi wa vituo vya TV, Mgombea urais kwa tiketi ya CCM rais JK, alisema kwamba sababu iliyomsukuma kuwanadi wagombea wa CCM wanaokabiwa na kesi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.