Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Pikipiki zikiwa zimepamba msafara wa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana (UVCCM) Taifa, Ridhiwani Kikwete ulipokuwa ukielekea kwenye mkutano wa kampeni katika Jimbo la...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kilavu ameyatoa majibu hayo wakati ajihojiwa jana TBC1 kuwa uchaguzi ni muhimu kwa rais, wabunge na madiwani. Hivyo suala la kusema kuwa mtu aliyeko nje ya kituo chake apige kura ya raisi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi uchaguzi ni ugomvi?? Habari nilizozipata sasa hivi ni kwamba, askari polisi kibao wameingizwa Dar na wamepelekwa Kurasini, kisa eti kuna vurugu!!! Hii wadau imekaaje? Source: a very close...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa ya ITV saa 12 (Hapa na Pale) inaonyesha kuwa kwenye kituo cha mabasi Ubungo watu wameongezeka sana kusafiri kwenda majumbani kwenda sijui wapi? Kupiga kura? What does this imply? Kazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama wataruhusu maswali naamini wengi mtapata muda wa kumwuliza. Itakuwa ni kuanzia saa 1 kamili asubuhi.
0 Reactions
356 Replies
35K Views
ebwana uchaguzi wa mwaka huu ni noma.Siamini mazee.nimetoka kuongea na mjomba angu sasa hivi shamba.Huyu mzee ni ccm damu miaka yote.Pamoja na mambo mengine,nilimuuliza kesho kutwa kura yake ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi si mtaalamu wa sheria hata kidogo.Naelewa sharia za kiislamu kwa kiwango fulani. Kwa kusema hivyo nataka kujuwa itakuwaje iwapo kwa bahati mbaya dkt.Slaa katika uchaguzi wa tarehe 31 oktoba...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Ndugu zangu hata mzee vijijini wanaelewa hali halisi na wamebadilika kutaka kuona mabadiliko katika nchi hii.Nina babu yangu mzee wa miaka 90 sasa ambaye ameona tawala zilizopita toka enzi za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TWO THINGS INVOLVED When you are born a man, whether u’l be from a developed Country or a undeveloped country;If you come from a developed country you are safe but if you are from undeveloped...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Maana viongozi wetu wengi tulio nao leo Tanzania wanapenda sana kujifanya miungu watu. Nani mwadhani atakuwa wa kwanza kujishusha kiasi hiki? Subiri mje muwaone mtaelewa nini nasema!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau, kwa taarifa kamili ni kwamba, idhaa ya kiswahili ya BBC imeshtakiwa kwa uongozi wa juu wa shirika hilo pale London. Tido mhando ametajwa kuwa mmoja wa watu walioingilia uhuru wa chombo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi jamani hii nafasi ya vyama kupewa Airtime na TBC ni kwa ajili ya Urais au na ubunge? Sioni kama kuna tija kufanya kampeni ya Ubunge wa jimbo moja kwa matangazo ya Nchi nzima wakati mgombea...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Youth votes could swing Tanzanian election Fri Oct 29, 2010 2:27pm GMT By Fumbuka Ng'wanakilala DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania's presidential candidates made a last-ditch push for...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dakika za lala salama hizi. Kumbuka hadithi ya 'The Boy and the Wolf', wale mliosoma hadithi za Esopo.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mtu wa pili na watatu kutoka kushoto na wapili na watatu kutoka kulia wameipa hii picha maudhui tofauti.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nionavyo mimi, ingewezekana kabisa NEC watuwekee link kwenye mtandao wao ili tuweze kuona waziwazi: 1 Majimbo yote ya Uchaguzi katika mikoa yetu, 2. vituo vyote vya kupigia kura vilivyo katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Soma mwenyewe kumbe JK ana nickname nyingine "Mr. Beep" Tanzania's election: Promises, promises | The Economist
0 Reactions
1 Replies
992 Views
Wafanyakazi wote Wizara ya Mambo ya Ndani makao makuu majira ya saa 5.45 leo hii wamepewa pesa taslimu shillingi 30,000 kila mfanyakazi kuanzia mkubwa mpaka mlinzi ili wampigie kura Kikwete siku...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wengi wa Wasimamizi na makarani wa vituo vya kupigia kura Jimbo la MONDULI kwa uchaguzi utakaofanyika 31/10/2010 ni wahitimu wa darasa la saba. Ni ukweli dhahiri kuwa mhitimu wadarasa la saba hana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom