Dear Brothers and Sisters in Christ,
Grace and peace from God our Father and the Lord Jesus Christ be yours in abundance.
We responded to Gods call to mobilize his people all over the world to...
FFU WAKIMBIZA WAFUASI WA CHADEMA IRINGA ,DK SLAA AKWAMA KUHUTUBIA
"
Hapa tupo gado akitua tu Dk Slaa tunaye"
"
Ila hawa wananchi mbona ni wengi sana itakuwaje hawawezi kufanya fujo"
"...
Ndugu zanguni,
Taarifa nilizopata leo ni kuwa 'mdahalo' utakaoneshwa na ITV leo usiku kuhusu mgombea Urais wa CCM Jakaya Kikwete, umeingiliwa na mafisadi kuhakikisha kuwa unakuwa ni mkutano wa...
makamu mwenyekiti wa Jahazi Asilia Taifa Bw Ismail Makuke (kushoto) akanusha taarifa ya mgombea urais wa UPDP ambaye ametolewa kugombea nafasi hiyo baada ya kukosea jina lake Fahma Dovutwa ambaye...
Wandugu naomba mnielimishe hapa....mimi nimejiandikishia Yaeda na nilikuwa nipigie kura kule....kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika kwa sasa naandikia hii thread huku Tandahimba, sasa nasikia...
Nimepitia karatasi za wapiga kura, ambazo zimetundikwa maeneo mbalimbali katika vituo vya kupigia kura tarehe 31/10/2010.
Katika orodha waliyoweka tume ya uchaguzi, kuna aina mbili za namba za...
Haya ni matumizi yasiyokuwa ya lazima ya FFU
Watanzania wanaoneka wana amani
kabisa
Askari hata hawaoni umasikini
unaowazunguka...
angalia hayo mabati
Uchafu hawauoni
Ila raia wema...
....but these CCM mofos know how to play the game (of politics). I am in the rock city right now and all you see is CCM ads...from billboards to placards to hats to just about every little thing...
Nikiwa njia kutoka mji mdogo wa katoro(busanda),ghafla wakati tunaaza kuingia gta mjini nje kidogo ya centre ya nyankumbu nikaona magari ya kampeni ya mgombea wa ccm yamesimama green gud wake...
Napenda kutoa shukrani zangu kwa Bw Mengi na timu nzima ya ITV, kwa kuweka historia ya mapambano/ demokrasia Tanzania kwa kuweza kutoa coverage ya 3hrs kwa CHAMA CHA UPINZANI, hata kama ni kulipia...
Jamani nawaomba mrudi nyuma mtafakari zaidi juu ya mgombea huyu ambaye ni rais wa tanzania kweli anathubutu kutwambia watanzania kwamba ahadi nyingi alizozitoa ni za hapokwapapo??!!!inashangaza...
Ninawaomba wana CCM mnaoweka maslahi ya nchi mbele ya Chama mumuulize Mpendwa wetu mgombea wa CCM maswali haya kwa niaba yangu na ya wanachi wengine ili akanushe uvumi unaoenezwa juu yake katika...
Jk kaulizwa swali kuhusu ahadi anazotoa kila sehemu itakuwa vipi? Jamaa anajibu kisanii kwamba inambidi tu aseme japo hayako kwenye ilani kutokana na mazingira.
Duh, huyu ndiye eti rais
Jamani, kweli tulikuwa tunaongozwa na viongozi wa dini kabisa hatukuwa na kiongozi wa serikali. Jamaa kathibitisha kabisa hawezi kuwatengua kwani mpaka hapo bado watuhumiwa. Inakuwaje wagombea...
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba CCM wameandaa mikakati michafu kuhakikisha kwamba wanashinda Uchaguzi wa Ubunge jimboni Ubungo kwa gharama zozote. Wamekaa kikao na kukubaliana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.