Tetesi za mmiliki wa Kiwira kufunga kampeni za CCM zimetawala jiji la Arusha na maswali mengi wananchi wanajiuliza juu ya Mheshimiwa huyu Rais Mstaafu naye saa hizi za majeruhi anatafuta nini kama...
Jana jioni maeneo ya Mwadubi Wilaya ya kwimba jimbo la kwimba yamekamatwa mabox ya kupigia kura. Habari za uhakika kutoka kwa Mgombea wa Ubunge Letty Nyerere amesema wamekamata masanduku mawili na...
Tetesi hizi zinajengwa na hoja kuwa CCM wanasisitiza kuwa watapata ushindi wao kwa zaidi ya asilimia 80. Ushindi huu lazima upatikane kwa haki au hira kwa maana ndio utakaowawezesha kuunda...
Na. M. M. Mwanakijiji
Nilisimuliwa kisa cha mbayuwayu ambaye alikuwa anaishi katika shamba la Mkulima mmoja huko Ukwereni. Mbayuwayu huyo aliishi na wenzake katika maisha ya kutegemea nafaka na...
Ni wazi ya kua wasomi wengi walioko katika post mbalimbali za serikali wanaogopa kujihusisha na siasa ili kulinda post zao na kuhofu kuhusu post zao hivyo wengi wao wanaamua kukaa kimya au...
Ni ukweli usiopingika ya kua CCM katika uchaguzi huu itashindwa.Nini cha kufanya kwa CCM na JK kubalini matokeo ya uchaguzi na kuipa CHADEMA na Dr.Slaa atuongoze na baada ya miaka mitano mtapata...
Tanzania inaongoza kwa kutoa misamaha mikubwa zaidi ya kodi ikilinganishwa na nchi nyingine za Afrika Mashariki pamoja na bajeti yake kuwa tegemezi kwa misaada ya nje kwa zaidi ya asilimia 30...
Tamaa ya uongozi na idadi kubwa ya ahadi zisizotekelezeka
Na Juma Kidogo
Ni siku na wakati mwingine tena tunakutana ndugu zangu wapendwa katika ulingo huu wa siasa ili kujadili mambo...
Tamaa ya uongozi na idadi kubwa ya ahadi zisizotekelezeka
Na Juma Kidogo
Ni siku na wakati mwingine tena tunakutana ndugu zangu wapendwa katika ulingo huu wa siasa ili kujadili mambo...
Kuanzia jana na leo asubuhi ninaendela kukagua vituo vya kupiga kura hapa Arusha mjini na nimebaini ya kuwa NEC haimthamini hata chembe mpigakura.
Makaratasi yenye majina ya wapigakura yamezagaa...
Nafahamu kwamba leo ndo mwisho wa kampeni na kesho hakuna hata anayeruhusiwa kuvaa au kupeperusha bendera ya chama chochote ktk kituo cha kupigia kura. Ktk kampeni hizi CCM imetundika mabango...
Dk. Slaa: Nitashinda
• Kuhitimisha kampeni Mbeya leo
na Mwandishi wetu
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema Watanzania...
Wakuu,
Jana katika mkutano wake na waandishi wa habari JK kwa mdomo wake alinishangaza pale alipotoa mfano wa ajira walizo leta katika kipindi cha miaka mitano ni "uanzishwaji wa Groceries...
dokii kukatika mauno hadharani
mahudhurio hafifu na wewngi kuonekana walifuata burudani toka kwa marlaw,flora mbasha na hafsa kazinja
jk kutumia dakika kumi kwenye hotuba yake
jk kurudia kauli...
NEC yabariki kampeni za Chadema Maswa kusitishwa
Na Joseph Mwendapole
30th October 2010
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imebariki uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Uchaguzi ya Jimbo la Maswa...
Leo kwa kuwa siyo siku ya kazi nilijihimu kwenda soko la Ilala kujipatia mahitaji yangu.
Nilipoteremka stand ya Ilala sokoni (kutokea maeneo ya Buguruni) niliona watu wengi, hasa vijana...
Leo wataalam wanasema ukitaka kuzaa mtoto wa kiume mimba lazima itunge siku ya 14
jaman kupitia uzoefu wanga siku kama ya leo katika kila chaguzi chama cha mafisadi uwa wana kesha usiku kucha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.