Wadau,
Nimekuwa nikifuatilia mijadala inayoendelea katika forum hii. Nataka kutoa changamoto kwa wadau wenzangu ili tujadili swali lifuatalo:
Je, ni mtanzania gani ana SIFA na VIGEZO vya...
Usiku wa leo na mchana wa kesho ni siku ambayo CCM inapitisha na itapitisha unyama wa aina yake wa kutumia hila zao walizozitayarisha kwa ajili ya kupora uchaguzi.
Hivyo wananchi wale wote ambao...
Kutokana na kampeni za Jangwani na huko Mbeya mabomu yalivyokwenda,na jinsi viongozi wastaafu walivyomkandia Slaa katika dakika za mwisho ni wazi kuwa dkt.Slaa katika uchaguzi huu ataanguka tu...
Ndugu zangu wana JF na wa Watanzania wote, leo ndiyo siku ambayo tumeisubiri kwa muda mrefu. Ni siku muhimu sana katika mapambazuko mapya ya nchi yetu. Nawaomba kila mmoja wetu ambaye...
Makamanda wa PCCB huko Bariadi wamemkamata mke wa Andrew Chenge aitwaye Tina kwa tuhuma za kugawa hongo ya Sh5,000 na kanga kwa wapiga kura katika vikao vya siri alivyokuwa anavifanya.
Source...
WAZIRI Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Ahmed Salim, amemmwagia sifa mgombea wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dk. Jakaya Kikwete, kuwa ana nia ya dhati ya...
Whats up jf world? The time for talk is up, now its time for some action. So who ya got? Slaa or kikwete? Me yours truly here im picking kikwete to win handily albeit i hate ccm's guts. Let me...
Ikiwa ni tayari saa 6 usiku na ni tarehe 31 october 2010. Ni siku iliyosubiliwa kwa hamu kubwa ili watanzania wafanye mabadiliko makubwa. Mabadiliko yatakayo kumbukwa na vizazi vijavyo kwa...
Huu ni Usia wa Mwisho kwa Chadema...
Nawataarifu tu kwamba kuna uwezekano mkubwa sana wa Kikwete kushinda uchaguzi huu ikiwa Chadema watazembea ktk kuweka wasimamizi sehemu ambazo wao...
My fellow countrymen, the time to make a wise choice has arrived. Please don't repeat the same mistake again [we'll never get this chance again!!!!!]. Vote for change this time. To paraphrase...
Mkuu kesho ni upigaji kura jamani kwa maendeleo ya Taifa kwa miaka mitano,kura yako ni mhimu sana kufanya mabadiliko ya Tanzania yetu yenye malengo mazuri na wananchi wake, CHAGUA CHADEMA kwa...
Ndugu zangu ambao hamjawa converted kumpigia kura dr. Slaa (yaani bado mnadhani mtampa kura zenu Kikwete) jiulizeni maswali haya kumi.
Una maisha bora?
Wezi wa EPA wamepatikana?
Amekutajia wale...
It is the style of deliveries of their speeches that separated the two wolves from the sheep and I must say Mzee Mwinyi is a truly an exemplary statesman deserving all to emulate........He had...
Friday, October 29, 2010
Mchakato wa kuapishwa kwa mawakala Jimbo la Singida Mashariki-Uchakachuaji ukatishao tamaa
Jana nilikuwa kwenye mchakato wa kuapishwa kwa mawakala watakaosimamia na...
alikuwa hapa itigi jimbo la manyoni magharibi mbalo lina ushindani mkubwa sana na ni wazi ccm inapumulia mashine,akiwa anawaomba watu wampe kura mgombea wa ccm bwana lwanja watu wakamwonyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.