Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ameishauri Serikali kuangalia mikaba na kusaidia Wakandarasi wazawa kupata nafasi pia katika miradi mbalimbali, ametoa ushauri huo kwa Naibu Waziri Ofisi ya...
0 Reactions
5 Replies
219 Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal, ambaye alifika ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Halmashauri ya Wilaya ya Singida imekumbushia ahadi ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi ya kujengewa soko la vitunguu ambalo litasaidia kuongeza mapato ya halmashauri ambapo imeiomba...
0 Reactions
1 Replies
95 Views
  • Redirect
Jibuni hoja za Wassira, hoja za kuwa akalee vitukuu, cjui anasinzia sio mambo wanayotaka watanzania, unaulizwa swali uko tayari kwa mdahalo na Wassira unajibu kwa hasira, Wassira wa nn mm akaleee...
3 Reactions
Replies
Views
Habari za mwisho wa wiki wadau na kheri ya mwaka mpya. Lakini kwanza nitie angalizo kwamba mie si mwanachama wa chama chochote bali ni mtaalam tu niliejifunza kufanya chambuzi na mambo mengine...
0 Reactions
26 Replies
985 Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, zikijadili jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii lenye maslahi kwa taifa letu. Makala hizi...
29 Reactions
198 Replies
12K Views
Stephen Masato Wasira, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara. "Na Tundu Lissu alikuwa akisema haijapata kutokea kuwa na Rais wa ajabu kama Magufuli kama unamuita wa ajabu. Na kama...
1 Reactions
2 Replies
220 Views
"Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani aliita vyama kule Dodoma na nchi hii ina vyama 19 vilihudhuria vyama 18 kwenye huo mkutano. "Na Rais alikuwa akizungumzia kuhusu 4R...
0 Reactions
3 Replies
237 Views
Wakuu, Kunaanza kuchangamka sasa, Makonda asema wale wote waliofanikiwa kwa fedha za ushoga moto wa Mungu utawashukia. Makonda asema inatia uchungu unamlea mtoto kwa tabu halafu anaenda kuwa...
1 Reactions
0 Replies
178 Views
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ethiopia na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Afrika na Kamisheni Umoja wa Mataifa ya Uchumi Afrika (UNECA), Mhe. Innocent Shio...
0 Reactions
0 Replies
156 Views
Habari Wakuu, Kwa watu wanaopenda kutoa maarifa kwa manufaa ya wengine ningependa wanisaidie kwa hili; nahitaji kuwa mchambuzi wa masuala ya Siasa ila sijui njia itakayo niwezesha kuwa mchambuzi...
7 Reactions
69 Replies
7K Views
Nafuatilia Kwa karibu kampeni za Raila Odinga kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa AUC Moja ya nyenzo za kampeni za Raila Odinga ni Urafiki wake na Jembe la Africa Shujaa Magufuli na Wakenya wako na...
7 Reactions
50 Replies
2K Views
Msanii aimba remix ya wimbo wa Harmonize kwa kweka mistari ya "CHADEMA unaishindaje, kwenye mapokezi ya John Heche nyumbani kwao Tarime
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Nimemsikia Tundu Lissu katika mahojiano yake na moja ya chombo cha habari akidai kwamba haki ya kuchagua katika katiba iliyo ibara ya 5 sio haki ya kikatiba na haiwezi kudaiwa mahakamani kwa...
0 Reactions
29 Replies
1K Views
Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 13 Februari 13, 2025 https://www.youtube.com/live/cyc6U2sR8Lo?si=DI-aIFTZ23kTvpdk
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Nawashangaa sana wamalawi, yani karibia kila siku ajenda kuu za kimataifa lazima wagusie ziwa Malawi / Nyasa. Mpaka wa kusini wa Ziwa Nyasa na Msumbiji uliwekwa kupitia mikataba kati ya Uingereza...
1 Reactions
41 Replies
2K Views
Uchaguzi wa kihistoria wa Tanzania utakao fanyika mapema oct.2025, utafanyika kwa uhuru, haki na uwazi kwa mujibu wa katiba na sheria za Taifa letu, na sio kwa makelele na upotoshaji wa wanasiasa...
2 Reactions
26 Replies
544 Views
Wakuu, Mambo yanazidi kuchanganya, ni vuta n' kuvute. Wasira anasema sheria za uchaguzi ni matokeo ya maridhiano, ambapo wananchi wote wakiwemo CHADEMA walishirikishwa kutoa maoni kabla ya...
2 Reactions
21 Replies
661 Views
  • Redirect
https://youtu.be/oBNyN8ncqiI?si=ZIyk5CUcoD3-qrAb ➡Anasema, hajui na wala hatambui kama amefukuzwa uanachama wa CCM... ➡Hakupinga kuteuliwa kwa Samia kuwa mgombea u - Rais bali anapinga mchakato...
7 Reactions
Replies
Views
Kama kichwa kinavyo jieleza, nimepata nafasi Kuskiza matangazo ya Radio DW Leo mchana, Katika matangazo hayo ya Dunia Kuna majukwaa na Mijadala mbalimbali, sasa jukwaa Moja wapo ni meza huru...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…