Najua kwamba Salma Kikwete ni mke wa Rais J.M.Kikwete kinachonisumbua ni nafasi yake katika utumishi wa Umma maana mama huyu amekua akifanya ziara nyingi nchini sijui ni za kiserekali, binafsi au...
baada ya kupokea misaada yenye thamani ya shilingi milioni 51 toka Uchina. (Picha na Haki Hakingowi)
Rais Jakaya Kikwete Apokea Misaada Kutoka China...
GOLI NI GOLI HATA LA MPENDAZOE NALO GOLI!
Na. M. M. Mwanakijiji
Kwenye kandakanda kuna magoli yanaudhi sana na yanakera. Kuna magoli ambayo mtu unakubali tu kuwa goli hilo "halina utata"...
Leo CCM itawasimika makamanda wake wa mkoa wa tanga katika mkutano utakaofanyika Mombo, Tanga.
Wanaotarajiwa kusimikwa ni:
Mzee makamba (katibu mkuu wa ccm): Kamanda wa mkoa wa Tanga, Mh...
WanaJF, nawaletea taarifa ambayo niliitoa jana kupitia http://mnyika.blogspot.com na katika Kongamano la Vijana la Demokrasia na Maendeleo Jimbo la Ubungo. Nawatakia mjadala mwema.
Ni wakati wa...
Zile harakati za kuwa na Muungano ama ushirikiano wa vyama vya siasa katika chguzi umekwama wapi?
Wapinzani walivyoanza kuzungumzia swala hili nilikuwa na matumaini makubwa sana kwamba sasa...
Kuna taarifa kuwa Mbunge huyu machachari amekuwa kigogo wa kwanza kabisa toka CCM kwenda CCJ.
Mbunge wa Jimbo la Kishapu (CCM) Fred Mpendazoe (katikati) akitangaza kwa waandishi wa habari...
Hivi karibuni ,tarehe 2 Machi 2010 Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe Aggrey Mwanri alizindua ukarabati wa kisima cha maji katika Jimbo la Kibakwe.Wakati anazindua maji yalikuwa yanatoka kwenye mabomba...
Baada ya Mzee Jaffer Sabodo kusoma habari iliyochapishwa katika Daily News la jana Tar.29.03.2010 mwandishi akiwa Finnigan wa Simbeye alikuwa na haya ya kusema...
"Mheshimiwa Rais,kwa ziara...
Wakuu,
Mara kwa mara nimekuwa nikisikia kwenye vyombo vya habari kuwa mtu fulani amesimikwa kuwa Kamanda wa CCM. Na siku za hivi karibuni kuna amesimikwa Kamanda wa UVCCM Kibaha.
Ningependa...
Baada ya gazeti la Tanzania Daima kufichukua wizi wa TFF kwenye mapato ya uwanja wa Taifa,wizara husika baadaye iliahidi kushughulikia suala la upotevu wa mapato ya clubs na timu ya Taifa.Rais wa...
The ghost of corruption scandals that have rocked the Tanzanias Electric Supply Company (TANESCO) appears not to be getting away as yet another scandal is reported to be silently brewing at this...
wakuu, kuna mdau ame-forward hii email kwangu nami nikaona ni busara pia kuitundika jamvini ili wote tuone udhalimu wanaofanyiwa watanzania wenzetu wasio na sehemu ya kutoa kilio chao wakasikika...
Matatizo yaliyojitokeza katika uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura Zanzibar, yamejirudia hapa Bara. Tofauti na Zanzibar ambao walikua na vigezo vya kukataa kuandikisha watu kama...
MKOA wa Tabora umerudisha hazina Sh 326,192,517 walizopaswa kulipwa walimu wa Shule za Msingi baada ya kubainika kiasi hicho cha fedha kilizidi ikilinganishwa na madai yao halali. Madai ya walimu...
Kitendo cha viongozi wa serikali kubadili miswada iliyopitishwa na bunge kimetushtua sana lakini kikubwa ninachokiona ni serikali kulipuuza bunge, je cha kujiuliza ni Bunge lina nafasi gani katika...