Naomba kujua pesa za kuendesha vyama zinatoka wapi??
Ni kwanini Vyama visiwe na miradi yake ili kuviwezesha kuwa na kipato na kujiendesha kama Marehemu SUKITA?
Naomba msaada wadau...
Mchakato wa kujua thamani ya hisa za Rites katika TRL waanza .Habari hii imeandikwa katika gazeti la Nipashe la Jumatatu 29.03.2010 inatia kichefuchefu kwamba serekali hii haijui hata hizo hisa...
nipo feri, for an hour now, kuna vidaftari ya wakubwa wanaopitia VIP, kuna zaidi ya 20% ya peasa isiyofika juu, kuna foleni ya karaha wiki hii, simply to make us desperate... e.g. ijumaa tulipanga...
Jaman hizi sheria nyingine azina adabu zinaitaji kubadilishwa kabisa;kwa mliomsikia mama sophia simba waziri wetu wa utawala nyeti;ametangaza clouds agombei msimu huu,..alipoulizwa na kibonde wa...
Ninajua ukweli kuwa kila mtu mstaarabu anatafuta namna ya ama kuondoa kabisa au kupunguza matatizo ya nchi hii ya Tanzania. Hili ni jukumu letu kila mmoja na kwa pamoja.
Kwa ajili yangu na kwa...
Kwa kweli nimependezwa sana na uwajibikaji wa huyu mama, last week aliamuru kufungwa mara moja kwa shule ya sekondari ya Bundikani huko kibaha baada ya kugundulika wanafunzi wa kidato cha kwanza...
Festo Polea (Mwananchi)
SERIKALI ipo katika mazungumzo na wahisani ili kuweza kupanua barabara ya Morogoro kuanzia Dar es Salaam hadi Chalinze, kwa kiwango cha njia mbili zitakazosaidia...
In the absence of politcal will to fight corruption on our part,GB please choose a bridge of the 100 plus bridges across the Thames and kindly cast the loot upon the waters.Thank you very much!
Mbowe ajigamba adai atamwangamiza Malecela
*ASEMA AKIGOMBEA TU, ATAHAKIKISHA ANAMMALIZA
Na Geofrey Nyang'oro, Dodoma: Mwananchi
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza vita...
Can somebody articulate why it seems there is some kind of a pattern or a logical explanation of why some of the most grisly accidents have happened in or near Kibaha for many many years now? Is...
WanaJamii Sikubali kabisa na serikali yetu kwamba Pesa za ziada za ununuzi wa rada zirudi Serikalini ( HAZINA)
Jana nimemsikiliza Waziri wetu Membe akihojiwa na Charles Hilary wa BBC kuhusu pesa...
- Wakuu JF heshima mbele sana, According to the dataz nilizozinasa sasa hivi, ni kwamba Mwenyekiti wa CCM taifa ameitisha vikao vya dharura, yaani Kamati Kuu ya CCM Tarehe 28/3/10 na kingine cha...
Jamani Watz naomba muangalie hii programme halafu tujadiliane kuhusu huu ufisadi wa maliasili yetu.
Ndugu zangu watanzania,je na ufisadi huu ni nani anahusika?inawezekana Diplomats wa...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete leo amenusurika kupata ajali baada ya Lori linalodaiwa kuwa na magendo kukaidi amri ya polisi kusimama kupisha msafara huo... Gari la usalama lililazimika kulikinga...
Project
Sea View Apartments
Status
July December 2007 All detailed designs and bills of quantities completed. Building permit obtained in January 2008 Construction due to start
Client...
Heshima kwenu wana JF,
Ni muda mrefu sasa umepita tangu majanga ya kulipuka kwa mabomu kule mbagala. Kwa hekma ya Mh. waziri wa wizara husika aliunda tume ya kuchunguza nini ilikuwa sababu hasa...
Kuna Tetesi kuwa Mwungwana kamtema Amos Makala kutoka nafasi ya Mtunza Hazina wa Chama, na kumteua Zhakia Meghji kuchukua nafasi yake.Kama tetesi hii ina ukweli, naamini la Kuvunda halina ubani.
Leo ilikuwa siku ya mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kutangaza wapi anawania kati ya majimbo matano aliyokuwa ameyataja mwanzo. Majimbo hayo ni Kahama, Geita, Kinondoni, Kigoma Mjini na...
Ninatatizika na tangazo moja hivi la tume ya uchaguzi linalosisitiza watanzania kujitokeza kuchagua viongozi, linasisitiza wananchi wachague viongozi wanaowataka.......
Mimi naona sio sahihi...