Mchungaji Mtikila Sunday, February 14, 2010 7:42 PM Akiongea na waandishi wa habari leo hii, Mchungaji Mtikila amemtaka rais Kikwete ajiuzulu ili kulinda heshima yake na pia amesema...
Je kupiga dili la kupoitisha majina HEWA inaweza kuanguka katika category ya UFISADI?
If so then we have a MASSIVE problem kwani nadhani wizara hii inaongoza kwa wafanyakazi hewa..hili waziri...
sihitaji kuongea mambo mengi ila habari ndiyo hiyo!
Naona kama wameshatuelemea na hatuji tufanyaje,Sanduku la Kura limeshatengenezwa na siyo mbali sana ni kama mwaka bado!
Mkishindwa kupanga...
MKUTANO wa Halmashauri Kuu ya CCM (Nec), umeanza mjini hapa ukiwa umefunikwa na usiri mkubwa kutokana na mambo mazito yanayojadiliwa wakati huu wa kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba...
Nauliza.....nani zaidi?
Hayati Mwl. Nyerere alipigania uhuru na kujaribu kutekeleza siasa ya ujamaa na kujitegemea. Kuna wanaodai alijitahidi kwa kiasi kikubwa kuinua pato la mwananchi wa...
A portion of the act states this
 The Land Act,1999 (Act No 4/1999)
The Land Act is the principle land legislation on all land matters. The Land Act signifies
that land in Tanzania is...
GWYNNE DYER
eagle-eyed Columnist analyses global issues
Eight months ago (and 10 months before regional elections were due to be held all over the country), French president Nicolas Sarkozy...
Ni kuhusiana na mgawanyiko ndani ya CCM
Sitta amshukia Rostam kuhusu Richmond
Ripoti ya Kamati ya Mwinyi kuzua mtafaruku
Na John Daniel, Dodoma
WAKATI macho yote ya Watanzania yako Dodoma...
Chuo Kikuu cha Kanisa Katoliki kilichoko Kenya (CUEA) kimemtunuku Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka, Director wa UN Habitat degree ya heshima kwenye fani ya Haki ya Jamii na Maendeleo ya Binadamu...
Rais wa awamu ya tatu Tanzania, Benjamin William Mkapa.
February 11, 2010
SIAMINI kama huyu anayezungumziwa hapa ni Rais wangu wa awamu ya tatu nchini Tanzania...
Kama ambavyo imefanyika kwa ugonjwa wa Malaria siku ya Jumamosi (13/02/2010), tunaomba na kupendekeza pia matatizo haya makubwa katika taifa letu nayo yatanganzwe rasmi kama majanga ya kitaifa:-...
Wakuu,
Nasikitika kuwatangazia kuwa tunahamisha data kutoka Center moja kwenda nyingine. Hii itasababisha nameservers kubadilishwa na hivyo kwa wale ambao wanaitembelea JF mara kwa mara huenda...
Mara kwa mara watawala wamekuwa wakituasa kuwa tofauti zetu zisisababishe mgawanyiko katika jamii na kuwa ni muhimu kuendeleza "umoja, utulivu na mshikamano".
Mimi nimeamua kukataa kuwa na umoja...
Rais Jakaya Kikwete jana wakati 'anakamata' Fanta yake wakati wa kuwapongeza wabunge waliopitisha hoja aliyoiita muhimu kwa uchaguzi wa demokrasia, aliwaponda na kuwaruka watu wanaojipitisha...
Ningependa kujua utaratibu wa uuzaji wa viwanja kupitia vijiji.
Unafanywa vipi?ni jinsi gani ya kuhakiki Mwenye kiti wa vijiji?
Na ni njia zipi sahihi?kusije kukawa na watu wanafanya utapeli!
We are expecting to deliver the next round of our contributions to the Tanzanian Red Cross Society sometime tomorrow as our Donations Campaign is winding down. We continue to be of immense...
Salaam,
Kwanza naomba niwatulize mioyo wale ambao kwa namna moja au nyingine wanajisikia kukwazika na kile kilichoendelea Bungeni leo hii na hasa suala la Richmond. Ninafahamu watu wengi...
Kauli ya CCM Kuhusu Kuanzishwa kwa Chama Kipya cha Upinzani CCJ
Hivi karibuni vyombo vya habari vimekuwa vinaandika sana habari za kuanzishwa kwa Chama kipya cha upinzani kiitwacho Chama cha...
Baada ya kutafakari sana, nimepata sababu 51 za kwanini Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama chetu Cha Mapinduzi aamue kutoshiriki kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu mwakani...
Maelezo haya hapa chini yanayohusu Taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imenisikitisha sana kwa jinsi Kamati hiyo ilivyotishiwa nyau na mambo ya "Posho Mbili kwa kazi...