KAMA tungekuwa na nia ya kupigana na ufisadi na hasa ule wa matumizi mabaya ya ofisi, fedha na rasilimali za nchi kama wanavyofanya kule Uchina, basi wale waliopitisha matumizi ya ujenzi wa nyumba...
Naona kuna hoja ya kujibu hapa.
Katika mfumo wa vyama vingi, kila kinachofanywa ambacho awali kilifanywa kwa maendeleo ya nchi na wana nchi, sasa hufanywa kwa malengo ya kisiasa.
Najiuliza...
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila
Kinshasa:
Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, amewafukuza kazi watumishi zaidi wa umma nchini humokatika juhudi zake za...
watch these on youtube...
http://www.youtube.com/watch?v=XqHi50YdAQQ
http://www.youtube.com/watch?v=40_ih4nNdoc
http://www.youtube.com/watch?v=P1-YuxjdcvU...
na Charles Ndagulla, Moshi
MBUNGE wa Vunjo, Aloyce Kimaro Simba wa Yuda, ametamba kuwa hadi sasa hajaona mpinzani wa dhati ndani na nje ya chama chake ambaye anaweza kumngoa kwenye kiti...
Nimekuwa nikiangalia baadhi ya habari na imenisikitisha sana Uamuzi wa Gavana wa Tanzania kutumia fedha nyingi kukarabati/kujenga nyumba ya kuishi YEYE. Yaani kupewa tu nafasi hiyo anataka aishi...
KAULI ya Rais Jakaya Kikwete ya kusema kuna watu wenye njama ovu za kulivuruga taifa, imetafsiriwa kuwa ni moja ya njia ambazo ametumia kuwakemea baadhi ya watu wa kada mbalimbali ambao katika...
I'll say it maana naona kila mmoja anaogopa kulisema.
This mediocre bwana Tido kaamua kuhamia Lowassa.(Tv ya Lowassa) I'm sure wapambe wake wakiamka asubuhi watampa taarifa kuwa kabandikwa...
The metamorphosis of the ideas and positions of Mchungaji Kishoka has not occurred unnoticed. Of particular interest is the evolution from his stance on 'collective self-reliance' to...
Nasikia baada ya TANROADS Arusha kubomoa uzio wa wa hoteli ya Crest iliyofunguliwa na Raisi, ujenzi wa haraka umefanyika kwa gharama za walipa kodi. Yawezekana hata fidia imelipwa kinyemela - je...
Rushwa CCM yafika kwa watoto
na Mwandishi Wetu
TUHUMA za rushwa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake, sasa zimefikia pabaya baada ya kubainika kuwa baadhi ya watoto wa vigogo...
KAMATI ya Siasa ya Shura ya Maimamu jana ilizindua programu ya Elimu ya Uraia yenye lengo la kutekeleza kwa vitendo waraka wake kuhusu uchaguzi mkuu wa mwakani.
Programu hiyo inataja sifa za...
Hivi hawa
akina ringo tenga
na charles kimei.......
Hawapaswi kushitakiwa kwa lolote
kuhusu mchango wao kwenye ishu nzima
ya epa????
Sina kumbukumbu vizuri but nakumbuka
kwenye richmond au epa...
Nimeamka nikiwa na matumaini makubwa ya mwaka mpya na mojawapo ya mambo ambayo ka'nzi' kamenibrief ni mabadiliko ya ndani ambayo yametokea Idara yetu ya Usalama wa Taifa mabadiliko ambayo kama...
Ushirikina wamtisha katibu CCM
na Stella Ibengwe, Shinyanga
KATIBU Msaidizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Kishapu mkoani hapa, Alli Makoa nusura aachie wadhifa huo kutokana na...
Kwa vile serikali ya CCM imeamua mtindo wa kubinafsisha huduma muhimu tumeona hivi karibuni wakibinafsisha shughuli za usalama kwa Majembe Auction Mart na kwa muda mrefu wamebinafsisha hata...
Nyumba ya Gavana Ndulu iliyoibua utata
MASWALI YA LULA WA NDALI (RAIA MWEMA)
KULA MLE KUULIZA TUSIWAULIZE?
BENKI Kuu wanataka kula tena; wanataka kula bila kuulizwa na yeyote; wanataka kula...
Ningependa kuwauliza wabunge wa CCM na wana JF kwa ujumla mtazamo wao kama kweli wapo nyumba na spika wao Samweli Sita katika kutekeleza maamuzi mazito ya nchi au kutetea maslahi ya taifa hili kwa...