Wana JF, Huwa najiuliza, pamoja na mabaya yote aliofanya Rais mstaafu,Ndg BW Mkapa, lakini aliweze angalau kufufua uchumi(ambao ulikuwa kama umekufa vile- yaani nikaribia tungeifikia hali ya sasa...
Mbunge machachari wa jimbo ya Same Mashariki, Anne Kilango Malecela amekuwa kiongozi ambaye haoni haya kukosoa serikali ya chama chake inapokosea .... Ni kiongozi imara, shupavu, na atakuwa...
WASOMI WASEMA: Dk. Mwakyembe ni mpotoshaji
MWANDISHI WETU
Mbunge wa Jimbo la Kyela kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Harrison Mwakyembe, ametajwa kuwa ni miongoni mwa watu wapotoshaji...
VYAMA vya The Tanzania Democratic Alliance (Tadea) na United Peoples Democratic (UPDP), vimeeleza kushangazwa kwa kutochukuliwa hatua kwa viongozi wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, akiwamo...
Wakuu,
Kutokana hali halisi iliyopo nchini mwetu, natumaini wote tunakubaliana kuwa Rushwa ni tatizo kubwa sana nchini na kimsingi tatizo hili linastahili kuitwa JANGA LA KITAIFA.
Pamoja na...
Kumbukumbu zangu zinanionyesha kuwa mabalozi wetu katika nchi za kislamu huwa ni waislamu tu. Ingawa hakuna nchi inayojitambulisha kama nchi ya Kikristo, ila balozi wetu Italia huwa pia ni balozi...
Habari zinazoingia mida hii ni kuwa mwanachama mwenzetu Bw. Sanctus Mtsimbe ambaye ni rais wa TPN atakuwa kwenye kipindi cha "Kumepambazuka" kuanzia saa 12:30 za asubuhi leo hii (j'tatu) kwenye...
HALI ya maisha visiwani Zanzibar ni ngumu kwani gharama za maisha zimepanda baada ya kupanda kwa bei ya mafuta pamoja na kutokuwapo umeme.
Zanzibar imekumbwa na tatizo la umeme baada ya njia...
Wana JF
Kwa habari nilizozipata hivi punde ni kuwa Operesheni Sangara ya CHADEMA iko Lushoto tangu jana na Dk Slaa atakuwa katika kata kadhaa za wilya ya Lushoto ikiwemo katika kijiji cha Makamba...
Revealed: Details of the new Mining Act
By Staff writer
20th December 2009
Email
Print
Comments
Abolition of 100 percent foreign ownership
Recommends 50-50 ownership in...
Sisi wakazi wa Arusha tumeona pa kukimbilia ni JF kwa kuwa si PCCB wala Ofisi ya DPP inaweza kutusikiliza kirahisi . Kwa kuwa tuna amini JF ni mrwisho wa maelezo leo tunaweka swali hili kwa DPP...
Kumfananisha Marehemu na dhahabu iliyopandwa? Sipati maana? navyojua mimi dhahabu hununuliwa, hutumika kwa urembo baada ya kuchimbwa kufinyangwafinyangwa kutengenezwa katika maumbo anayopenda...
The Pundit, or Bluray to be precise, has raised an important question about the importance of being precise. Could this be the precise problem that is inhibiting Tanzania and Tanzanians from...
Wana JF, Huwa najiuliza kila siku jinsi serekali inavyo poteze mapato yake ya kila siku lakini, Lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa kudhibiti hili. Kilicho nisukuma kuandika hapa,ni wito...
Wakuu,
Lini hasa tutawaweka KITIMOTO Mawaziri wetu ili watueleze wanaifanyia nini nchi yetu na tutegemee nini zaidi toka kwao. Utaratibu wa kila wiki kwa Mawaziri angalau wawili kuongea na...
Wana JF naomba kuuliza;
-Malengo/shabaha za semina elekezi kwa watumishi wa serikali kule Ngurdoto zilikuwa nini?
-Mpaka sasa tunaweza kufanya tathmini yoyote kupima kama malengo hayo...
Lile eneo la Ukonga Banana ambalo mwana-ubalozi wa Canada alimtemea trafiki mate lilianza kutengenezwa tangu Ijumaa (11.12.2009), siku moja tu baaba ya tukio. Sijui ni kwa sababu ya tukio hilo au...
Kumekuwaa na hoja mbali mbali za kumshtaki, kumwondolea kinga Raisi mstaafu mkapa kuanzia kwenye magazeti, bunge, mpaka ndani ya JF.
Je ni makosa gani ambayoo utawala wa Mkapa ulifanya kwa sasa...