KASHFA KAMPUNI YA RELI: WATANZANIA NDIO WAKUOMBWA RADHI
Taarifa inatolewa kwa umma kupitia kwa vyombo vya habari na Kurugenzi ya Mambo ya Nje na Mahusiano ya Kimataifa ya CHADEMA kufuatia kauli...
Makamba katamka Kikwete ni Mtaji wa CCM, ni CCM ipi Makamba anaizungumzia?
Je ni nani mmiliki wa CCM aliyetupa Mtaji Kikwete na ni nani mvuna Faida ya Mtaji Kikwete?
Je ni Mafisadi ambao ndio...
na Edward Kinabo na Janet Josiah
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa Rais Jakaya Kikwete ameshiriki moja kwa moja kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na...
Hakika , hakika, CCM ni vicheko na ndelemo, kile walichotegemea sasa chatimia, walijua kuwa upinzania nguvu yao ni ndogo ni kelele za chura.
Ni kweli wapinzani walifanikiwa kuwashika pabaya ila...
Ndugu zangu wana Jf nachukua fursa kumkaribisha mama yetu hapa Tarime kwani nimeona anaweza kufanya kila kinachowezekana kulitwaa jimbo hili mikononi mwa CHADEMA.
Nimeamua kulisema hili kwani...
Gold keeps on surging, hits new high of $1,118
By SARA LEPRO, AP Business Writer Sara Lepro, Ap Business Writer – Wed Nov 11, 1:19 pm ET
NEW YORK – The price of gold surged to a...
Baada ya Kafulila kuondoka chamani kwenda kwenye NCCR Mageuzi ambayo Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe aliwahi kukitaja humu kwamba kilipewa fedha za EPA kuhujumu...
Hivi majuzi nilikwenda kuomba kazi katika gazeti moja jipya ambalo ofisi zake ziko kwenye ghrofa linalomilikiwa kwa sasa na NSSF.
Karibu kila korido ilikuwa na harufu mbaya na kali ya kinyesi...
well...its December na hili zoezi la kukusanya data za watu kupitia namba za simu linanifanya nijisikie un ease kwa sababu serikali yetu haiwezi kuaminiwa kwa not only data zaetu lakini ni...
Dubai economic crisis due to heavy investment from external finance to elephant projects.
Riots in Geneva protesting against capitalism, WTO and free market economy (aka Utandawazi, Uwekezaji...
MBUNGE wa Kyela, Dk. Harrison Mwakyembe (CCM), ametaka kuitishwa kwa mdahalo wa wazi wa saa tatu katika kituo chochote cha televisheni kati ya wajumbe wa iliyokuwa Kamati Teule ya Bunge...
Waziri wa Mkapa amshukia Kikwete ataka CCM imtose 2010
ATAKA CCM IMTOSE 2010 KAMA HAWEZI KUFANYA MAAMUZI MAZITO
Ramadhan Semtawa
WAZIRI wa zamani katika serikali ya awamu ya tatu, Matheo...
Ndugu zangu
Nimeona habari hii katika Gazeti la Raia Mwema nikaona niwajuze.
RugemelezaMwalimu Nyerere wamlipua Kikwete
Mwandishi Wetu
Disemba 2, 2009
Siri za uteuzi wa mgombea urais CCM...
Ni haki kwa wananchi kujiridhisha kama rais anaipenda nchi yetu. Kuna mambo kadhaa ambayo rais anawezapimwa kama anaipenda nchi yake. Hili suala la Mh. Rais Kikwete kufanya safari nyingi nje ya...
Kongamano la Nyerere latamka 'utajiri wa viongozi unatishia amani'*MITANDAO YA KISIASA YATAJWA PIA KAMA KITISHO NA CHANZO CHA KUCHAFUANA
Na Ramadhan Semtawa
VIONGOZI wa dini na taasisi...
Nimelikumbuka jambo moja ambalo niliwaahidi watanzania wenzangu wakati natafuta funguo za Ikulu! Ama kwa hakika watanzania wanadanganyika kirahisi sana. Nilijifanya nitashughulikia kwa nguvu zangu...
Kutokana na ukweli kuwa hali ya amani na majirani zeu inazidi kuimarika, kuna haja kama nchi kuliwezesha Jeshi letu na kulipa Jukumu rasmi la Kuzalisha chakula cha kutosha kwa ajili ya taifa hili...
Absalom Kibanda
RAIS Jakaya Kikwete ametangaza rasmi azma yake ya kugombea urais kwa muhula wa pili mwakani, huku akitangaza kaulimbiu mpya anayokusudia kuingia nayo katika mapambano hayo...
Watangazaji wa Clouds Fm, Kibonde na Gadner wamemshukia mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CHADEMA John Mnyika na kueleza kwamba anachanganya mambo. Wanahabari hao waliyasema hayo katika kipindi cha...
Na Salim Said
KAMPENI za kuwania Ubunge Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam zimeanza kwa kasi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Shamsa Mwangunga...