Hivi kambi ya upinzani imekumbwa na nini? maana viongozi wanaotegemewa kuipeleka puta CCM mwakani katika kinyanganyilo cha urais, wote wanatarajiwa kugombea ubunge.
Viongozi hao ni mwenyekiti wa...
jamni wana JF tubadilishane mawazo, nnimeona kama vyuo vikuu 2 specifically SUA na Mzumbe kufundishwa na Proffessors wazee kabisa hadi wanatia huruma darasani wakati vijana waliograduate na...
GT, baada ya kuirejea sinema ya Malcom X, ametukumbusha hii dhana ya Field Negro na House Negro. Hii ni moja ya dhana ambazo zinaelezea tatizo la Miafrika Ndivyo Ilivyo. Mwaka jana katika Tamasha...
Imefikia hatua Tanzania yetu nchi yenye mali nyingi na vivutio vya kitalii inaitwa shamba la bibi, cha kujiuliza kweli tumeamua kuiita hivyo? je unavyoimba wimbo wetu wa Tanzania Tanzania...
Habari wana jamii!
Mimi ninataka kupata maoni ya wadau kuhusu report ya UN kuihusisha Tanzania na upitishaji wa silaha kwenda DRC, nimeiosma ile document kwa makini sana, kwa maoni yangu...
Tanzanias donor-led experiment is going woefully wrong
Written by Ghalib Jafferji
Monday, 30 November 2009 09:56
In the Know features an interview, opinion or analysis from the people...
nimesoma habari kwamba tanzania itapeleka watu zaidi ya 60 kule copenhagen kuhudhuria mkutano wa kupunguza joto duniani.na ukiangalia nchi kama kenya,south africa na china zitapeleka watu si zaidi...
swali tangazo la hii tenda lilitolewa lini na SUMATRA na je mbona hatujaambiwa kama sheria za PPRA zilifuatwa na mchakato uliofanywa uliwapitisha akina nani mpaka akapatikana huyu Majembe...
Wazalendo wa Tanzania Asalam Aleikum;
Ni vema nikapenda kujua ili nami niwe moja ya watanzania wanao jua hawa jamaa wanafanya nini na zipi shughuli zao maalum kabla ya hii.
Leo nimeona wengi...
Kinda weird nilipokuwa nasoma high school mzee anipa Autobiography yake niisome eventually jamaa wakaanza kunipachija jina
I think i was kinda rebellious in my own way...na kuwa na urafiki na...
Racial And Religious Tolerance in Nyerere's Political Thought And Practice
Salma Maoulidi, allafrica.com; Pambazuka News, Fahamu, Oxford, UK
16 October 2009
Salma Maoulidi unpacks Nyerere's...
Mara baada ya mazungumzo ya Seif na Karume, tuliambiwa walichoongea ni siri. Sasa, hapa inakuwa vipi Seif ameanza kujiachia hewani?
Source: www.mwanachi.co.tz
"SIRI zaidi za mkutano wa rais wa...
Territory of Microphone Holders
I'm quite interested in how politicians express themselves, how the media quote them and why the journalists refrain from asking them complex questions...
THE government has demanded an immediate apology from the United Nations, following publication of a report that implicates Tanzania with illegal arms supply to rebels operating in the Eastern...
JF naona mmekuwa bize na party politics mpaka siku hizi haijulikani what we stand for anymore
Iko wapi JF ambayo ilikuwa haiishi kupata scoops kila kukicha on issues kama hizi?
We need the...
Imeandikwa na Na Joseph Lugendo;
Tarehe: 28th November 2009
TANZANIA imeweka rekodi ya aina yake barani Afrika kwa kuibuka nchi pekee yenye wananchi wenye mapenzi makubwa kwa taifa lao kuliko...
A new Richmond is coming...
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
CERTAIN businessmen-cum-politicians implicated in the infamous Richmond deal are now chasing up two brand-new contracts worth more than...
Kumezuka tabia ya bloggers wa kitanzania kuendeleza kejeli kwa Rais Kikwete kwa kutumia lugha kali kali ambazo pia zinaleta uchochezi. Kati ya Bloggers washabikia tabia hii yupo Utakapojua Hujui...
Ndg zangu wana JF, ninaishi Mwanza, na ni mzaliwa wa mkoa wa Rukwa. Nimesoma thread inayohusu Mrema na Kimaro kule Vunjo; malumbano yao yameibua kitu ndani mwangu, kile nilichokuwa nikikitamani...
JUMA lililopita nilipigiwa simu nyingi sana na wasomaji wa safu hii, hoja kubwa ikiwa walihitaji kupata maoni yangu kuhusu kile kilichokuwa kinaendelea ndani ya CHADEMA kufikia David Kafulila na...