Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Hivi karibuni JK alifanya mkutano 'live' na nchi nzima kupitia TV ya taifa ambapo alijibu swali moja au mawili tu katika mengi aliyoomba wananchi wamwulize. Alidai kwamba angefanya mikutano ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna tendecy tangu Nyerere,wanajeshi wastaafu wanapewa ukuu wa Mikoa/Wilaya.Inakuwa ni kama sehemu ya kuretire na kula taxpayers money for nothing.Kazi zao ni kutoa hotuba,kuhudhuria sherehe na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tanzania haki iko wapi? Tutaiendekeza CCM mpaka lini? Najumuika Ulingoni kuwaonyesha link yenye video ya yaliyotokea mwaka 1996 huko Bulyanhulu wakati wananchi walivyoondelewa kwa nguvu bila...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Kume kuwepo na matukio mbalimbali ya baadhi ya misafara ya viongozi kuzuiliwa na wananchi huku wakiwa wamebeba mabango yenye jumbe toufautitofauti, wakilazimasha viongozi hao wazungumze nao juu ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
2009-11-24 07:54:00 Tanesco broke law in Sh3.6bn tender award By Bernard James THE CITIZEN Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) flouted public procurement rules in awarding a Sh3.6...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
By OLIVER MATHENGEPosted Tuesday, November 24 2009 at 22:00 Someone fresh from secondary school can now legally run for presidency under the proposed constitution as long as he/she has attained...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tujadili hii article juzi hapa kulikuwa na mjadala juu ya gazeti la Mtanzania likidai Wamassai wamechoka kuonewa ati wanatawaliwa na watu wasio Wamassai yaani likiwalenga Wachagga (indirectly) kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Inaelekea shirika linaongozwa saa hivi kisiasa zaidi bila shirika kufanya vyema mambo yake ambalo kwanza ndilo linakopata kula yake. PENGINE viongozi wa NSSF hawana habari na kinachoendelea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tujadili hii article juzi hapa kulikuwa na mjadala juu ya gazeti la Mtanzania likidai Wamassai wamechoka kuonewa ati wanatawaliwa na watu wasio Wamassai yaani likiwalenga Wachagga (indirectly) kwa...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT), Sophia Simba ambaye alilipua mabomu yaliyochafua hali ya hewa kwenye kikao cha Kamati ya Mwinyi na wabunge, sasa amehamishia makombora hayo ndani ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
MBUNGE wa Igunga, Rostam Aziz (CCM) ameeleza kusikitishwa na kushtushwa na hatua ya kundi la wabunge kupinga hatua yake ya kutaka tume huru au majaji kufanya uchunguzi upya kuhusu sakata la...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
MSAFARA wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ulisimamishwa njiani baada ya wakazi wa kijiji cha Mkunya wilayani Newala, Mtwara, kuziba njia wakiwa na mabango wakitaka waziri huyo asimame asiendelee na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mkurugenzi Takukuru apigachenga waandishiNa Ramadhan Semtawa MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah, jana aliwazidi ujanja waandishi wa habari...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni zaidi ya Miezi 10 sasa hakuna kinachofanyika katika kiwanda cha Nyama tangu apatikane mwekezaji, kupitia ubia wa mwekezaji huyo na Mbunge wa Meatu, Salum Khamis, maarufu kama Salum Mbuzi...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Mafisadi wameamua kutafuta mgaga Nchini Nigeria ili kuwafanya mazezeta wale wanaopambana na ufisadi Source: Sema usikike
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kuna tetesi kwamba EABL (Kenya) wanatamani sana kuinunua Serengeti, ambayo imneweza kutoa ushindani mzuri sana kwa TBL pamoja na kwamba ina brand moja tu ambayo ni popular. Kuna tetesi pia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Na Hemed Kivuyo, Arusha MUASISI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Edwin Mtei amesema kuwa endapo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe hatagombea urais mwaka 2010 basi chama...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Rais Amani Abeid Karume leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano mkubwa ulionadaliwa na chama hicho kwa lengo kuelezea mazungumzo ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi karibuni kumetokea mtafaruku mkubwa kati ya Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi na spika Sitta na uendeshaji wake wa Bunge. Lakini pia tumemsikia Kafulila akitupa dongo kwa CHADEMA kwa kuikosoa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
No more power rationing - TANESCO By ThisDay Reporter 21st November 2009 TANZANIA Electric Supply Company, TANESCO, has declared that there will be no more power rationing following...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…