For the second time since Sarah Palin stepped into the national political spotlight, a photo of the former Republican vice-presidential candidate featured on the cover of Newsweek magazine is...
Hivi kweli Rais Kikwete anaamini tatizo la baraza lake la Mawaziri ni Umri? Kwamba akiweka vijana zaidi ndio ametatua tatizo la uongozi? Nchi gani duniani inaongozwa na viongozi vijana na...
11/16/2009
Na Sadick Mtulya
MMILIKI wa taasisi ya Mo Ibrahim amesema matatizo yote yanayoikumba nchi za bara la Afrika, ikiwemo vita, njaa na magonjwa, yanatokana na viongozi wake kutokuwa...
Inspekta wa polisi auawa kwa kudhaniwa mwiziNa Suzy Butondo, Shinyanga
INSPEKTA mkaguzi wa polisi, George Libenti, 36, ameshambuliwa kwa kipigo na wananchi wenye hasira kali kwa kudhaniwa kuwa...
Na Hemed Kivuyo,Arusha
MUASISI na mwenyekiti wa kwanza wa Chadema, Edwin Mtei amesema kuwa kama waziri mkuu wa zamani, marehemu Edward Sokoine angekuwepo na kuona hali ilivyo ndani ya CCM na...
*Siasa zisizo na tija zaharibu haiba ya nchi
*Misuguano ya chama tawala yazua hofu
*Udhaifu wa wapinzani waacha ombwe
*Mdudu CHADEMA mkono wa kigogo?
*Halmashauri Kuu yasubiriwa kukata ngebe...
EAST African Community (EAC) Secretariat has advised political parties in the region to begin forming mergers or coalitions in preparation for the ultimate goal of achieving political Federation...
Adai Kikwete alikabidhiwa mapema ripoti ya Richmond
Asema kama kumuokoa ni yeye aliyepaswa kufanya hivyo
Na Saed Kubenea
MwanaHALISI
JUHUDI za mbunge wa Monduli, Edward Lowassa na...
Ndugu zangu kuna jambo linanitatiza kidogo, nimemuona mkuu wa Kaya over the week end mitaa ya mlimani city ambako pamoja na mambo mengine naambiwa kulikuwa na show ya wanamuziki fulani wa kutoka...
Kumekuwepo na maoni tofauti sana kuhusu safari za nje ya nchi za maraisi wetu (wakati ule Mkapa na sasa Kikwete). Safari hizi zimekuwa zikisemwa kuwa ni muhimu kwani zina tija kwa Taifa. Nimekuwa...
- According to the dataz, kelele za Dr. Salim hivi karibuni hazikuwa za bure, behind it kuna mkakati wa siri unaosukwa na baadhi ya vigogo wa CCM na serikali kumpa u-Rais wa Zanzibar, na the...
Najua kila moja atakuwa na mawazo yake ,,kwanza napenda kuchukua nafasi hii kumpa pole/kuwapa pole mh A.k.malecela na wana same kwa ujumla kwa haya yaliotokea....tunajua watanzania wote...
Makamba amuomba Mengi msamaha kuhusu uanachama wake
kuna habari nimezipata hivi punde makamba amuomba mengi msamaha kuhusu tuhuma alizopata za uanachama wake na amesema mzee mengi ni mwanachama...
(Makala, dua, nakala, wazo, njozi, au kauli hizi za usiku zaweza kutumiwa na gazeti lolote au chombo chochote na kusambazwa kwa namna yoyote ile kwa mtu yeyote yule bila ya kubadili jina la Mtunzi...
Jambo!
Kwa kitambo sasa kuna jambo lilikuwa likinitatiza kati ya haya maneno mawili. Kwa Watanganyika walio wengi ni neno gani haswa lampasa kuwa kingamo kwa maisha yake.
Kwetu sisi Watanganyika...
Viongozi wetu wanapigania sana kitu wanachoita HADHI yao. Wako wanaokataa kuishi nyumba za serikali na badala yake wanapangisha za milioni hata 10 kwa ajili ya HADHI yao. Magari ya viongozi...