Ukiangalia nchi za watu......hasa marekani
utakuta watu wanaoandika vitabu mbbalimbali pamoja na
vitabu vya maisha ya watu maarufu,viongozi na wengineo
utakuta wengi wa wandishi hao ni waandishi...
Kundi la magaidi wa Somalia la Alshabab limetishia kupiga Bujumbura na Kampala.Kundi hili ni tawi la Alkaida la Osama Bin Laden.Makundi yote haya huamini utumiaji wa njia haramu ili kuweka...
Nina kumbukumbu kuwa waziri mkuu alionyesha uwezekano wa viongozi wa ngazi za juu serikalini kupunguza matumizi ya magari ya kifahari. Nazidi kujiuliza ni nani hasa anayeweza kutoa amri hiyo na...
* Asema wamehojiwa bila kufuata taratibu, kanuni
* Shellukindo akiri kuhojiwa, ahusisha na Richmond
* TAKUKURU: Tuko sahihi, hakuna aliye juu ya sheria
Na Edmund Mihale
Majira
26 October 2009...
Kama ungelikua ni mwenyekiti wa chama chochote cha upinzani na unadai kama una wawakilisha au unapigania haki za wanyonge (walalahoi) walio wengi tanzania, na chama chako kikafanikiwa kupata...
Baada ya kusoma post nyingi na kufuatilia kasumba la Umeme Tanzania, Hitimisho limekuwa simple: CCM IMETUPIGA CHANGA LA MACHO. Lakini cha kufurahisha zaidi ni kwamba hii haikuwa mara ya kwanza...
Tanzania imeshatawaliwa na marais wanne tofauti, maarufu kwa jina la awamu nne. Akianza J.K. Nyerere, Alhaji Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Che Mkapa na J.K. Mrisho.
Kwanza, kabla sijaendelea...
22nd October 2009
Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete
Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete, amejikuta akikumbana na mauzauza ya aina yake katika ziara yake ndani ya wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro...
*Selelii, Kimaro wataka afikishwe kortini
*Walaumu serikali kwa kutoa majibu ya ovyo
*Lowassa: Sizungumzi na vyombo vya habari
Waandishi Wetu, Dar, Dodoma
Majira
26 October 2009
WAKATI...
Na Waandishi Wetu, Mwanachi Gazeti
MATOKEO ya awali ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika juzi nchini kote, yanaonyesha kuwa vyama vya upinzani vimeanza kupata nguvu kubwa baada ya...
BUTU BUTUA
Nilisoma insha ya Rev. Kishoka inayokwenda kwa jina la AJIZI YA KIBUGE. Nimekuwa naipitia mara kwa mara ili kujua mtunzi au mwandishi alikuwa analenga msomaji wake apate maudhui gani...
Hivi hili neno miundombinu maana yake hasa ni nini?????
Kila mara ukisikia viongozi wetu wakizungumzia miundombinu
utakuta wanazungumzia barabara.....
Sasa mpaka watu wa kawaida wameshazoea kuwa...
Wakuu tupeane updates
Mie nimetoka kupiga kura lakini,nimeshindwa utaratibu ni mbaya kupita kiasi.
Oroadha ya majina ya wapiga kura ambayo ilibandikwa jana imelowa yote na mvua ya jana-mpaka sasa...
MAJI ya Mto Tighite ambayo yanalalamikiwa na wananchi wa Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara, yamethibitika kuwa hayafai kwa matumizi ya binadamu kwa kuwa yana sumu inayoua pole pole viumbe hai...
Hakuna chaguzi ngumu kwa vyama vya upinzani kushinda kama hizi za mitaa. Hata hivyo, katika hali inayoonesha mwanga mpya, majimbo matatu ya mkoa wa Kigoma yanaonesha kukubalimabadiliko ya kweli na...
Date::10/26/2009'Huu si wakati wa kubeza Kilimo Kwanza'Na Mwandishi Wetu
MWENYEKITI wa Mtandao wa Wadau wa Kilimo wa Asasi za Kiraia (Ansaf), James Davey amesema huu si wakati muafaka wa kuanza...
DASSU STEPHEN, 26th October 2009 @ 12:34,
Daily News
There are 168.8 million Africans in the Diaspora,
JK: Help Africans out of poverty
AFRICANS in the Diaspora should help governments on...
Kila mara naisikia sauti ya Nyani Ngabu Julius ikisema Miafrika Ndivyo Tulivyo. Kisha kwa mbali Bob Mkandara hunguruma watu na mazingira. Kisha FMES humalizia kwa kusema viongozi wetu ni image...