Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

๐—จ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ž๐—ฎ๐˜‚๐—น๐—ถ ๐— ๐—ฏ๐—ถ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—–๐—–๐—  ๐˜†๐—ฎ ๐—จ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ด๐˜‚๐˜‡๐—ถ ๐— ๐—ธ๐˜‚๐˜‚ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ: "๐—ž๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—จ๐˜๐˜‚, ๐—ง๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐— ๐—ฏ๐—ฒ๐—น๐—ฒ" ๐—ก๐—ฎ. ๐—๐˜‚๐—บ๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ, ๐—ง๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐˜๐˜‚ - ๐—จ๐—ป๐—ด๐˜‚๐—ท๐—ฎ Kauli mbiu hii ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025...
2 Reactions
23 Replies
528 Views
Kauli zinazoendelea kutolewa na viongozi wa chadema waliopo madarakani kwa sasa ni kana kwamba waligombea ili kumkomoa freeman mbowe kisiasa ,waliingia kwenye kinyang'anyiro kwa visasi na si...
4 Reactions
33 Replies
617 Views
Wakuu, Serikali kupitia Waziri wa Afya nchini imetangaza kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Marburg katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera. Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa...
2 Reactions
19 Replies
286 Views
Makamanda ni watu wa matukio sana, kila linapotokea jambo huwa wanashadadia sana. Hivi sasa wamesahau hata kama wana mgonjwa kule Ulaya, wamesahau kama Halima Mdee na Lema pia wana kesi kama ya...
11 Reactions
77 Replies
6K Views
  • Redirect
Angolan immigration authorities are holding up and denying entry into Angola for me and a delegation of more than twenty senior leaders and representatives of political parties from across...
0 Reactions
Replies
Views
Wanabodi, Leo asubuhi nimeangalia kipindi cha mahojiano ya Makamo wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzia Siku ya Wanawake Duniani kwenye TBC akihojiwa na Shabani Kissu. Kwa Waliosikiliza...
40 Reactions
179 Replies
18K Views
Tuliambiwa Mabasi ya Mwendokasi kwa ruti ya Mbagala kuanza March 2025, Vipi huko njiani Mnayaona? Kwa yeyote aliyeyaona mabasi hayo yakisafirisha abiria kutoka Mbagala kuja Mjini atuambie ili...
6 Reactions
39 Replies
548 Views
Wakati Tume ya Huru ya Uchaguzi nchini (INEC) ikiendelea na uandikishaji wa daftari la kudumu la wapigakura katika mikoa mbalimbali, vijana wametakiwa kuwa mstari wa mbele kujiandikisha ili wapate...
1 Reactions
8 Replies
128 Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Chitete wilayani Ileje, mkoani Songwe, Harison Mwampashi (62) amefariki dunia baada ya kudaiwa kuuawa na watu wasiojulikana...
2 Reactions
16 Replies
416 Views
Rais Samia anaendelea kuacha alama za Uongozi Bora na wenye faida Kwa watu wake . Mashuhuda wa hili ni wakulima wa Korosho ambao Kwa miaka Mingi wamekuwa wakitaabika na Kilimo Cha Korosho lakini...
1 Reactions
21 Replies
484 Views
Wapigania uhuru wa waafrika wanaitwa Simba wa Afrika walikuwa matapeli wakubwa wazee wale. Nasema waafrika tulikurupuka kudai uhuru hatukuwa na mipango wala nia yoyote ile ya kudai uhuru ni kama...
8 Reactions
33 Replies
496 Views
My Take Ujumbe uwafikie,kazi na Utu tunasonga mbele na Samia ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ https://x.com/MwanaHabariNews/status/1900117968165466240?t=2zG-dRt2dsIch-RiF7kLpA&s=19
1 Reactions
65 Replies
888 Views
Wakuu, Baada ya kupita Mkutano Mkuu wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Victoria Ezekia Wenje amekuwa sio wa kuonekana kwenye matukio ya chama jambo ambalo...
9 Reactions
46 Replies
2K Views
Kutoka kwenye jarida hilo Wanasema kuwa Afrika kutoendelea ni sababu ya viongozi kutokuwa na uwezo mkubwa wa kiakili ilihali wamelalia rasilimali lukuki. Jarida linasema wapigania uhuru wengi...
3 Reactions
8 Replies
616 Views
SIMBACHAWENE NA MKENDA WAKUTANA NA VIONGOZI WA NETO Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amesema Serikali itaunda timu ya...
0 Reactions
0 Replies
55 Views
  • Redirect
โœณ๏ธ UNAELEWA NINI UKISIKIA KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE? Tazama na Sikiliza video hii tukikuletea uchambuzi wa Kauli Mbiu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025...
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu Tunajua msimamo wa Chama upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hawatashiriki uchaguzi, huyu Mapunda imekuaje ametangaza nia wakati wenzake wanapaza sauti ya No Reform, No...
4 Reactions
15 Replies
312 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu ameeleza kutambua maumivu ya walioshindwa uchaguzi ndani ya chama hicho na kutaja mikakati ya kutibu majeraha yaliyotokana na...
4 Reactions
24 Replies
856 Views
Wakuu, NETO walikuja na moto baada ya kuicharukia serikali kuhusu ajira za walimu na suala zima la wao kufanyiwa usaili. Jambo hili lilipokelewa vibaya na serikali ambako viongozi wao wa juu...
1 Reactions
1 Replies
113 Views
Kama kuna kijana wa hovyo na asiye na fadhila hata kidogo aliyetoka Upinzani na anafanya kila juhudi kuumaliza Upinzani huo ambao ndio umemkuzร  na kumlea na kumfanya awe alivyo leo ni huyu...
7 Reactions
63 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ