Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wengi wamepongeza baadhi kuhoji na kubeza uamuzi wa Zitto kugombea. Na badae wamebeza uamuzi wa Zitto kujitoa sambamba na kushangazwa na ushauri wa kamati ya wazee waliomshauri Zitto ajitoe katika...
0 Reactions
218 Replies
20K Views
Date: 9/7/2009 Mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini-Mashariki, Samir Lotto, akiwa chini ya ulinzi wa polisi kwa tuhuma za kufanya shambulio kwa mfanyakazi wa mamlaka ya Maji mjini Morogoro...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Hello Wakulu, Mi ni mgeni humu jamvini.Naomba ukaribisho. Sasa kuna mpango wa kuanzisha Umoja wa vijana wenye mlengo wa Transformational state.Yaani umoja wa vijana utakao ibadilisha nchi katika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Pengo: Nchi imeoza Tuesday, 08 September 2009 17:16 *Asema kamwe kanisa halitakubali kunyamaza *Asema watapambana na ufisadi hadi mwisho *Aapa kupambana na yeyote anayetetea uovu *Katoliki...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
soma 27 mountain view africa's highest mountain lies in Tanzania but the best view is from Kenya... je ya kweli haya..... wizara yetu ya utalii inautangaza vipi huu mlima???
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Assimilado Zakumi, Evolue Ngabu, Civilado Mkandara na wadau wengine wa historia ya 'Miafrika ndivyo Tulivyo' karibuni kwenye mjadala mpana wa historia ndefu ('long duree') ya siasa uchumi ya...
1 Reactions
52 Replies
7K Views
Wadau JF hebu pitia habari hii toka bbc,je sisi kama watanzania tunafikiria nini au unapata picture gani..je hao wasio watanzania wanapata picture gani?! Mana mtu anaona bora aende Somalia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
STAILI ya ujenzi wa barabara ya Mandela katika kipande kati ya Buguruni na Ubungo kinatutia wananchi hofu kwamba huenda wajenzi hao wanafanya makusudi ili tuteseke bila sababu ya kuridhisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CCM yapoteza imani na polisi kisiwani Pemba Salma Said, Zanzibar CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa hakina imani na askari wa Jeshi la Polisi Kisiwani Pemba kikidai kuwa idadi kubwa ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
• Mfumo wa kuchangisha fedha kwa SMS wazua mjadala MKAKATI mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa kuanzisha mfumo wa kiteknolojia kuchangisha fedha na kusajili wanachama...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wadai hauna nafasi katika jamiii ya Watanzania Wataka Pengo achunguzwe akibainika anachochea vurugu achukuliwe hatua VYAMA viwili vya siasa nchini TADEA na UPDP vimepinga vikali waraka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
katuni za wiki katuni za wiki
0 Reactions
0 Replies
1K Views
September 04 2009 Let me make something clear from the start of this piece: I like Europe and Europeans. I like the idea of having closer ties to the continent. I think the Channel Tunnel's a...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Date::9/7/2009CCM yapoteza imani na polisi kisiwani Pemba Salma Said, Zanzibar CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa hakina imani na askari wa Jeshi la Polisi Kisiwani Pemba kikidai kuwa idadi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Date::9/7/2009Spika Sitta: Msichague mafisadi 2010 *AONYA NI WATU HATARI WANAWEZA HATA KUUA Na Ramadhan Semtawa SPIKA wa Bunge Samuel Sitta, ameibuka kwa kasi mpya akionya wananchi wasifanye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CCM HOVYOHOVYO, UPINZANI HOHEHAHE, TANZANIA SHAGHALABAGHALA... nini hatima ya nchi hii kwa mwendo huu jamani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimefuatilia kwa makini hii sakata ya kutoa waraka (Nyaraka) na taasisi za kidini, na hapo hapo hapo wanasiasa wapinga jambo hilo, matokeo yake malumbano yanaanza. Hivi kati ya; 1.Taasisi za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika kile kinachoelezewa kama umbu umbu na kutoona mbali kwa viongozi wa SMZ,imegundulika kuwa ni wao waliochangia hatua ya Marekani kuwakataza raia wake kutembelea Pemba kwa kile kilichoelezwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mojawapo ya matatizo ya kisiasa nchini kwetu ni kufanya vyama vya saisa kama sehemeu ya kupatia ajira ya kudumu au mradi wa ukoo fulani. Kwa mfano, tangu nimeisikia CUF katika nyanja za siasa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Viongozi wakuu wa nchi sasa kuzikwa Dodoma *wamo Rais,Makamu, Spika, Waziri Mkuu, Jaji MKuu Na Habel Chidawali, Dodoma VIONGOZI wa juu serikali akiwamo Rais, Makamu, waziri mkuu sasa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…