Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Lets face it, alipoanza ma SNOBS wengi walianza ohhh mbona hayuko modern mara ohhh mbona sijui nini lakini as time goes by naona WAMA wanafanya kazi nzuri zaidi kuliko ile ya mama Mkapa Huyu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Makamba atwishwa kuwalinda mafisadi Mwandishi Wetu Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo Agosti 12, 2009 Ushahidi uliommaliza waanikwa Ni mpasuko wa madiwani wa Kinondoni USHAHIDI...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
THE other day, a friend from my own generation remarked: ‘Look here: what we are seeing here as the emergence of ‘mafisadi’ (a lootocracy) is just a tempest in a tea cup. Even bigger looting is on...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
nimeona niwaulize wana Jf kweli viongozi wameamua kupunguza gharama za matumizi ya magari yao (mashangingi) kwa dhatia (kuionea huruma nchi) au ni geresha tu kuelekea uchaguzi mkuu? Then...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Imeandikwa na Basil Msongo; Tarehe: 27th July 2009 Mbunge wa Kyela, Dk Harrison Mwakyembe ameitaka Serikali iufunge mara moja mgodi wa dhahabu wa North Mara ili sumu inayodaiwa kutoka hapo...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Kama ulikuwa bado unaburuzwa na vyama vingine visivyo na msimamo basi hujachelewa ,Hapa Tanzania kipo Chama kimoja tu ambacho ndicho Chama ambacho kila Mtanzania anatakiwa ajiunge nacho na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
George Mwakalinga mwana Kyela aliyekuwa anaishi na kufanya kazi kama mtaalaum wa kompyuta nchini UK amewasili Kyela majuzi na tayari ametangaza kuwania ubunge wa wilaya ya Kyela ndani ya CCM...
0 Reactions
1K Replies
70K Views
Ni maneno, malalamiko, manung'uniko, shutuma tu kila kukicha kulikoni? Tanzania haijawahi kupungukiwa na taasisi za kupambana na Rushwa. Wakati wa uhuru, Tanzania ilirithi Sheria ya wakoloni ya...
0 Reactions
96 Replies
9K Views
well...just when you thought you heard it all...sasa UFISADI UMEINGIA HALMASHAURI YA MULEBA source yangu ni jarida la cheche lililotoka leo mwenye zaidi alete
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakati najiandaa kuja nyumbani na kuelekea jimboni kwangu Masasi kwenda kutangaza azma yangu ya kusimama uso kwa uso na mbunge wa sasa hapo mwakani, ilinilazimu kwanza nipitie kitengo cha afya cha...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ni Wakati Tume ya Uchaguzi ya Taifa ifikirie kutumia electronic voting. Isisubiri hadi watu wachinjane. Hebu soma:- "Kenya may adopt an electronic voting system by 2012 should stakeholders and...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa kuangalia umaarufu wa viongozi wa kisiasa, utafiti huo uliofanywa nchi nzima ukiwashirikisha watu 2,000, unaonyesha kuwa Rais Jakaya Kikwete anaongoza kwa asilimia 66 akifuatiwa kwa mbali na...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
(Note: Kwa kweli nilitaka kuandika "huu sasa uhuni"! Kiwanda cha jeshi Nyumbu sasa kitaunda matrekta madogo Mwandishi Maalum, Kiteto WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema serikali imeamua...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kama kuna kitu kinachonifanya nijiulize maswali mengi kichwani ni wagombea viti vya uraisi vyama vya upinzani. Toka mwaka 1995 wanaogombea ngazi ya uraisi wengi ni wale wale! Hii inaleta picha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanaharakati wapinga kauli za wabunge kuhusu JK Rais Jakaya Kikwete Wanaharakati wa Haki za Binadamu, Elimu na Mazingira (Thren), wamepinga baadhi ya kauli zilizotolewa na wabunge kwa kumtaka...
0 Reactions
66 Replies
8K Views
Malecela ahofia CCM kuwa katika hali ngumu 2010 *ASEMA WABUNGE WENGI WATABWAGWA Jackson Odoyo na Neema Rugemalira MAKAMU Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, John Samuel Malecela amekitabiria chama...
0 Reactions
82 Replies
10K Views
Hivi hawa strategists wa CCM wana akili kweli? How can they release this info wakati uchaguzi ni keshokutwa tuu? its about time wakaja clean on this issue na tukajua break down za costs zote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
JF, Najiuliza- Tanzania Human Rights Commission mbona hatuwasikii? Vipi wamefulia au wanakula tu posho na pesa yetu bure? Ukiangalia Kenya Human Rights Commission they are so active na every day...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hilo ombi la kwanza; ombi la pili, naomba mwenye nakala ya sheria hii anitumie nakala kwenye email yangu ya mwanakijiji hapa jamiiforums.com ASAP. Ombi la tatu, tuache kusikiliza na kutukuza...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
NCCR wameipa serikali siku 90 kuwa imeunda tume huru ya uchaguzi vinginevyo itaiburuza mahakamani kwani tume iliyopo sasa inakipendelea Chama Cha Mapinduzi. Zaidi tutaona kwenye vyombo vya habari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…