Subject: FW: RE: MY NIGHTMARE IN TANZANIA
Date: Tue, 4 Aug 2009 15:04:53 -0400
From: Ray Bergen
To: Lisana Koliskowski
Hello Lisa
I am glad to be back in America after such a...
Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dk Makongoro Mahanga.
Na Na Leon Bahati
NAIBU Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dk Makongoro Mahanga amesema makada wa CCM...
Katika miaka ya karibuni, kumekuwa na hali ambayo watafiti wa mambo ya kisiasa wameyaita kama usultani katk sura mpya. Mifano halisi ipo Zanzibar ambapo marehemu rais Abeid Amani Karume...
Lwakatare alipo amua mkasema Oh Chadema wanaisaidia CCM , leo mtasema CCM ...
Na Felix Mwagara
MWENYEKITI wa Serikali ya Mtaa wa Keko Machungwa Jiji Dar es Salaam wa Chama Cha Wananchi (CUF)...
Dear JF member;
I have read and tried to follow the Tanzania Government Notice No. 223of 2007, Labour Institution Act section 39(1) and come to ask myself several questions with reagard to...
Nimekuwa najiuliza hivi CCM na watu wake wako tayari kukubali sehemu moja ya muungano kutawaliwa na serikali ya upinzani? Ikitokea hali kama hiyo ndo itakuwa mwisho wa muungano? Nadhani CCM wako...
Salamu kutoka Pemba zinasema kumwambia Huseini Mwinyi waziri wa kupachikwa wa ulinzi hapa Tanzania kuwa ,hawataogopa vifaru wala tembo ,na mabomu yaliofichwa kwenye madalaja mabovu na mengine...
Religious leaders alleged mistreatment at mine
THE CITIZEN
By Felix Mwera, Tarime
Several religious leaders yesterday accused the management of the North Mara Gold Mine of humiliating them...
Hii habari nimeikuta Reuters, wakati migodi mingine kama Tulawaka imefungwa hii iatkuwa sawa na kukumbuka shuka asubuhi.
Tanzania seeks govt shareholding in new mines law
Tue Aug 11, 2009
*...
Mkutano wa kukusanya maoni ya wadau kuhusu muswada wa Mfuko wa Kuchochea Maendeleo ya Jimbo (Comunity Development Catalyst Fund-CDCF) uliofanyika jana mchana kwenye ukumbi wa Msekwa ulitawaliwa na...
Waislamu nao wameamua kujipanga ili kuhakikisha kuwa Rais, wabunge na madiwani hawachaguliwi kwa misingi ya kidini.
Ikiwa ni counter attack dhidi ya kanisa wanazuoni wa kiislamu pamoja na...
Kuna tetesi kwamba mtu haupati tiketi ya kwenda pemba mpaka uwe na kitambulisho cha uzanzibar mkazi.Hii ni kwa wale wanaokwenda kwa meli.Taarifa hizi zimetolewa na watu waliokata tiketi leo za...
SPEECH BY H.E. JAKAYA MRISHO KIKWETE, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, TO THE FIRST MEETING OF THE THIRD SESSION OF THE EALA, DAR-ES-SALAAM,
7TH AUGUST, 2009
Honourable...
Wakati umewadia kwa wachambuzi wa siasa kuanza kubashiri yatakayojiri - na kutoa mwelekeo wa hali ya kisiasa - wakati wa uchaguzi mkuu wa 2010. Moja ya masuala ambayo yatakiumiza na pengine...
Baada ya kwenda nchi zaidi ya 10 kufanya "fact finding" za kutazama wenzetu wanavyofanya na kula per diem za mamilioni wamegoma kuanzisha Bunge TV ambayo ingeonyesha shughuli mbali mbali za bunge...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimemtaka Waziri Mkuu Mizengo Pinda, kuweka hadharani ripoti aliyokabidhiwa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabau za Serikali (CAG) kuhusu ufisadi unaofanyika...
CUF walilaghaiwa wakaingia kwenye mazungumzo ya muafaka na CCM, sasa wanaonja machungu yake.
Walilikoroga kwa kushiriki katika mazungumzo feki eti ya muafaka, sasa wawe tayari kulinywa...
Na Salim Said Salim
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho, anasema baraza lina wajumbe wengi kupindukia.
Anaona haiwezekani libaki hivyo; akiwa na maana kwamba inafaa...
Ndugu zangu wanajamii katika siku za karibuni tumeshuhudia kauli mbali mbali ya viongozi kuhusu kukemea ufisadi!Kauli ya Mh.John Malecela,Dr.Makongoro,SpIka wa Bunge Samweli Sitta n.k .Hivi hawa...