nadhani sasa Cuf imeshakufa tz bara, nasema hivi baada ya chaguzi ndogo zilizopita kule birahamulo na Busanda kumwagwa Vibaya. kule Busanda mgombea wake kupata aibu ya ushindi na kule Burahumulo...
Hivi hawa wakuu hawana kazi ya kufanya mpaka wawe wasindikizaji wa Vasco Da Gama (JK) kila akitimua? Hata kwenda Zambia lazima wadamkie airport? Hivi hawana kazi za kufanya?
Rais Jakaya...
Matokeo yasiyo rasmi ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Biharamulo Magharibi yameanza kutoka na kubandikwa ubaoni yakionyesha mgombea wa Chadema, Dr. Antony Mbassa, anaongoza vituo vya mijini. Taarifa...
Chuo Kikuu kipya cha Afya kujengwa Dar
Na Jackson Odoyo
RAIS Jakaya Kikwete ametangaza azma ya serikali kujenga Chuo Kikuu cha Afya jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Wananchi jana katika...
Katika kuhakikisha upinzani unajidhaiti vyema mkoani KAGERA kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2010, kazi imeanza rasmi kuusaka mwamba wa Karagwe kujiunga na ......
Shukrani kwa Wajumbe wa Kaskazini...
Mimi nafikiri kuna mambo mengine lazima tuangalie mzizi wake maana tunaweza tukawa tunaumiza vichwa kumbe sababu ya msingi hatuijadili.
Kiukweli kwa ninavyofahamu mimi ELIMU ndio ufunguo wa...
SaskTel pulls out of TTCL deal
Canada-based SaskTel International, which was appointed to oversee the operations of national PTO Tanzania Telecommunication Company Limited (TTCL) in a...
Ndugu wapendwa leo hii ...nimefurahi sana kuona wabunge wa CCM wanasimamisha budjet ya wizara ya miundo mbinu kana kwamba ni sinema ya alinacha....nimewiwa leo hii kusema yaliyotokea kwa waziri...
Tunajua kwamba wabunge wa Tanzania wanapewa pesa nyingi za walala hoi.
Tunajua pia kwamba baraza la mawaziri wa TZ nikubwa hata kuzipita nchi za ulimwengu wa kwanza, ambalo ufanisi wake ni kama...
Kila Mzanzibari mwenye haki, ahakikishe anajiandikisha kwenye Daftari!
Akagua shughuli za Chama, kuhamasisha Daftari
Aonya rafu za CCM, ZEC na Afisi ya Vitambulisho
Amwambia Kikwete...
TEGUCIGALPA, Honduras Ousted President Manuel Zelaya was kept from landing at the main Honduras airport Sunday because the runway was blocked by military vehicles and groups of soldiers, some...
Tunatarajia kuweza kushiriki mjadala wa mfumo wa vyama vingi utakaorushwa moja kwa moja na Star TV asubuhi ya leo (Jumapili) saa moja na nusu Asubuhi. Baadhi ya wageni wanaotarajiwa ni pamoja na...
Tanzania is fighting corruption, says Mkapa
Thursday, 25 May, 2000
The President of Tanzania, Benjamin Mkapa, has defended the work of his administration in tackling corruption.
Speaking...
Kwa miezi sasa tumekuwa tukisubiri kauli ya Mh Makamba aliyosema atamjibu mama Anna Kilango ile kauli yake aliyotowa zidi ya mafisadi ndani ya CCM ,matokeo yake mzee makamba ameshindwa hata kuomba...
Hatimaye kile kitendawili cha kuwepo au kutokuwepo uchaguzi mdogo Jimbo la Biharamulo Magharibi, kimeteguliwa baada ya Mkurugenzi wa Uchaguzi Rajabu Kiravu, kukitegua.
Uchaguzi huo unafanyika...
I haven't seen a picture of Sumbawanga. I haven't been to the place. They need to a have a local newspaper there.
I am very thankful that there is Arusha Times. I visit them (at...
Kuna Waethiopia kadhaa (inadaiwa wapata 100) ambao walikamatwa huko Arusha mapema mwaka huu wakiwa njiani kuelekea Afrika ya Kusini kutafuta maisha kwa kuingia nchini kinyume cha sheria na sasa...
kuna siku mbunge aliuliza swali la msingi... kwanini Marekani itake kuwekeza sana Tanzania? kuna agenda gani? Hazina na Mambo ya nje wakajibu kirahisi tu. kuwa sisi ni hodari kusimamia fedha za...
Katika hali inayoonekana kuwa hali si shwari katika chama cha wananchi(CUF), mmoja wa wanachama na kiongozi nguli kabisa wa chama hicho, ndugu Hamad Rashid Mohammed, mbunge wa WAWI kule Pemba na...
sijui organisation structure ya serkali ilivyo lakininina changamoto na dukuduku juu ya hivi vyeo vikubw aviwili kwenye wizara
Waziri yuko juu kuu ya katibu mkuu ki cheo lakini naamini...