Ni nani huyo Jenista Joakim Mhagama?
Mbunge wa Peramiho kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)?
Je, ni yule yule aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu katika kipindi cha mwaka 2000-2005?
Akiwa karibu...
Na Christopher Maregesi, Musoma
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameupa uongozi wa Mkoa wa Mara muda wa miezi sita kuanzia leo ili kuwasilisha mpango mkakati wa kumaliza mapigano ya wenyewe kwa...
CCM wafanya mkutano kanisani, wampiga kiongozi wa kigango
Na Frederick Katulanda, Biharamulo
WAFUASI wa CCM juzi walivamia Kanisa Katoliki, Kigango cha Nyantakara kilicho Kata ya Lusahunga na...
Leo Mh Zitto Kabwe ameanza hotuba vizuri, kwa kusema kuwa barabara hazijengwi kwa hela za chama chochote cha siasa bali kwa kodi za wananchi.
Pia Zitto ameongelea suala la KADCO ambao...
Waungwana leo kwenye kipindi cha maswali kwa PM bungeni sikufurahishwa na kitendo cha Spika kila wakati kuingilia kati maswali ya wabunge kwa PM, suala la wizi wa nyaraka ZNZ na chanzo cha...
NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ambaye pia ni Mbunge wa Bukoba Mjini, Hamis Kagasheki, ametangaza kutogombea ubunge katika uchaguzi mkuu mwakani.
Akizungumza na Tanzania Daima Jumatano hivi...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
SERIKALI itazipa wilaya za Tarime na Rorya mkoani Mara hadhi ya mkoa wa kipolisi kuimarisha ulinzi na usalama kukabiliana na wimbi la mauaji ya mara kwa mara...
Tunapoelekea uchaguzi tutaona mengi.
Tangu jana yamekua yakipita matangazo hapa mjini kwamba wana ccm watakuwa na maandamano ya kuunga mkono utekelezaji wa ilani za chama na utahutubiwa na...
Mh. Mramba alipokuwa Mkurugenzi wa Viwanda vidogo vidogo (SIDO) aliweza. Aliiongoza SIDO vizuri sana kuliko SIDO ya sasa ambayo haiwezi kusomesha wataalamu au kuwatumia wataalamu wa VETA. Pia...
Jamani ilikuwa hivi;
Cheyo ameuliza swali kwenye kamati za kupitia mahesabu ya wizara ya mazingira. Alipouliza Sita hakuelewa ikabidi amuulize tena. wakati anauliza Sita akaingilia kuwa je wewe...
An Act to amend the Executive Agencies Act, with a view to enhancing efficiency of executive agencies.
Abstract:
The Executive Agencies Act, Cap.245 was enacted in 1997 for purposes of...
:o Ni uvumi au kweli kuhusu mbunge wa jimbo la lupa katika wilaya ya chunya mkoani Mbeya? mbunge wa zamani wa jimbo hili Kasaka anaandaa makombara ya kum-defeat Mwambalaswa ili arudi tena DODOMA..
Muhibu Said
Kauli ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ya kumtahadharisha Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, kwamba kama anataka kurejea bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa...
HIVI viongozi na WABUNGE wetu wanajua kwamba mtu anayetaka kusoma toka kwenye internet masomo kama ya Lugha, Dini na mengineyo ambayo yanawasilishwa kwa sauti ISP wa Kitanzania hawaruhsu na...
Wilfred Lwakatare ameandika barua akiomba kujiuzulu nafasi za uongozi zake zote alizokuwa nazo ndani ya CUF. Lengo lake ni kujikita jimboni kuelekea uchaguzi mkuu
Kwa kila anaeangalia vipindi vya Bunge la Tanzania katika TV ataona ni jinsi gani wabunge wanavyoikanyaga Bendera ya Taifa hili la Tanzania ,kwa vyovyote vile iwavyo wanaidharau Bendera yetu hii...
BENKI ya Dunia (WB) imeeleza kuwa, pamoja na viongozi wa Serikali ya Awamu ya Nne inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete, kuelekeza juhudi zao za kuzifanyia mabadiliko ajenda mbalimbali za uchumi wa...
Waziri awatahadharisha wapiga kura wa Busanda kuwa wasipomchagua mgombea wa CCM watabambikiwa kodi na kunyang'anywa leseni -
Makame kimya !
Katibu Mkuu wa CCM amtisha msimamizi wa uchaguzi...
Katika Nchi yetu Viongozi wetu wa kisiasa wamekuwa wagumu sana kuomba msamaha wanapokosea,sababu ni nini?Mfano tu,Waziri anajibu swali la mbunge kwa kusema "na wewe tafuta hoja nyingine",kuna...
In October 1973 the people of Tanzania decided by referendum? - to shift the National Capital of Tanzania from Dar-es-Salaam to Dodoma, the geographical centre of the country, in Central Tanzania...