Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kuna habari kwanba mkoani Mbeya hivi sasa kuna mauaji yakutisha, mauaji hayo yanasadikika kuwa ni ya imani zakishirikina, wafanya biashara wa mabucha ya nyama ndiyo washirika wakuu, inasemekana...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
mambo ya kuzingatia: a. Baada ya CCM, CUF ni chama cha pili kinachopokea ruzuku nyingi toka serikalini. b. Pesa hizo ni nje ya wanazopata kupitia wafadhili, miradi yao mbalimbali (kama wanayo)...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Kwa nini CHADEMA isiwapeleke mahakamani wahusika wa ufisadi ? Chadema wanasikika wakilipua na kutangaza kwenye mikutano yao ya operesheni sangara kuwa fulani na fulani ni mafisadi wamesababisha...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Ningependa asiwe BASHIR PEKE YAKE. Nataka kumfikisha Rais Mstaafu B.W. Mkapa wa Tanzania pamoja na washirika wake ktk mahakama ya Dunia kwa mauaji ya Pemba. Nadhani nahitaji msaada wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Utakuwa ni saa nane kila siku zinatazogawanywa katika vipindi viwili vya saa nne nne kila kimoja. Yaani, kama ni zamu yenu ya kukosa umeme, mtakosa asubuhi kwa saa nne, na jioni kwa saa nne...
0 Reactions
104 Replies
12K Views
1. Dr. Wilbroad Slaa - For sorting out list of shame 2. John Pombe Magufuli - For sorting out illegal fishing 3. Said Mwema - For sorting out grand organized robbery 4. Tundu Antipas Lissu -...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
  • Closed
- Wamtetea Dk. Mwakyembe katika sakata la umeme - Wamshukia vibaya Rostam...
0 Reactions
71 Replies
9K Views
Kutokana na taarifa aliyoitoa katika vyombo vya habari mukulungenzi wa Tenesco kwamba Tenesco inajitoa katika ununuzi wa mitambo ya kuzalisha umeme ya Downs lakini kwa maelezo kuwa kutakuwa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
TBC1 habari kwa ufupi saa kumi wamesema Chadema wamewatimua wanachama 12. Mwenye data za undani zaidi atushushie.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Malecela: Ni Kikwete tu 2010 2009-03-26 12:38:03 Na Joseph Mwendapole Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, John Malecela, amesema kuwa mwanachama yeyote wa CCM...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tusitake kwenda mahakamani kuwashitaki mafisadi kwa sasa kwani kumejaa …na wafuasi wa Sulutani CCM wana mapandikizi wengi katika hizi mahakama tulizonazo. Ni lazima tufikie kikomo ambacho...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shehena kubwa ya almasi yazuiwa Ni ya mgodi wa Williamson, Shinyanga Kisa ni hali tete ya kuuzwa kwa mgodi Mwandishi Wetu Machi 25, 2009 Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo SHEHENA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Na Habel Chidawali,Dodoma ( MWANANCHI ) NAIBU Waziri wa Fedha na Uchumi, Omari Yusufu Mzee amewajia juu watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kudai kuwa, baadhi yao ni wezi wakubwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
FORMER prime minister and veteran politician John Malecela has said those who feel aggrieved by the National Assembly’s treatment of the emergency power generation projects involving first...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
JK atuambie amechukua hatua gani John Bwire Machi 18, 2009 Raia Mwema~Muungwana ni vitendo PAMOJA na gazeti hili, kupitia safu zake mbalimbali, kuitahadharisha serikali, kwa muda...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kuna mtu amepita eneo la dowans jana na juzi, amenihakikishia kuwa aliona mitambo ile inafanya kazi, sasa kuna mawili: huenda imeshanunuliwa kimya kimya au labda ilikuwa inapshwa moto...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni lini tutaamka tukiwa na hasira za kweli na kufanya kweli? Leo hii tunapingana na kubishana kuhusu Rostam, Lowassa, Lukaza, Chenge, Karamagi, Jeetu na wengine wengi ambao wamehujumu nchi yetu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Raza awanyooshea kidole viongozi CCM na Mkolo Kimenya MFANYABIASHARA Mohamed Raza, amewataka viongozi na watendaji wa ngazi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa wakweli katika...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
2009-03-21 - ipp media By Bilham Kimati As the heated debate on whether the Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) should or should not buy the Dowans Power Plant comes to a close, it has...
0 Reactions
81 Replies
10K Views
Je, tangu mwaka 2005 hadi leo kuna rekodi yoyote ya mbunge kutoka CCM kutofautiana na wenzake wakati wa upigaji kura bungeni. Kama sijakosea nafikiri kwenye kambi ya upinzani tumeshuhudia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…