Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Pamoja na na utetezi wake wa jinsi Mramba na Yona walivyoletwa mahakamani jumatatu bila removal order, Mkuu wa magereza nchini Ndugu Nanyaro (kama sijakosea jina leke) alikiri kuwa ni kweli...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Nimekutana na hiyo heading kwenye gazeti la Nipashe na inavyoonekana chama cha CUF kinajiamini kusimamisha mgombea atakayeshinda kirahisi endapo kitaungwa mkono na vyama vingine, Nabaki kujiuliza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mbali na kupiga picha na Mablazamen( Boyz 2 Men)wa marekani ,na ikulu kupambwa na magari ya kifahali BMW, Nimejaribu kufuatilia mara nyingi,Huyu Rais wetu mh JK.kikwete katika ziara zake nje ya...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Ndugu wanabodi, Napenda kutoa zangu shukrani kwa jitihada zenu za michango ya mawazo kwa lengo la kuijenga na kuitetea Tanzania. Kuna kitu kinanikera na naomba kukitoa wazi hapa JF. Vita ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukisafiri kati ya Nairobi na Dar kwa basi, utagundua kuwa zaidi ya asilimia 80 ya abiria wale ni wakenya wanaoishi Tanzania; ama wanakuwa wanakwenda Nairobi kusalimia ndugu zao au wanarudi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MIAKA kati ya 1967-1995 babu, bibi, baba, mama, kaka, dada na penginepo hata sisi wenyewe tulichan gia kuanzishwa na kuendeshwa kwa yale yaliyokiitwa mashirika ya umma. Katika awamu ya tatu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
With Gates, Obama Opts for Empire By Matthew Rothschild December 01, 2008 "The Progressive " --- Barack Obama's got a big problem. He's suckered himself into believing that we need a...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tarehe 15 usiku palitokea ujambazi wa kiaina katika kumbi mbili Igunga ambazo zina Guest House na wateja wakaibiwa fedha nyingi tu na mali zingenezo, sasa mazingaombwe yalianza kesho yake tarehe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii article ipo kwenye Gazeti la Majira 26/11/08 Imetolewa mara ya mwisho: 26.11.2008 0003 EAT • Mwandosya apigiwa chapuo la urais Habari Zinazoshabihiana • Sigombei...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Ni jambo la kusikitisha kwa kilichotokea Mumbai. Pamoja na kuwa si rahisi kwa vyombo vya usalama na raia kujua ni lini watu wenye nia mbaya watafanya maovu, lakini tunaona tena umuhimu wa vyombo...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Mods please Naomba msibadilishe kitu hata header kwa sababu inajitosheleza) Hii ni spin off ya ma bodyguard thread na sikutaka kuidilute hii thread Anyway mpigapicha wa WYU alipiga picha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba nirushe hili swali na tuweze kuchangia maoni yetu: Je ni raisi yupi kati ya Nyerere na Kikwete ambayo wakati wakuchukua/wakupewa madaraka amekutana na changamoto (challenges) kubwa zaidi?
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kutoka mwanakijiji.com Waziri wa Mambo ya Ndani Bw. Lawrence Masha leo ametembelea gereza la Keko ambapo mawaziri wawili wa zamani wanashikiliwa rumande wakikabiliwa na jumla ya mashtaka 13...
0 Reactions
116 Replies
15K Views
  • Closed
"Ewe Mchagga unaombwa kufika Rombo Bar katika Harambee ya kumchangia Mramba kupata dhamana. Tatizo hili la Mramba si la Warombo peke yao ila ni la sisi Wachagga wote wa Machame, Kibosho, Uru, Old...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Kampuni ya Mwananchi communication iliyokuwa inamilikiwa kwa pamoja kati ya watanzania na wakenya sasa inamilikiwa kwa asilimia 100 na wakenya . Habari za kuaminika toka kwa watu mbali mbali...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Source: Majira, Ijumaa 28 Nov 2008 Na Mwandishi Maalumu, Mahenge RAIS Jakaya Kikwete amesema kiwango cha rushwa katika sekta ya misitu na maliasili kilikuwa kimevuka mipaka na amewataka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF Habari za uhakika nilizozipata hivi punde ni kwamba Manji amekunywa sumu kwa nia ya kujidhuru, hivi sasa anakimbizwa aghakhan hospital kwa matibabu! Tahadhari kwa vyombo vyetu vya...
0 Reactions
66 Replies
12K Views
Basil Mramba in graft probe -Focus on corruption allegations linked to five-year stint as finance minister THISDAY REPORTER Dar es Salaam FORMER senior cabinet minister Basil Mramba is under...
0 Reactions
41 Replies
9K Views
Na Burhani Yakub Lushoto RAIS wa serikali ya awamu ya tatu, Benjamin Mkapa jana alikuwa kivutio wakati alipopangua maswali ya wanafunzi kuhusu wimbi la migomo kwenye vyuo vya elimu ya juu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Najaribu kupitia makala mbali mbali zinzohusu, Jumuia za Kiraia Tanzania ikiwa ni pamoja na NGO, nakuta lawama kuwa, hivi ni vijiwe vya wasomi wanajipachika huko kupata ajira na kuganga njaa, na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…