Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Public Discourse II Na. M. M. Mwanakijiji Nilikuwa nazungumza na Mkulu mmoja wa idara siku chache zilizopita alisema kitu fulani ambacho wakati huo hakikunisumbua kichwa hadi sekunde chache...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Kwa muda nimeungana na waandishi wengine katika kukemea mauaji ya Watanzania wenye matatizo ya kijenetiki ya upungufu wa rangi (Albino). Wapo watu wengi na vikundi vingine ambavyo vinashirika...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
NDUGU ninaamini kwamba ingawa hatuwezi kuwa na baba wa Taifa mwingine lakini kuna viongozi wenye heshima zao ambao wanatumika na nchi za nje wanaostahili kuishauri serikali, vyama vya kisiasa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
HUKO Niger, sio Nigeria kama watangazaji fulani Tanzania wasiojua jiografia wanavyokosea kuna dada mmoja kaishtaki serikali yake kwa kushindwa kumlinda. Ninauliza, je, kwa hapa Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Heshima zenu wakuu, Leo kuanzia saa 4 kamili asubuhi mpaka saa 6 kamili kulikuwa na maandamano yaa amani ya wanahabari ambayo yalianzia Mtaa wa Lugoda Jijini Dar es Salaam kuelekea Makao Makuu ya...
0 Reactions
189 Replies
22K Views
Taarifa zilizofika hivi punde ni kuwa wale wazee wetu wa iliyokua Jumuiya ya Afrika Mashariki wamekuja na style mpya ya kushinikiza madai yao baada ya kuamua kufunga barabara ya Ali Hasan Mwinyi...
0 Reactions
175 Replies
22K Views
Heshima Mbele, Ndugu Watanzania wenzangu,Kwa muda wa mwezi sasa nimekuwa mtazamaji wa Jf Bila kuchangia maada yeyote na hii ilitokana na Hotuba aliyoitoa Muungwana pale Dodoma,Pia kufuatia na...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ingekuwa heri JK uage sasa MHESHIMIWA Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, salaam aleykum. Juma lililopita niliwasiliana na Watanzania wote kwa njia hii...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wazee wastaafu wa EAC wazuia magari ofisi za Hazina Dar *Wapiga mawe gari la serikali mbele ya polisi Na Fidelis Butahe MIGOMO na harakati za kudai haki ambazo zimekuwa zikitapakaa kwa sura...
0 Reactions
85 Replies
10K Views
Wandugu, Katika pita pita hapa marekani nimekumbuna na hili suala la uchaguzi wa majaji kuanzia Court of Common Pleas mpaka Suprem Court ( Katika Ngazi ya State). Hawa wagombea wa nafasi hizi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepata habari kutoka vyanzo vya kuaminika kuwa DPP alikuwa awafikishe Watuhumiwa wakubwa wa Ufisadi; wawili walikuwa Mawaziri waandamizi wa Awamu ya II na Katibu Mkuu 1 ambaye amekuwa Wizara...
0 Reactions
45 Replies
10K Views
Tunaweza kuwalaumu, tunaweza kuwabebesha kila aina ya lawama na pia tunaweza kuwabeza, kuwakejeli, na kuwanyoshea vidole. Ukweli utabakia kuwa yawezekana siyo kosa lao peke yao; ni kosa letu pia...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
MegaPyne
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Na Mwandishi Maalum, Pritoria MWENYEKITI wa Umoja wa Afrika (AU), Rais Jakaya Kikwete, amesema umoja huo hautawavumilia viongozi wanaoingia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Public Discourse 1 - Tuwaite Wahujumu Uchumi: Na. M. M. Mwanakijiji Ndio tumeamua kuwapachika majina ya uongo na hivyo kuficha uzito wa makosa yao na kwa kuwaita kitu ambacho sicho...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Judge attacked at rush hour 2008-10-27 12:45:09 By Rose Mwalongo A man in his mid twenties smashed the windscreen of a vehicle carrying High Court judge Thomas Mihayo at a Dar es Salaam...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimepata habari kwamba Andrew Chenge ni mjomba wake DPP Feleshi. Huku Tanzania, mtoto hawezi kumshtaki baba yake!! Ni kwa nini DPP Feleshi haku declare "conflict of interest" kuhusu kesi ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
* Atakiwa kulipa mamilioni * Chanzo ni kanisa, ufisadi * Ahusishwa pia na utumwa Na Mwandishi Wetu - Majira MWANASIASA mashuhuri nchini ambaye pia ni Mbunge wa Igunga (CCM), Bw. Rostam Aziz...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
MegaPyne
MADAI YA MALIPO YA WALIMU NCHINI JK: Ama hatuna ufanisi kabisa ama tumekuwa wadanganyifu Na Mwandishi Maalum, Tabora Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa madai...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
  • Closed
Wakuu naomba munisaidie, nimekutana na hii taarifa ikiwa na "Kaimu Mkurugenzi"... kaka yetu Salva yuko wapi? Nafahamu hata anapokuwa safari na Rais huko huko aliko huwa anatoa taarifa na hakuna...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Naomba kuuliiza Chadema kuna makamu mwenyekiti - visiwani(Mzee Said Mzee) ambaye mwenza alikuwa Marehemu Chacha Wangwe na naibu katibu mkuu - visiwani (Hamad Mussa Yusuf) mwenza wake akiwa Mh...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…