Kwenye taarifa ya habari ya leo saa 1 jioni ilikuwepo taarifa ya mwenyekiti wa Chadema kuhusu uchaguzi mkuu ujao, mhe. Lissu kwenye maelezo yake amesema Chadema haitasusia uchaguzi, lakini...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira ana haki ya kusinziaa...
"Mnaomuona analala mnasema Wasira analala mnamuonea ni umri, anapaswa kulala ni haki yake kulala, Wasira hata umuweke ndani ya spika humo atasinzia tu, kwasababu umri umekataa, umri umefika”...
Baada ya kuona video hii ya wasanii kukusanywa kama watoto wa shule ya msingi kwenye event maalum ya kugawa mitungi kwa wakina mama, nimepata maswali mengi
Hivi kwanini CCM siku hizi hawawezi...
“Natoa wito kwa Viongozi wetu wa Dini, Maaskofu, Mapadri na Masheikh wetu, na wao ni Watanzania, yakiharibika yanaharibika na kwao yakitengamaa yanatengamaa na kwao, wasikubali kuambiwa wajibu wao...
Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani 1,000,000 ifikapo mwaka 2025 kama ambavyo ilani...
John Heche akitoa salamu za Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, akiwa Tarime amesema yeye pamoja na Lissu wapo tayari kufa kwa ajili ya kulinda msimamo wa Chama chao ilikutetea maslai ya...
Nimelazimika kuandika suala hili, naweza kusema mimi mdau wa tasnia ya sheria, mwenyezi Mungu amenisaidia nimezunguka maeneo mengi duniani kikazi nikilitumikia taifa, na nimewiwa kutoa maoni...
Wakuu,
Kuonesha kwamba yeye ni kiongozi humble na ambaye ana maisha sawa na wananchi, Bashungwa ametinga mtaani na kwenda kula kwenye mgahawa mmoja maarufu
Nimpongeze Bashungwa kwa kwenda kula...
Wakuu,
Tunaposemaga kwamba CCM wameishiwa mbinu huwa tunaamanishaga mambo kama haya.
Kwa hiyo sasa hivi hadi wasanii wa Gospel na wenyewe wanaenda kuunga mkono juhudi.
Hizi ni dalili za chama...
Kwa mara ya Kwanza tangu Uhuru wa Tanganyika, Nimeshuhudia watu wengi wakihangaika huku na kule ili kukamilisha kazi zao mapema kwa lengo la kuwahi Hotuba ya kiongozi wa Upinzani.
Maofisi ya...
"Wapiga kura waliopiga kura halali za wabunge kwa mujibu wa taarifa ya tume ya uchaguzi walikuwa takribani milioni 11. 8 lakini ukienda kwenye matokeo ya uchaguzi ya kila jimbo katika nchi yetu...
Leo mheshimiwa Lissu amelihutubia Taifa na kulieleza hatua kwa hatua juu ya uamuzi wa chama cha CHADEMA kuwa KAMA HAKUNA MABADILIKO YA MSINGI KWENYE KATIBA NA SHERIA zinahosu uchaguzi nchini basi...
Utawala gani wa kisiasa wa kuongoza watu ambao ni sahihi unaotakiwa na Mungu kati ya Demokrasia na Udikteta kulingana na maelekezo ya dini kubwa mbili za Ukristo na Uislamu?
Ndugu Spika wa Bunge,
Napenda kutoa ombi hili kwa heshima kubwa, nikitambua jukumu muhimu ambalo unalichukua katika kuhakikisha kuwa Bunge linatumika kama chombo cha uwakilishi wa wananchi...
Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo.
Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe...
Hotuba ya kuchoma kumoyo kutoka kwa Tundu Lissu.
Mh Mwenyekiti wa Chadema amewaomba kwa unyenyekevu watanzania wote wajiunge na Chama hiki kinachotetea Haki za Taifa.
Amemaliza kwa kusema Jambo...
"Katiba yetu ilivyoandikwa zile zinazoitwa haki za kikatiba zinaanzia Ibara ya 12 mpaka Ibara ya 29: Haki ya Kuishi, Haki ya kuwa huru, haki ya maoni, haki ya kushiriki shughuli za umma...
Serikali Imeendelea na Ujenzi wa Bwawa la Kidunda lililopo Wilaya ya Morogoro Vijijini mkoani Morogoro.
Mradi huu ulikuwepo kwenye mipango ya maendeleo tangu Tanzania ilipopata Uhuru mwaka 1961...