Ni ziara kwenda kumuhadaa, kumkejeli na kumkashifu mwenyekiti huyo wa zamani, lakini pia huenda ikawa ni ziara kuchochea na kuzidisha kutwezana utu kama ambavyo kulifanyika kabla ya uchaguzi na...
Anaponda kauli ya CCM wanayosema CCM itakaa madarakani hadi Yesu atakaporudi
Wanasiasa wanaoelewa nini maana ya siasa wamekwisha sasa
Anazungumzia hofu kubwa za kutekwa kwa watanzania kutokana na...
Team;
Salaam!
Sheria ya mitandao ya kijamii na Sheria zingine zinasemaje kuhusu kura za maoni kwa wamaotajwa kugombea URAIS mwaka 2025?
Kama itakuwa kitu kinachoruhusiwa kufanyika basi...
Mbunge wa Hai Mjini, Saashisha Mafuwe ameiomba Serikali kuwakopesha wanaume wote mikopo ya Halmashauri ya asilimia 10, ili iwasaidie katika shughuli za kimaisha.
Waziri Simbachawene unapaswa uone aibu, unatangaza nafasi 14,000 tu za Walimu wakati waombaji wapo Walimu 200,000? Huoni haya, hawa 186,000 wataenda wapi? YAANI MNACHUKUA ASILIMIA 7 TU YA...
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi, amesema Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, lengo lake kuu ni kuhakikisha haki inapatikana kwa wakati, hasa kwa wananchi...
Swali:
Je ni lazima kuendelea kununua mandege ya kampuni ya Boeng?
---
LICHA ya mafanikio yanayopatikana kwenye Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Kamati ya Bunge ya Miundombinu imesema matatizo...
Salam wanajamvi,
Moja kwa moja kwenye mada naomba tuunge mkono hoja hii ya kutaka serikali yetu kua kinara nchi ambazo zitasitisha shughuli zote za miradi ya maliasili na kupitia upya mikataba...
Hellow Tanganyika!
Uharibifu wa mazingira ni mkubwa Kanda ya Ziwa, Nia ni njema kuruhusu wachimbaji WADOGO, ila usimamizi wa karibu ni muhimu.
Serikali chini ya wizara ya madini itengeneze...
Ukiondoa kukutana na Warioba, kipi kikubwaTundu Lissu tangu achaguliwe amekifanya ndani ya CHADEMA au kwa taifa ambacho kinamfanya aaminike na kukuza chama chake?
Kwa mimi naona nothing.
Namuona...
Kuna vitu maamuzi yake huhitaji Hoja, yaan anasimama MTU makini anaelezea Kwa hoja !.
Sasa kumfukuza MTU namna hii, maana yake ni kuifanya habari iwe kuuuuuubwa , embu fikiria vyombo habari...
Ukipenda Tanganyika utazipenda Serikali 3 na Ukipenda Zanzibar utazipenda Serikali 3
Na Serikali 3 utazipata kwenye Rasimu ya Katiba Mpya ya Jaji Warioba ya 2014 kabla Shujaa Magufuli hajawa...
Mpo salama wote!
Awamu ya pili ya Donald Trump imekuwa na Sera korofi kwa mataifa mengine. Sera ya isolation ni Sera ambayo nchi Fulani hujitenga na mataifa mengine na kufungia Fursa za kiuchumi...
Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi Mhe. Mohamed Nyundo amewaasa Wafanyabiashara na Wananchi wa Kilwa kuacha kujihusisha na biashara za magendo kwani zina athari mbaya kwa jamii na uchumi wa...
πππ§. π¦ππ ππ π‘π π§π¨π₯π¨ππ¨ π¬π πππ ππͺπ πͺππ§ππ‘πππ‘ππ π¨πππππ¨ππ π ππ¨π¨ 2025
Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi wa kipekee ambaye amebeba matumaini makubwa ya Watanzania. Utendaji kazi wake umejikita katika...
Haki ya Kesi ya Haki (Right to Fair Trial)
Haki ya kesi ya haki ni mojawapo ya haki za msingi za binadamu zinazohakikisha kila mtu anayeshtakiwa kwa kosa lolote anashughulikiwa kwa usawa, haki, na...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu Chama kitaendelea kushika dola kwa wingi wa kura na si mtutu wa bunduki.
Pia...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewahakikishia wananchi kuwa serikali imedhamiria kuboresha miundombinu ya kiuchumi ikiwemo ya kilimo kwa lengo la kutanua wigo wa...
Wakuu,
Akiwa anaongea kabla ya mafunzo kwa waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya bayometriki huko Tanga, Mwenyekiti wa Tume Huru ya UchaguziJaji Rufaa Jacobs Mwambegele amewahasa waendesha...