Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, halijapiga marufuku kufanya mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi.
Pia soma: Uzi Maalum wa Matukio...
Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani?
Kuna fedha za ajabu, Iringa, njombe na kwingineko. Pesa za Abdul na...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amewataka Wanasiasa Nchini kutumia vizuri ndimi zao na kamwe wasitoe matamshi ambayo yanaweza kuhatarisha amani na utulivu...
Wakati mwingine watu wanapolaumiwa kwa kulipa kisasi huwa tunawaonea tu, Unamkamata mtu kwao Mbeya unamficha Iringa, mnampiga sana halafu mnamsafirisha hadi ugenini Dar na kumwachia huru.
Polisi...
Kilichowaponza CHADEMA ni kauli na hamasa ya vurugu
Na Mwandishi Wetu
MWAKA 1994 hauwezi kufutika katika historia ya dunia baada ya watu zaidi ya 800,000 kupoteza maisha kwa mauaji ya wenyewe...
Fikra na hali ya Wanasiasa kutegemea madhaifu yao ya kimwili au kiafya kuvutia au kupata huruma ya wananchi, imeanza kuadimika, kutoweka na kupotea kwa kasi sana nchini, huku ikiwaacha wanasiasa...
Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12...
Tumepokea vyema taarifa za kuachiliwa kwa viongozi wa vyama vya siasa, vijana, waandishi wa habari, na mawakili waliokamatwa walipokuwa wakitaka kutekeleza haki yao ya kikatiba ya uhuru wa...
Kuwakamata viongozi wa chama kikuu cha ushindani CHADEMA mkoani Mbeya kinaweka rehani ubunge wa Mbunge wa Mbeya ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na Chama chake cha...
Ndugu zangu wa CHADEMA na Watanzania wote, kumekuwa na hujuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikifanywa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
Hujuma hizo ni pamoja na uchaguzi na kuwakandamiza...
Ukiangalia Mbowe anaruka na helikopta halafu anasema mwaka huu kunja ngumi, kunja ngumi tunachukua nchi, nikimwangalia Mbowe anasema atachukua nchi hebu angalia 'line up 'yake unamwona Waziri Mkuu...
Ndugu zangu Watanzania,
Tuwe tunaeleweka tunaposema ya kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe , Ameinuliwa na mkono wa Mungu Mwenyewe, aliandaliwa na Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa...
Hii ndio mbinu ya Kishamba iliyobuniwa na Makaburu wa S.Africa enzi za ubaguzi wa Rangi, Mandela huku wengine kule
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali...
Salaam Shalom!!
Umesikika ukitoa maelekezo kwa Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni Ukiwa jukwaani kupitia Naibu wake uliyekuwa naye ziarani Geita, kuwa, " Si mambo yote ni ya kuyatatua...
GTs,
Ni dhahiri Rais wetu Samia ameonesha uwezo mkubwa sana wa uongozi katika kupindi ambacho amekuwa na haya madaraka ya Urais. Na muitikio wa Watanzania wa kumuunga mkono 2025 ni mkubwa sana na...
Haifahamiki inatetea nini kwa sasa, na kiongozi wake ni nani kwa sasa.
Haijulikani mikutano inayoendelea kwa sasa ina baraka na inagharamiwa na chama au ni mikutano ya mtu binafsi tu.
Uelekeo...
Ndugu zangu Watanzania,
Soma Mwenyewe alichoandika mchungaji peter Msigwa,ambaye ameonekana kuwa na furaha kubwa sana tangia ameingia na kujiunga na CCM.muda wote anaonekana ni Mwenye tabasamu...
Yameonekana magari kadhaa aina ya coaster yakiwa yanapeperusha bendera za chadema yakielekea Arusha. Msemo wa wahenga Shingo haipiti kichwa umetimia.
Wajifunze kutii Sheria bila shuruti. Amani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.