Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei akizungumza na wananchi wa vijiji vya Kisangesangeni na Miwaleni kata ya Kahe, Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro hii...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema kundi la Vijana wa Chadema wakiwa njiani kuelekea Mbeya wamezuiwa na Polisi mkoani Iringa
Lema amesema Gen Z hao wanaelekea...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM...
Niko Mbeya Mjini kwa siku tatu hivi na nimeona upepo wa siasa za hapa. Siko upande wa CCM wala CDM. Nawashauri tu CDM kuwa wana nafasi kubwa ya kushinda Jimbo la Mbeya Mjini iwapo wataweka mgombea...
Nimemsikiliza mchungaji Msigwa Leo pale Mwembetogwa nikashangaa ilikuwaje akawa Mwanasaikolojia na Teolojia
Peter amekaa miaka 20 Chadema lakini hajui kuwa kwa CCM Mbowe ni muhimu kuliko yeye na...
Mbunge Saashisha Mafuwe akabidhi mashine ya X-ray yenye thamani ya Tsh. milioni 196 na magari mawili
Mbunge wa Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro, Saashisha Mafuwe tarehe 10 Agosti, 2024 amefanya...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) anayewakilisha Mkoa wa Iringa, Salim Abri Asas, katika ziara yake ya Kuimarisha Chama, ametoa Simu Janja (Smartphone) kumi na nane (18) kusaidia na...
Wenya akili wanakuona mpuuzi, mshenzi na uncouth!
Umemsema Mbowe huu sasa ni mwezi wa pili, amekuignore. Ona aibu . Jitafakari kidogo! CCM wenzako wanakudharau ujue!
Heshima uliyokuwa nayo si...
Salaam, Shalom!!
Haya pia ni madhara ya kubaki na chama kimoja kikuu cha upinzani.
Tukijiuliza jwa sasa, CHADEMA bado kina sifa ya kuitwa chama kikuu cha upinzani, wangapi watakubaliana na HOJA...
Mbunge wa Jimbo la Rorya Mkoa wa Mara, Mhe. Jafari Wambura Chege ameandaa Kongamano la Vijana Rorya Tunaruka na Mama Samia lililohusisha Semina za mafunzo mbalimbali yenye fursa kwa Vijana wa...
Haya ni maoni yangu na upepo ninavyouona unavyovuma! Lisu is the right presidential candidate from Chadema! Give him a second chance. ATAMTIKISA SAMIA, TENA SANA!
Hali ndani ya Chadema si shwari. Kama imefikia hatua kiongozi mwandamizi ndani ya CHADEMA bila aibu anampeleka Abduli kwa Lissu kumshawishi achukue rushwa. Tena anamwambia kuwa watu kibao ndani ya...
Nimeshangaa sana kuona KADI za Makaratasi za CHADEMA kwani ninavyojua CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo walishaacha na hizo KADI za Kienyeji.
Pia soma: Kadi za kieletroniki za uanachama kuipa CHADEMA...
Kwa walio ushuhudia umri wa CHADEMA tokea kianzishwe ni wazi haupo wakati Chama hicho kinashuhudia wimbi la utengano uliyo bayana kama siku za hivi karibuni.
Kutuhumiana wazi wazi pasi na uficho...
Wawili hao ni miongoni mwa Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema waliokutana kwenye kikao Muhimu kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni, Dar es Salaam
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amemkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kujiunga na chama hicho akidai tayari chama chake...
Jinsi ya CHADEMA kufanya vizuri kwenye uchaguzi wa 2025.
1. Kwanza, mgombea urais wa CHADEMA apatikane kwa njia ya primaries. Hii ndio njia tuliyokuwa tunaitumia huko nyuma. Hata wakati Mbowe...
Akizungumza kupitia mtandao wa ClubHouse, Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi, amesema;
Kama kuna walimu wanachanga hela kumchangia @SuluhuSamia kugombea kupitia CCM...
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa amesema atatumia nguvu na Juhudi zile zile za CHADEMA kuzunguka nchi nzima kuelezea Mazuri na...
Salaam
Lissu nilikuwa nakuheshimu sana.
Umepigwa risasi sababu ya CHADEMA, umefungwa sababu ya CHADEMA, huishi kwa amani sababu ya CHADEMA.
Leo unakataa ngawila sababu ya CHADEMA. Umelogwa au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.