Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wananchi wamemkataa Mbunge wa mchongo wa Jimbo la Singida Mashariki kwa Tundu Lissu.
22 Reactions
50 Replies
4K Views
Hakuna chama chochote Cha siasa nchini Tanzania kilicho na sera Bora zaidi ya ACT Wazalendo. Ndiyo chama pekee kilicho na sifa zifuatazo: 1. Kina azimio, linaloitwa Azimio La Tabora. CCM walikua...
6 Reactions
35 Replies
752 Views
Kuna vuguvugu la chinichini la baadhi ya wabunge wa viti maalumu kati ya 19 waliovuliwa uanachama wa Chadema kurejea ndani ya chama hicho. Vuguvugu hilo ambalo pia linazua mjadala wa pande mbili...
0 Reactions
8 Replies
545 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse hivi karibuni amesema CHADEMA hakuna utaratibu unaotaka...
0 Reactions
2 Replies
446 Views
Ni mwanamikakati makini mwenye dhamira, nia na maono ya mbali sana, anayejua siasa za Tz vyema na kusoma alama za nyakati vizuri sana. Naona amejipanga, ameanza vizuri kwa kutaratibu na anakuja...
2 Reactions
11 Replies
538 Views
Ni wakati wa kuwaambia ukweli Wabunge wetu kama bado tunahitaji huduma yao 2025 - 2030 au wakatafute Ajira nyingine. Tumia Uzi huu kutuma salamu kwa Mbunge wako iwe za kumtakia kheri au kumpa...
4 Reactions
24 Replies
830 Views
Ni wakati mwingine tunaelekea kwenye chaguzi - Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 . Tujitokeze kwa wingi ,tuache mabishano ya Simba na Yanga vijiweni . Kina Erythrocyte ,Lucas...
1 Reactions
32 Replies
853 Views
Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM. Mifano ni mingi akina Julius Mtatiro, Nassari, Lijualikali. Ndio Sababu unawaona akina Dr...
13 Reactions
56 Replies
2K Views
Hili ndilo tumekubaliana Wapiga kura wa Iringa mjini. Zamu hii hatutakubali ujinga wowote kutoka chama chochote Navalonge swela 🐼 Soma Pia: Mimi niko tayari kwa kupiga kura 2024 na 2025...
3 Reactions
15 Replies
794 Views
Kupiga Kura ni Ibada ndio Sababu tunasemaga Kiongozi ni Chaguo la Mungu wa Mbinguni Hivyo kama Wewe ni above 18 basi jiandikishe kupiga kura Ukimchagua Kiongozi Kwa kura halali halafu Kiongozi...
0 Reactions
0 Replies
194 Views
Natoa tu angalizo maana vibe za akina Mwabukusi ndio habari ya mjini kwa sasa Akina Babu Tale wanauchukulia Ubunge kama Ajira Karibuni Nanenane Arusha Utukufu Ni kwa Mungu Juu Mbinguni 🌹
2 Reactions
4 Replies
611 Views
Imekuwa ni mtindo wa kawaida kabisa hivi sasa, katika Kila mkutano wa hadhara anayoifanya Rais Samia, wateule wake wanampa sifa nyingi, ambazo nyingine hazimstahili. Huwa najiuliza, katika miradi...
8 Reactions
60 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa UVCCM Arusha Simon Maximilian ametoa simu wilaya zote za Mkoa huo kwaajili kusajili wanachama wapya wa CCM. Amesema hizo zote ni jitihada za kumuunga mkono Mwenyekiti wa CCM Taifa...
0 Reactions
0 Replies
205 Views
Tulipokuwa tunaandika humu kwamba ccm inapumulia Mashine kila mahali, kuna waliotupinga, Lakini kama ilivyo ada Pembe la ng'ombe halifichiki, Mwenyekiti wa CCM aliyeko ziarani Mkoani Morogoro...
21 Reactions
33 Replies
3K Views
Miongoni mwa wabunge waliopata umaarufu katika Bunge la mwaka 2015 - 2020, ni Selemani Bungala, maarufu kama Bwege, aliyekuwa mbunge wa Kilwa Kusini kupitia Chama cha Wananchi (CUF) kabla ya...
1 Reactions
5 Replies
574 Views
Vyama vikuu sita (6) vya wakulima wa mikoa minne (4) inayolima Korosho kwa wingi hapa nchini wamesema wanatarajia kutoa shilingi milioni 11 ili kumchukulia fomu Rais Samia Suluhu Hassan ya...
2 Reactions
14 Replies
509 Views
Ndugu zangu watanzania, Huu ni zaidi ya Upendo, Ni zaidi ya kukubalika, ni zaidi ya kila kitu. Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kwa mafuriko yanayoendelea kushuhudiwa katika ziara za...
3 Reactions
95 Replies
2K Views
Mwafrika ana mambo fulani hivi ya kushangaza lakini yapo na huwezi kuyajibu kisayansi. Mwaka unaogawanyika kwa 5 au tuseme mwaka wa uchaguzi huwa kuna uhaba wa mvua,watabiri wa hali ya hewa huwa...
0 Reactions
4 Replies
569 Views
MBUNGE wetu sisi wana IFAKARA hatukukutuma kupiga magoti. Kuanzia leo hii anza kutafuta kazi NYINGINE maana kwa ubunge basi. Mbunge Abubakari Asenga ameonekana akipiga magoti kushukuru KUJENGEWA...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Ccm si chama cha kufanya nao maridhiano, ni genge la wahuni. Mama Samia siku ya 5 leo yupo Morogoro kwa ziara rasmi ya kiserikali lakini badala yake ziara hiyo inatumika kufanya kampeni chafu za...
4 Reactions
9 Replies
450 Views
Back
Top Bottom