Kwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovu,mtu ana mihemko ,hana utulivu wa...
Mnec wa Mkoa wa Iringa Komredi Salim ASAS amesema hapa tulipo Uongozi CCM umekuwa kama Mnada Watu wanapandishiana Dau kwa Wajumbe Ili kuununua
ASAS ameonya hali hii ikiachwa Iendelee itakivuruga...
🗓️ 3 AUGUST 2024 🗒️
Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Jana ametembelea GEREZA LA NYAMISIVYI {W} Kibondo, lengo ikiwa ni kuwaona wafungwa na kuwapa sabuni kwa ajili ya...
Kwa maoni yako ya kutaka Wakili Nkuba akubali kushindwa kwenye uchahuzi wa Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) ulifiofikia tamati siku ya jana, jiandae kutenguliwa nafasi yako wakati wowote...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro. Ziara hii ni muendelezo wa ziara zake za kutembelea mikoa mbalimbali ya Tanzania kwa ajili ya kuzindua...
UPDATES:
Kama ilivyotarajiwa na wengi, Adv. Boniface Mwabukusi akiwakilisha young lawyers maarufu kama GEN Z - CHADEMA ameshinda kwa kishindo kikuu na kuwa Rais wa TLS kwa miaka mitatu 2024 -...
Kufanya Uchaguzi Mkuu tarehe 25|10|2025 kwenye nafasi ya Urais wa JMT ni matumizi mabovu na mabaya ya pesa za walipa kodi hawa wachache na masikini kabisa.
Kama Fedha ya Uchaguzi ni zaidi ya TZS...
Tukipoteza woga wetu wanapoteza nguvu zao,
Ushindi wa wakili Mwabukusi umeshangiliwa na watu wengi, hii ni ishara kuwa Wanaoisapot CCM ni wale wanaonufaika nayo tu ambao kimsingi ni wachache...
Salaam, Shalom!!
Nachukua wasaa huu kuwaamsha wote waliokata tamaa, wote walioapa hadharani kuwa hawatashiriki kupiga kura wengine wakachoma kadi za kupigia kura, baada ya matumaini Yao ya...
GTs,
Ni heshima iliyoje kuona haki imetendeka na tena kwa uwazi kabisa kwa kijana Wakili Mwambukusi kuibuka mshindi.
Ni dhahiri Wakili Nkuba hakuwa kabisa na uwezekano wa kushinda. Najua michezo...
Nikizungumza na Rafiki zangu kadhaa walioko bungeni wamenieleza hofu yao kufuatia Ushindi wa Mwabukusi hapo TLS.
Wameniambia iwapo wapiga kura majimboni watabeba Ujasiri wa Wapiga kura wa TLS...
Ishu kubwa jamaa anaonekana kwenye jamii kama mtu mwenye uchungu na rasilimali za umma.
Ndo maana hata raia wa kawaida wanamtakia awe kiongozi wao. Hata 2025 atashinda urais ikiwa hakutakuwa na...
Ushindi wa Mwabukusi huko Dodoma kwa hakika utaleta mambo mengi ya kufikiri.
Moja, TLS sasa ina vijana na wamemchagua kijana mwenzao.
Pili, uchaguzi huu umefuatiliwa kwa makini karibu sehemu...
HAPPY SIMBA DAY
Mnajua mimi sio mwanasimba; Lakini buana,
1) Simba wameasisi hii mambo ya Matamasha ya Vilabu- hili ni jambo zuri.
2) Wameset viwango vya mechi na mafanikio Kimataifa na Mimi ni...
Huu ushindi utarejesha imani kwa wananchi kuwa CHADEMA sio Saccos?
Kwamba Mwabukusi atasaidia kufuta upigaji wa Mbowe wa michango ya Wabunge na wanachama alizokwapua (Shahidi ni Msigwa)
Kwamba...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezungumza na wananchi wa Dumila mkoani Morogoro na kuwaunga kwa kununua nyanya, bamia, tangawizi, mahindi yeboyebo na vitu vingine vilivyokuwa vikiuzwa na...
Kwako mbunge wa Bumbuli January Makamba,
1. Uliwaahidi kuwatengenezea uwanja pale Toghotwe! Ukaishia kuuchimba uwanja ule bila kuumalizia hilo haliwezi kukuacha salama. Ni bora ungeuacha...
Ilisemwa mambo ya Samia hayataenda asipokuwa na hao wawili. Ajabu leo hii mambo ya Samia yapo muswano.
Ilisemwa na kudaiwa jamaa hao wasioridhika na kukubaliana na hali halisi eti...
Pamekuwa na hekaheka ya Wazazi wa Wanafunzi wa Shule za Msingi kuitwa shuleni kupokea zawadi za magodoro madogo ya Watoto
Tunamshukuru Mungu wa mbinguni kwa hilo na tungependa tu kujua zawadi...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Seif Swai ameendelea na Ziara yake mkoani Arusha Kuhamasisha watu kujitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura na kutembelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.