Save this post!!!!!!
Mzee wa victoria ambaye ni kiongozi wa ile eneo muda si mrefu atahama chama na kwenda kwa wale wenzzetu wa kijani baada ya kununuliwa kwa vipande vya thumni.
Save the...
Wakuu,
Usiku umekuwa mchungu kwa Nape na Januari Makamba, tena Nape katenguliwa akiwa akiwa kwenye warsha! Pale unaenda sehemu kama waziri unaondoka mbunge!
Makamba naye alitoa boko lake...
Hapa juzi nimeona taarifa Rais Samia akiwaambia wananchi wa Kilosa wamrudishie Prof. Kabudi katika uchaguzi wa 2025. Nimejiuliza sana bila kupata jibu, kama Rais Samia haoni ni kosa kubwa sana...
Nimeshangazwa sana kuona tangazo hili, Hii ni kampeni au utekelezaji wa majukumu ya kiongozi aliyepewa dhamana na wananchi? Sikumbuki kama Nyerere alishawahi kufanya haya pindi alipoenda kukagua...
Asikwambie mtu ziara za nje muhimu mno! Uchumi unafunguka watu wananeemeka! Maji yanamwagika huko vijijini, Miradi inakwenda! Bei za vyakula na bidhaa mbalimbali zinashuka!
Yaani ziara tamu...
Ni msingi wa katiba yetu ya JMT kuwa chama tawala kitapokuwa madarakani kilazazimika kutekeleza ilani yake kilichoinadi kipindi cha uchaguzi.
Rais Samia sasa hivi yupo madarakani? Mlitarajia...
''Chama cha siasa siyo imani, lakini hata imani watu wanahama. Ni ndoa ya ki-katoliki tu ndiyo ambayo huwezi kuachana, chama cha siasa kama nilivyosema kwamba tuna nchi ya kujenga''
---
Ndugu...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa leo hii ameshiriki Tulia Marathon Mkoani mbeya. Mbio ambazo zimekuwa zikifanyika kila mwaka...
Prof. Adolf Mkenda
Kwa hali ilivyo kwa hakikq ni Waziri wa Elimu Prof. Mkenda anaweza kukivusha CCM katika nafasi ya Urais.
Sifa pekee za Mkenda ni pamoja na mtu wa principles. Ana msimamo...
Ni bayana,
Upinzani nchini mpaka sasa hawana ngome wala uhakika wa mahali au eneo la uchaguzi ambalo wanaweza kishinda hata kiti kimoja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Morogoro katika uzinduzi wa bwawa la mradi wa upanuzi wa kiwanda cha Mtibwa sugar Ltd amesema Serikali itahakikisha kuwa wananchi wanapata sukari...
"Niwaombeni chaguzi zinazokuja hizi elekeeni kwenye maendeleo, waswahili wanasema anayekufaa kwa dhiki ndiye nani? sasa ntakushangaa una rafiki mzuri ndani ya nyumba yako anayekufaa kwa dhiki...
Kanda zote za Chadema zimeshafanya chaguzi za Viongozi wake isipokuwa Kanda ya Kaskazini pekee
Mwenyekiti wa sasa wa Kanda ya Kaskazini ni mh God bless Lema lakini muda wake wa kikatiba umekwisha...
Salaam wanajukwaa,
Kwa muda mrefu jukwaa letu la JF limekua ni sehemu adhimu ya kupashana habari nyeti... mijadala Murua ya kina yenye kuleta tija kwa nchi yetu pamoja na kuwa huru kujadili mambo...
Rais Samia Suluhu Hassan ameonya Wanasiasa, hususani wabunge na Madiwani kuanzisha vijiji katika maeneo ya hifadhi pindi wanapoona chaguzi zinakaribia na hawakubaliki.
Rais Samia amesema hayo leo...
Kushukuru ni kuomba tena , hongera bwana Mbunge Kwa uungwana .
My Take
Mama amewafuta machozi
=====
Mbunge wa Kilombero Abubakari Asenga, amepiga magoti kumshukuru Rasi Dkt. Samia Suluhu...
Karibia miaka 3 sasa lakini suala la kujaza watu kwa mama Samia bado linaonekana shida.
Ukiachana na watu wa hamasa wa UVCCM ambao huwa wanatangulia kituo kinachofuata kwa ajili ya kumpokea rais...
Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu...
Diwani ni Kiongozi wa ngazi ya Serikali za Mitaa,iweje awe sehemu ya Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge ambao wanawakilisha ngazi ya Taifa?
Madiwani ni kama Wabunge wa ngazi za Mamlaka ya Serikali...
Habari,
Huu ni ushauri kwa Dr. Samia kuelekea uchaguzi wa 2025. Huenda watu wake wanamdanganya "Mama umeupiga mwingi utapita tu" ila kiukweli hupendwi huku mitaani watu wamekata tamaa kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.